Coastal Union ni klabu ya kienyeji na inayotumika na Simba pasipo kujijua

... hili liko wazi coastal imejaa viongozi waliokuwa Simba kama Binslum mwenyewe..
Sio Coastal Union tu, hata Azam yupo Bakhresa na Yanga yupo GSM, hao wote ni Simba watupu wa kutupwa, ila basi tu ni kwa kuwa lazima wafanye biashara maisha yasonge mbele
 
Wewe dogo bambukicha huna unalojua
Ame alianza kufahamika kabla ya bakari uliza watu wa tanga wakwambie infact ame ni mchezaji mzuri kuliko mwamnyeto ndio maana coastal wakaona wawape yanga bakari kuliko ame wawape ndugu zao simba mchezaji mzuri.

Kilichomkosti ame pale coastal mwishoni ni majereha ya muda mrefu na hiyo ikampa nafasi bakari kushine..

Narudia dogo bambukicha popoyo, hujui kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…