Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

Coastal Union yamsajili Ali Kiba kwa mkataba wa mwaka mmoja

[emoji13] [emoji13] [emoji13] sijui kwanini nimecheka ivi..
 
Ni kwel kuna akina Juma Nyoso na Kelvin Yondan. Ajiandae pia kisaikolojia. Mashabiki wa Mpira hawanaga simile km wale wa muzik
[emoji13] [emoji13] [emoji13] asishangae yakimkuta yalio mkuta boko
 
Safi
Tunategemea kumpata mwanasokamwanamziki mzuri.
Hii ni fulsa mtambuka.
 
Kuna mazwazwa humu yanaona Ali Kiba na Coastal Union wamekosea sana
 
Hili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?
(Ni swali tu mkuu staki povu)
Mkumbushe kuhusu Hussein bolt nae kawa mwanasoka
 
Back
Top Bottom