We unaona ni sawa kutumia majina yao kuuza soda bila chochote? sasa fikiria nani juha zaidi?
Huyo changudoa hakuna analojua.
Kama ni jina lake halali, ana pointi endapo hawakulipwa au kuridhia majina yao kutumika.
Mi ningewachuna balaa.
Yeye alilitoa wapi??? Hawa ndo nawafananisha na jirani yangu mmoja nilitaka kuvuta umeme kutoka kwenye nguzo akanambia nimlipe nusu ya bei nikataka kumpa robo tatu akakataa tanesko walivyokuja wakamwambia na yeye amlipe yule alipochukulia ndo akaingia upepo mwisho nikala umeme billa kumpa mia....
Kopo limeandikwa 'Wolper'.
Hata kama ni jina lake kweli, ana uhakika gani kaandikwa yeye na si Wolper mwingine?
Hivi unajua sheria au kwa sababu una uhuru wa kuandika ??
hivi kuna hati miliki ya jina ??
utakua juha kama jackline wolper
wasanii wa Tanzania ni mamburula na watazidi kuwa masikini japo wana majina .
Badala ya kuungana kupinga unyonyaji huu wengine wanakenua meno.
Hui ni unyonyaji hizo company zina make pesa nyingi
lakini kama walimpelekea zawadi ya kopo iliyoandikwa jina lake la kisanii inamaanisha walikua wamemlenga yeye ili awe kama balozi wa promotion yao, mbona hawakuwapelekea zawadi ya kopo kina Wolper wengine!!!
mbona hawakuwapelekea zawadi ya kopo kina Wolper wengine!!!
Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
mmmnh hi ni kweli mkuu!! mbona robo tatu ni kubwa ya nusu inamaana alikataa dau kubwa akataka umpe dogo!!
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
Kopo limeandikwa 'Wolper'.
Hata kama ni jina lake kweli, ana uhakika gani kaandikwa yeye na si Wolper mwingine?
Huo utaratibu wewe umeujuaje?
Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
hii inahitaji akili ndogo sana kujua mkuu, labda kama unataka kuanzisha tu ligi!!!Umejuaje hawakuwapelekea akina Wolper wengine?
Au wewe ni afisa usambazaji wa Coca-Cola?
Umejuaje hawakuwapelekea akina Wolper wengine?
Au wewe ni afisa usambazaji wa Coca-Cola?