Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Acha utoto kubwa jinga wewe
 
Alafu anaenda instagr kwa wajinga kule wauza sula hatopata ushaur.
 
Hivi unajua sheria au kwa sababu una uhuru wa kuandika ??
hivi kuna hati miliki ya jina ??
utakua juha kama jackline wolper

Ashukuru wapuuzi kama wale hawawezi kuja jf hopeless ana mlalamikia nan sasa hana hati miliki ya jina.
 
walikuwa wanapigewa picha na kuingiza katika mtandao.kesi inaanzia hapo ndugu.mbona wewe ni mgumu kuelewa? si picha za wote walipigwa picha zipo katika tovuti ya cocola afrika? tazama hapo juu nimekuwekea baadhi.

Mkuu any contract consist of offer and acceptence je kwa wolper hatua hiz zimefikiwa
 
Mkuu any contract consist of offer and acceptence je kwa wolper hatua hiz zimefikiwa

- Picha wamepigiwa waliposema wenyewe wafuatwe, walioweka picha hizo Instagram ni wao wenyewe hawakulazimishwa na Cocacola sasa kelele za nini jamani?

Le Mutuz
 
- Picha wamepigiwa waliposema wenyewe wafuatwe, walioweka picha hizo Instagram ni wao wenyewe hawakulazimishwa na Cocacola sasa kelele za nini jamani?

Le Mutuz

Sawa mkuu ilibidi aclaim kama ipo liggal binding.
 
- For sure ametumwa kuandika kitu asichokijua amelipokea kopo amelipiga picha na kulitundika Instagram halafu anasema hakutaka,

Unaweza kutuwekea hapa picha aliyopiga akiwa na kopo lake?

Bse unless nimekosea, kama vile anadai kuwa wakati wa picha aliamua kukaa kando.

kweli akili ni mali sana kabla hawajamletea wamempigia simu wakamwambia wana kopo lenye jina lake wanagependa kumletea akakubali bila ya kumuwekea bunduki kwa mbali, wakamfuata akawasubiri akalipokea [/

I thought so unless kulikuwa na duress, undue influence, misrepresentation au mazagazaga mengine.

akalipiga picha nalo akaweka Instagram leo analia hakutaka

Tuwekee hiyo picha hapa please.
 
Senior Member Array

Join Date : 19th February 2014
Posts : 123
Rep Power : 373
Likes Received99
Likes Given10

[h=2]
Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati[/h]

- Hizi picha ni nani aliyeziweka Instagram ni Cocacola au yeye mwenyewe?

Le Mutuz
 
May be it was duress and undue influence hapo sawa vingnevyo analalama.
 
May be it was duress and undue influence hapo sawa vingnevyo analalama.

Kama kulikuwa na undue influence, was it actual or presumed?

Regarding duress, hata economic duress haiwezi kufanikiwa?

Some may even try to argue kuwa it was unconscionable bargain, but sidhani hili suala linafika huko.

As they say buyer be aware.
 
I meant picha aliyopiga akiwa ameshika le kopoz kama wasanii wengine.
 
Sasa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi ndo matangazo ya biashara?

Nyani Ngabuno, Ikiwa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi SIO matangazo ya biashara, Je, dhumuni la Cola cola kwa zoezi hilo ni nini?
 
Nyani Ngabuno, Ikiwa majina kuandikwa kwenye makopo ya soda yaliyo kama zawadi SIO matangazo ya biashara, Je, dhumuni la Cola cola kwa zoezi hilo ni nini?

Dhumuni la Coca-Cola kuzindua hiyo kampeni na kutumia majina ya watu mbalimbali lilikuwa ni kutanabaisha umma kwamba watu sasa wanaweza kununua na kunywa hizo soda zilizo kwenye chupa au kopo lililobinafsishwa (persomalized?).

Hiyo ni tofauti kabisa na kununua sehemu, kipande, au muda kwenye redio na runinga na kuwa na matangazo ya biashara ambayo unayalipia ili yatangazwe mara kwa mara.
 
Hujataja sababu bado. Kwa nini wafanye yooote hayo?
Kujitangaza sio lazima ulipie. Sio lazima ufuate vyombo vya habari. Unaweza kufanya katika namna ambayo vyombo hivyo vya habari vinakufuata na kukutangazia bure. (Vyombo vya habari vikiwemo vinywa vya watu, n.k)
 
Sasa kama kujitangaza sio lazima ulipie tatizo liko wapi?
 
huyu wolper halip kabisa, how people rate her so highly is beyond me!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…