Kunguru Mjanja
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 2,046
- 3,971
Klabu ya soka ya Coastal Union imetanganza kumsajili Mwanamuziki wa bongo fleva, Ali Saleh Kiba maarufu Ali Kiba kama mchezaji wao mpya kwa mkataba wa mwaka mmoja
Meneja wa timu hiyo, Said Hilary amesema Ali Kiba ni mchezaji mzuri na ameenda kwenye timu hiyo kwa lengo kubwa la kuitangaza Coastal
Aidha, uongozi wa timu hiyo umesema kuwa hautamzuia Kiba kufanya kazi zake za muziki

Last edited by a moderator: