Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Umeandika shudu za hatari! Halafu mbona mnakua na makasiriko bila sababu? Wewe inshu za coastal union zinakuhusu nini? Mbona mnajitia stress zisizo za lazima? Wakimuacha Mbisa wewe kinakuuma nini?
Mimi ni mdau wa soka lazima niguse kote sababu coastal ni team kama ilivyo zingine..

Hakuna sehemu niliposema nimeumia bali naona wewe ndio umeumia sana kusema ukweli huu.
 
Mimi ni mdau wa soka lazima niguse kote sababu coastal ni team kama ilivyo zingine..

Hakuna sehemu niliposema nimeumia bali naona wewe ndio umeumia sana kusema ukweli huu.
Haya bana
 
Kwani Mwamnyeto mmenunua kutoka klabu ipi? Uto kweli ni uto..
Waliwauzia yanga kwa hela ndefu na masharti mengi wakati ame wakawapa simba bei sawa na bure huoni hilo.

Cha kushukuru ame simba wamempoteza anarudi kwao Zanzibar.
 
Waliwauzia yanga kwa hela ndefu na masharti mengi wakati ame wakawapa simba bei sawa na bure huoni hilo.

Cha kushukuru ame simba wamempoteza anarudi kwao Zanzibar.
Hela ndefu ndio kiasi gani wewe kweli utopolo.
 
Unajipa presha bure,huwezi kuzuia hayo mahaba huwa tapo autonaticaly,kila timu duniani ina partner wake
Sijajipa presha bali nimesema ukweli uliopo na hao coastal msimu huu watakaribia kushuka daraja.
 
Hakuna urafiki usio na maslahi niliwahi lisikia limagufuli likisema win-win situation
 
Una changia kiasi gani cha pesa pale coastal union?
Mimi kuchangia na huu ukweli uliosemwa vinahusiana nini?
Haya mambo ya mtu asiambiwe ukweli sababu fulani ni fulani ni ya kishamba..
Wanatakiwa wabadilike.
 
Mtoto mdogo. Udugu wa coast na Simba ulisha kufa toka enzi za Pontyo wa Pilato
 
Pesa ndefu kama huijui mimi hilo sio kosa langu wewe bambukicha.
Hakika Uto ni uto , unajiandikia pumba tu. Eti hela ndefu kwani kika mchezaji anathamani sawa? Mbaya zaidi hiyo unayoita hela ndefu sio hela ndefu ni utopolo tu uliokujaa ndio unakutuma uandike hivyo.
 
Hakuna ukweli wowote zaidi ya upuuzi, una lazimisha wachezaji wote wauzwe bei sawa halafu unaita ukweli!! kila mchezaji atauzwa kwa thamani yake, usilete ukibwengo hapa
Haya kwahiyo ame ambaye alisememwa kuwa ni star yuko wapi sasa?

Kiufupi hujui lolote kuhusu mambo ya kuuziana wachezaji ...hujui lolote kabisa
Umeshawahi kusikia sakata la nabir fekir?
 
Back
Top Bottom