Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Ni mgogoro mkubwa ila hauzidi wako.

Mimi nina mgogoro gani?

Unapenda sana kujipendekeza kwangu sijui kwa nini tu!

Mara uninukuu humu halafu unaanza kuandika vitu ambavyo hata havieleweki, mara unaniandikia PM unaomba msamaha ambao hata siuelewi ni wa nini.....

Utakuwa una wazimu wewe.

Fanya hivi...achana na mimi. Acha kujipendekeza kwangu.

Sijali chochote kuhusu wewe. Kwanza sikujui nawe hunijui.

Na hii ndo mara yangu ya mwisho kukujibu takataka kama wewe na unawekwa ignore list.
 
Wewe una mgogoro mkubwa sana,babu Jinga wewe,nijipendekeze kwako ili nifaidi mashudu yako hayo!No wonder wewe ni nyani!!Nili kupm ili uniachie koo kwa maana uling'ang'ania kama jini kisa post ya thread,ukaanza drama zako za kike nikashindwa maana kigodoro chako kilienda shule nikakwambia cut the cra.p nakuheshimu!!Nakupa ruksa weka pm niliokuomba msamaha mcheza kigodoro wewe!Kweli babu jinga!!Usipotaka challenge unazowakabia wenzako kooni usiwe una act kama katoto ka kike!!Bichwa tupu wewe!!tena you are the one who said sorry...some one said you are 'jinga' truly you are!!
 
Mimi nina mgogoro gani?

Unapenda sana kujipendekeza kwangu sijui kwa nini tu!

Mara uninukuu humu halafu unaanza kuandika vitu ambavyo hata havieleweki, mara unaniandikia PM unaomba msamaha ambao hata siuelewi ni wa nini.....

Utakuwa una wazimu wewe.

Fanya hivi...achana na mimi. Acha kujipendekeza kwangu.

Sijali chochote kuhusu wewe. Kwanza sikujui nawe hunijui.

Na hii ndo mara yangu ya mwisho kukujibu takataka kama wewe na unawekwa ignore list.
Mimi takataka ila wewe ni sawa na kingnyesi,kubwa zima tabia za kitoto,mbishi kama una tezi dume,like I care ukiniweka kwenye ignore list!!Unapenda kuwarukia wenzio ukishikwa tako tu unalia kama ume...,nijikombe kwako nakujua!!hunijui wala hutokaa unijue nyani wewe!!
 
yaani nilichogundua hapa JF na bongo kwa ujumla ukifikiria tofauti na wengine au kikundi fulani wewe ni tatizo....
 
1) Hilo jina la Wolper ni jina lake kweli?

2) Kama ni jina lake, nchi nzima hakuna mwingine mwenye hilo jina?

3) Ni kweli kabisa kuwa Coca-Cola iliandika tu hayo majina bila hata kuwasiliana na hao wasanii?

4) Coca-Cola wameshatoa le tamkoz lolote kuhusiana na hilo suala?

Je jina hilo amelisajili?
Je ana copyrights ya jina hilo?
Niligundua kina lemutuz nk hawana jeuri ya kuivimbia coca simply kwasababu hawajayasajili majina yao na hawana copyrights ya majina hayo.
 
Je jina hilo amelisajili?
Je ana copyrights ya jina hilo?
Niligundua kina lemutuz nk hawana jeuri ya kuivimbia coca simply kwasababu hawajayasajili majina yao na hawana copyrights ya majina hayo.

Ila kusema ukweli Le mutuz kaonewa...Sawa majina ya kina Wolper wanaweza kuwa wengi mitaani, lakini le mutuz sidhani.....lile jina ni brand...

ila babu yangu anavyopenda sifa ndo kwaanza anashangilia...
 
hivi huko marekani hauna watu wa kuwafuatilia? we kila siku unahangaika tu na habari za bongo, si urudi tu mbona unateseka hivyo

Sasa unataka arudi nauli anayo? Huyu asubili akifia huko apigwe kibiriti tu jingaz kabisa huyu.
 
Huyu naye njaa itamuuwa..wolper ni jina lake kwanza.? Jina lake halisi ni hamisa katindasa kaja mjini anajifanya jackline wolper..!!!

Yoyooo hhhhaaaaaaaaa we kibok o w
 
Back
Top Bottom