Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Yeye alilitoa wapi??? Hawa ndo nawafananisha na jirani yangu mmoja nilitaka kuvuta umeme kutoka kwenye nguzo akanambia nimlipe nusu ya bei nikataka kumpa robo tatu akakataa tanesko walivyokuja wakamwambia na yeye amlipe yule alipochukulia ndo akaingia upepo mwisho nikala umeme billa kumpa mia....

mmmnh hi ni kweli mkuu!! mbona robo tatu ni kubwa ya nusu inamaana alikataa dau kubwa akataka umpe dogo!!
 
Heee!!! Ina maana na the le mutuz hajalipwa hata cent!!!! Au yeye ni mutoto ya mujini alivuta kwanza?? Na hilo le mutuz ameli sajiri kisheria.Ukiwa na watu mbugila mbugila raha sana .
 
Kopo limeandikwa 'Wolper'.

Hata kama ni jina lake kweli, ana uhakika gani kaandikwa yeye na si Wolper mwingine?

lakini kama walimpelekea zawadi ya kopo iliyoandikwa jina lake la kisanii inamaanisha walikua wamemlenga yeye ili awe kama balozi wa promotion yao, mbona hawakuwapelekea zawadi ya kopo kina Wolper wengine!!!
 
Hivi unajua sheria au kwa sababu una uhuru wa kuandika ??
hivi kuna hati miliki ya jina ??
utakua juha kama jackline wolper

Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi

utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
E.png

F.png
G.png
 
wasanii wa Tanzania ni mamburula na watazidi kuwa masikini japo wana majina .

Badala ya kuungana kupinga unyonyaji huu wengine wanakenua meno.

Hui ni unyonyaji hizo company zina make pesa nyingi

unyonyaji upo wapi hapo ??
 
lakini kama walimpelekea zawadi ya kopo iliyoandikwa jina lake la kisanii inamaanisha walikua wamemlenga yeye ili awe kama balozi wa promotion yao, mbona hawakuwapelekea zawadi ya kopo kina Wolper wengine!!!

aachana na Nyani Ngabu yeye anafikiria mambo tofauti na binadamu wa kawaida
 
Last edited by a moderator:
Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi

utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
E.png

F.png
G.png

wawameandika jina lake au wameandika jina linalofanana na lake ?

hivi ukikuta mahali pameandikwa Ronaldo utajua ronaldo yupi ??

Wewe ni juha huyo wakili wa kusimamia kesi hii labda awe ana kitu anakitaka ila mwenye akili timamu hapati
 
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa

Huo utaratibu wewe umeujuaje?
 
Kopo limeandikwa 'Wolper'.

Hata kama ni jina lake kweli, ana uhakika gani kaandikwa yeye na si Wolper mwingine?

walikuwa wanapigewa picha na kuingiza katika mtandao.kesi inaanzia hapo ndugu.mbona wewe ni mgumu kuelewa? si picha za wote walipigwa picha zipo katika tovuti ya cocola afrika? tazama hapo juu nimekuwekea baadhi.
 
Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi

utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
E.png

F.png
G.png

Hawa ni mbulula tu hawajui kuwa wamewaingizia pesa coca cola elimu ndogo ni shida.
 
Back
Top Bottom