Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Kunguru Mjanja

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2012
Posts
2,046
Reaction score
3,971
Klabu ya soka ya Coastal Union imetanganza kumsajili Mwanamuziki wa bongo fleva, Ali Saleh Kiba maarufu Ali Kiba kama mchezaji wao mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja

Meneja wa timu hiyo, Said Hilary amesema Ali Kiba ni mchezaji mzuri na ameenda kwenye timu hiyo kwa lengo kubwa la kuitangaza Coastal

Aidha, uongozi wa timu hiyo umesema kuwa hautamzuia Kiba kufanya kazi zake za muziki

1.jpg
 
Last edited by a moderator:
Kiba bora amfuate Mzee Yusuph na Suma Lee maana naona sasa anatafuta chaka la kumficha tu, mziki umemshinda
 
Duuh! Hii ni kubwa kuliko.

Kila la kheri kwake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom