Cute Wife
JF-Expert Member
- Nov 17, 2023
- 1,906
- 5,000
Mkeka wako unampa nani kati ya Azam na Coastal?
Timu ya AzamFC imefanikiwa kuingia Fainali ya Ngao ya Jamii kwa kuifunga #CoastalUnion kwa magoli 4-2 katika Nusu Fainali ilivyochezwa Uwanja wa Amaan.
Kutokana na ushindi huo, Azam FC itacheza fainali ya Ngao kwa kukipiga na timu itakayoshinda katika mchezo wa Yanga dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa baadaye leo Agosti 8, 2024