Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Angalau kafuata ushauri. Nilimshauri atafute shughuli nyingine ya kufanya... Namtakia kila la kheri katika soka pia...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] asishangae yakimkuta yalio mkuta bokoNi kwel kuna akina Juma Nyoso na Kelvin Yondan. Ajiandae pia kisaikolojia. Mashabiki wa Mpira hawanaga simile km wale wa muzik
Nia anayo. Sababu anayo.Uwezo anao.
atakalia mkeka msimu mzimaMara paap diamond ni kocha wa coastal
Samahani. Usimfananishe Himid Mao "Ninja" na vitu vya ajabu ajabu!Wewe nawe umecheza mpira gani ulikuwa mvunja kuni tu hata himid mao anaafadhali
Usisahau Msuva alitoka THT mpk kwenye SOKA! Leo yuko Algeria anafanya yake!mpira kweli umeisha yaani ali kiba wa kucheza ligi kuu? enzi zangu niko dimbani hata kushika viatu vyangu asingepata nafasi
Kama kweli wewe ni nteze john lungu halisi salute.mpira kweli umeisha yaani ali kiba wa kucheza ligi kuu? enzi zangu niko dimbani hata kushika viatu vyangu asingepata nafasi
Mkumbushe kuhusu Hussein bolt nae kawa mwanasokaHili povu si la kitoto ila anyway mbona wiz khalifa anajiandaaa kujiunga na MMA? Au na yeye mziki umemshinda?
(Ni swali tu mkuu staki povu)
Bro wewe ndiye yule winga machachari Nteze John Lungu wa ile Simba ya 2000-2003?mpira kweli umeisha yaani ali kiba wa kucheza ligi kuu? enzi zangu niko dimbani hata kushika viatu vyangu asingepata nafasi
ndio maana nikasema mpira umeisha siku hiziUsisahau Msuva alitoka THT mpk kwenye SOKA! Leo yuko Algeria anafanya yake!
asihangaike mi si nteze orijino mi ni mtu niliyekua namkubali nteze john lunguPaw naomba umchek Nteze kuverify hii ID,asije kuwa muhuni tu
hapana mimi siye ila nilikua namkubali sana huyu mtu enzi za uchezaji wakeBro wewe ndiye yule winga machachari Nteze John Lungu wa ile Simba ya 2000-2003?
mimi siye halisiKama kweli wewe ni nteze john lungu halisi salute.
kijana muogope MUNGUWewe nawe umecheza mpira gani ulikuwa mvunja kuni tu hata himid mao anaafadhali
Hahahaaa usiemtaka kaja...Mara paap diamond ni kocha wa coastal