Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
- Thread starter
-
- #21
Mimi ni mdau wa soka lazima niguse kote sababu coastal ni team kama ilivyo zingine..Umeandika shudu za hatari! Halafu mbona mnakua na makasiriko bila sababu? Wewe inshu za coastal union zinakuhusu nini? Mbona mnajitia stress zisizo za lazima? Wakimuacha Mbisa wewe kinakuuma nini?
Nina uhakika asilimia mia..Unauhakika wao ndio wanafanya ujinga na sio wewe ndio unaandika ujinga.
Haya banaMimi ni mdau wa soka lazima niguse kote sababu coastal ni team kama ilivyo zingine..
Hakuna sehemu niliposema nimeumia bali naona wewe ndio umeumia sana kusema ukweli huu.
Waliwauzia yanga kwa hela ndefu na masharti mengi wakati ame wakawapa simba bei sawa na bure huoni hilo.Kwani Mwamnyeto mmenunua kutoka klabu ipi? Uto kweli ni uto..
Unajipa presha bure,huwezi kuzuia hayo mahaba huwa tapo autonaticaly,kila timu duniani ina partner wakeTuanze kuhesabu wale wa azam to simba na coastal to simba sasa..
Hela ndefu ndio kiasi gani wewe kweli utopolo.Waliwauzia yanga kwa hela ndefu na masharti mengi wakati ame wakawapa simba bei sawa na bure huoni hilo.
Cha kushukuru ame simba wamempoteza anarudi kwao Zanzibar.
Pesa ndefu kama huijui mimi hilo sio kosa langu wewe bambukicha.Hela ndefu ndio kiasi gani wewe kweli utopolo.
Sijajipa presha bali nimesema ukweli uliopo na hao coastal msimu huu watakaribia kushuka daraja.Unajipa presha bure,huwezi kuzuia hayo mahaba huwa tapo autonaticaly,kila timu duniani ina partner wake
Sawa wewe ndio munguSijajipa presha bali nimesema ukweli uliopo na hao coastal msimu huu watakaribia kushuka daraja.
Mimi kuchangia na huu ukweli uliosemwa vinahusiana nini?Una changia kiasi gani cha pesa pale coastal union?
Hapana lakini utakuja kufufua hii comment nina uhakika na hili.Sawa wewe ndio mungu
Lakini sasa urafiki huu ni wa upande mmoja tu mwengine unaumizwa pasipo kushtuka.Hakuna urafiki usio na maslahi niliwahi lisikia limagufuli likisema win-win situation
To hellHapana lakini utakuja kufufua hii comment nina uhakika na hili.
Mimi kuchangia na huu ukweli uliosemwa vinahusiana nini?
Haya mambo ya mtu asiambiwe ukweli sababu
Hakuna ukweli wowote zaidi ya upuuzi, una lazimisha wachezaji wote wauzwe bei sawa halafu unaita ukweli!! kila mchezaji atauzwa kwa thamani yake, usilete ukibwengo hapafulani ni fulani ni ya kishamba..
Wanatakiwa wabadilike.
Hakika Uto ni uto , unajiandikia pumba tu. Eti hela ndefu kwani kika mchezaji anathamani sawa? Mbaya zaidi hiyo unayoita hela ndefu sio hela ndefu ni utopolo tu uliokujaa ndio unakutuma uandike hivyo.Pesa ndefu kama huijui mimi hilo sio kosa langu wewe bambukicha.
Haya kwahiyo ame ambaye alisememwa kuwa ni star yuko wapi sasa?Hakuna ukweli wowote zaidi ya upuuzi, una lazimisha wachezaji wote wauzwe bei sawa halafu unaita ukweli!! kila mchezaji atauzwa kwa thamani yake, usilete ukibwengo hapa