Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Hili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?Jamaa mziki umemshnda soka ndo ataliweza?
Hao ndio wabongo bwanaHili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?
(Ni swali tu mkuu staki povu)
Acha Ujinga wewe, that's business.Jamaa mziki umemshnda soka ndo ataliweza?
Ni kwel kuna akina Juma Nyoso na Kelvin Yondan. Ajiandae pia kisaikolojia. Mashabiki wa Mpira hawanaga simile km wale wa muzikKila la heri katika safari yake. Ajitahidi tu kukubaliana na changamoto za soka.
[emoji23][emoji23][emoji23]usijili wa karne