Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Nasemaje?? Mwaka huu Yanga mtanena kwa lugha. Na hapo ligi haijaanza!! Tutahakikisha mnaropoka yoooote yaliyoko mioyoni mwenu.
Shubamit!!!


cocastic
 
Hakika Uto ni uto , unajiandikia pumba tu. Eti hela ndefu kwani kika mchezaji anathamani sawa? Mbaya zaidi hiyo unayoita hela ndefu sio hela ndefu ni utopolo tu uliokujaa ndio unakutuma uandike hivyo.
Thamani ya mchezaji hujui hata inatokana na nini hasa..!

Wewe bambukicha tangu uanze kuongea hujawahi kuongea la maana kabisa..
 
Haya kwahiyo ame ambaye alisememwa kuwa ni star yuko wapi sasa?

Kiufupi hujui lolote kuhusu mambo ya kuuziana wachezaji ...hujui lolote kabisa
Umeshawahi kusikia sakata la nabir fekir?
Nani alisema Ame ni star? acha story za vijiweni kila mchezaji na thamani yake
 
Nasemaje?? Mwaka huu Yanga mtanena kwa lugha. Na hapo ligi haijaanza!! Tutahakikisha mnaropoka yoooote yaliyoko mioyoni mwenu.
Shubamit!!!


cocastic
Hapa hakuna cha yanga mimi sio yanga
Hata msimu uliopita ilikuwa hivi hivi matokeo yake wenzenu wamechukua makombe yote matatu..
Na simba wakaambulia
Mpole cup
Sopu cup
Sakho cup.
 
Nani alisema Ame ni star? acha story za vijiweni kila mchezaji na thamani yake
Labda kama wewe ndio ulikuwa hujui au hukuwa nasimu wakati huo .

Uliza pale coastal kati ya ame na bakari nani alikuwa star.

Hujui kitu ndugu bambukicha ..
 
Mtoto mdogo. Udugu wa coast na Simba ulisha kufa toka enzi za Pontyo wa Pilato
Haijalishi kwa haya yanayotokea bado wana chembechembe za urafiki..

Nani mtoto mdogo?
 
Utopolo ni shida, hivi unakumbuka yanga na mwadui huyu kipa alifanya nini au umesahau alikuwa kipa yanga b Kwa kifupi ni kipa ambaye anafanya makosa siku tu wakicheza na yanga na si timu nyingine.
Coastal na yanga mdhamini wao ni.mmoja kwanini uwingize Simba
 
Umeandika shudu za hatari! Halafu mbona mnakua na makasiriko bila sababu? Wewe inshu za coastal union zinakuhusu nini? Mbona mnajitia stress zisizo za lazima? Wakimuacha Mbisa wewe kinakuuma nini?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan Sakho kavuruga kila kitu. Wanateseka balaa.
 
Nasemaje?? Mwaka huu Yanga mtanena kwa lugha. Na hapo ligi haijaanza!! Tutahakikisha mnaropoka yoooote yaliyoko mioyoni mwenu.
Shubamit!!!


cocastic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haya yote kasababishaa Mdogo ake Mane. Coastal union inawahusu nn hawa utopoloo??

Wamesha changanyikiwaaaa.

Byuti byuti.
 
Hapa hakuna cha yanga mimi sio yanga
Hata msimu uliopita ilikuwa hivi hivi matokeo yake wenzenu wamechukua makombe yote matatu..
Na simba wakaambulia
Mpole cup
Sopu cup
Sakho cup.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuambia tangu jana, utaficha wee maumivu ila yakifika sehemu yake, wee mwenyewe utapiga kelele.

Tayariiiiiiiii yaan tayariiiiiii,

Aaaaaah tayariiiiiiiiiiii.

Mama weeee tayariiiiiiiii huku.

Byuti byuti.
 
Yamekufika penyeweee eeeh?? Badooo mbna ndo kwanza kidonda kibichii, km ni kilio bas andaa kisado cha kujaza chozi.

Wee kunywa maji mengi ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.
Wakati wa kulia ukifika, wee mwenyewe utalia na utachagua utoe kelele au ugumie km piki piki mbovu tena SANLG.

Byuti byuti.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi kumbe Mwamnyeto aliyokea Lipuli fc?
 
Mimi kuchangia na huu ukweli uliosemwa vinahusiana nini?
Haya mambo ya mtu asiambiwe ukweli sababu fulani ni fulani ni ya kishamba..
Wanatakiwa wabadilike.

Unatakiwa kujua kuwa coastal ni watu wa mipango wanatoa kitu wanaleta kitu utaona usajili wataofanya kama utaawaangusha ligi ikianza
 
Back
Top Bottom