Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao Simba kwao si sawa, ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
Nakukumbusha tu kuwa Yanga ndio timu pekee iliyofanya biashara ya kununua wastaafu bila kuuza mchezaji hata mmoja.
 
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao Simba kwao si sawa, ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
Punguza wivu na majungu kama vipi kaisaidieni toto africa ipande daraja ili awape na nyie point 3 za bure.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzwazwa mwingine huu yule dogo kwenye account zake za social network alishawahi kupost kavaa jezi ya yanga unataka ushahidi gani tena halafu mbona singida United ya muheshimiwa kipindi ilikuwa inawapa wachezaji mbona hamkusema haya makapewa feitoto ila yanga kulalamika mmezoea.
 
Coastal Union safari hii hawaponi lazima washuke daraja
 
Labda kama wewe ndio ulikuwa hujui au hukuwa nasimu wakati huo .

Uliza pale coastal kati ya ame na bakari nani alikuwa star.

Hujui kitu ndugu bambukicha ..
Angalia huyu analeta maneno ya vijiweni, mwenye thamani ni Mwamnyeto ndio maana akawa na thamani kubwa kuliko Ame, Mwamnyeto alikuwa akiitwa mpaka Taifa stars akiwa coastal union halafu wewe unaleta habari za vijiweni
 
Umeandika shudu za hatari! Halafu mbona mnakua na makasiriko bila sababu? Wewe inshu za coastal union zinakuhusu nini? Mbona mnajitia stress zisizo za lazima? Wakimuacha Mbisa wewe kinakuuma nini?
mkuu usikute Mbisa ndugu yake au labda mshkaji buku buku zinamhusu sasa itakuwaje kama jamaa hana kibarua tena!
 
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao Simba kwao si sawa, ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
Mkuu hawa dawa yao tuwapige nane kama kipindi kile..

Timu inaendeshwa kiswahili mno..
 
Angalia huyu analeta maneno ya vijiweni, mwenye thamani ni Mwamnyeto ndio maana akawa na thamani kubwa kuliko Ame, Mwamnyeto alikuwa akiitwa mpaka Taifa stars akiwa coastal union halafu wewe unaleta habari za vijiweni
Ndio maana nakwambia hujui kitu kuhusu hao wawili
Niishie hapa..
 
Hii team miaka na miaka mafanikio kwao imekuwa ngumu tofauti na zamani ..

Nimesikia kuwa kipa wao Mussa Mbissa ameachwa na wameletea kipa mcomoro.!

Unajiuliza Mbissa ameachwa kwa kosa gani? Eti wanadai ameuza mechi ile final ya dhidi ya Yanga iliyoisha kwa 3-3 kisha wakaenda matuta..!

Yaani wamejaa ushamba na usimba mwingi sana, na hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..

Wao wakifungwa na wenzao Simba kwao si sawa, ila wakifungwa na yanga wanatafuta mchawi.. hawajui yanga imewazidi quality kubwa sana kwanzia mchezaji mmoja mmoja..!

Walipofungwa kule tanga wakadai wanasoma albadili sijui kwamba wanaamini kuna mtu aliwauza!.

Safari hii mbissa ndo mbuzi wa kafara..!

Coastal wakiwa wanacheza na simba unaona kabisa sense ya undugu baina yao na hata viongozi wao wanagonga Cheers sana na kufurahia kabisa, ndugu wagombane nini sasa maponjoli hawa?

Na yalivyo mazuzu yameuza wachezaji hovyo hovyo kwenda kwa kwa ndugu zao wawili azam na simba.
Sopu-azam
Akpan-simba

Kitu ambacho wasingekubali kuwauzia yanga kama wangewaomba hata iweje..!

Wataishia hivi hivi miaka yote wakiendelea kutumika na simba..
Ulitaka WAJAE UYANGA?
 
Mkafufue tawi lenu la african sports kama inawauma
Huyu atakuwa mwana bongofleva hawezi jua hilo mkuu,kwa taarifa yake hata gsm kujipenyeza kwa coastal ni kutaka kuifuta historia ya simba na coastal.Ushauri waibebe African sports awe mpambe wao.
 
Ndio maana nakwambia hujui kitu kuhusu hao wawili
Niishie hapa..
Umeishiwa hoja kabisa , yaani Mwamnyeto anaitwa taifa stars akiwa coastal na anacheza , huyo Ame ni takataka kabisa kwa Nondo hajawai kumzidi Nondo ustar hata mara moja
 
Huyu atakuwa mwana bongofleva hawezi jua hilo mkuu,kwa taarifa yake hata gsm kujipenyeza kwa coastal ni kutaka kuifuta historia ya simba na coastal.Ushauri waibebe African sports awe mpambe wao.
Sasa hapa mbona umekubaliana na uzi tena?
Yaani unamsema huyo mwenzio tena 😂😂
 
Umeishiwa hoja kabisa , yaani Mwamnyeto anaitwa taifa stars akiwa coastal na anacheza , huyo Ame ni takataka kabisa kwa Nondo hajawai kumzidi Nondo ustar hata mara moja
Huyo ni shabiki maandazi. Ame amejulikana zaidi baada ya kununuliwa na simba. Kipindi Mwamnyeto anasajiliwa na yanga alihusishwa pia kusajiliwa na simba na habari zake za kusajiliwa na klabu hizi mbili ziliandikwa sana, kinyume na Ame ambae ilitokea tu amesajiliwa na simba na haikuwahi kuwa habari kubwa kuhusu usajili wake. Uto sijui anabisha nini ila uto kweli ni uto.
 
Coastal ni tawi letu tokea miaka ileeeee.

Wao ndio wakutupatia points. Kama mnaona wivu pandisheni tawi lenu African Sports na nyoe mfaidi ponts za bure.
 
Back
Top Bottom