Coastal Union 2-5 Azam FC | Ngao ya Jamii | Aman Complex | 8/8/2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000

Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal?


Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan.

Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda katika mchezo wa Yanga dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa baadaye leo Agosti 8, 2024
 
Coastal Union Wana Mangushi 👏👏👏
 
Coastal amle Azam ili Yanga tuje tujipigie hao
 
Umuofia…

Muda mchache ujao, kutakuwa na mchezo wa nusu fainal ya kwanza, Azam Fc Vs Coastal Union katika Dimba la New Amaan Stadium kule visiwani Zanzibar.

Mechi ni saa 10:00 jioni
 
All the best Azam tunataka Fainali zikutane timu Bora....
Mtu na dada wake watupishe Kwanza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kila la kheri Coastal. Walambisheni hao upupu
 
Ingekua nyumbani Mkwakwani tungeskia kile kigoma
Tunatakaaa baoo
tunataka baoooo

Basi nakumbuka miaka ya 90 kipindi nipo bachelor Kimanumanu African sports Vs kostal union
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…