Coastal Union ni timu ya daraja la chini. Kwa Azam iliyosheheni wachezaji wengi wazuri, haiwezi kutoboa kwa namna yoyote ile kwenye hii mechi.All the best Coastal Union..!🤍💙
anaeupdate n mwenye uzi au moderatorTayari Azam FC yuko mbele kwa Goli 1 kwanini mwenye huu Uzi hajafanya bado Update ya haya Matokeo? au amelala?
Unaota wewe..!! Yaani unaiogopa Azam wakati Yanga ipo mbele yako..!!Natamani Coast apite. Ili Simba tusiw na kazi ngumu fainali.