Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Hati miliki ya jina ndo ishu hapo., hamna msaada wowote tunaoweza kumpa huyu dada.,
 
Hivi Wolper ni changudoa ee..!

We nawe umedandia karandinga kwa mbele.

Mi sikuwa namzungumzia Wolper hapo!

Sasa habari za Wolper wewe umezitoa wapi?

Muwage mnasoma kwanza kabla hamjarukia vitu kwa mbele.
 
Licha ya kuamini kuwa inawezekana jina lo ni photoshop lakini ulitakiwa kupata chochote.kama hujui ungana na wolper kudai

nimekuuliza chupa ya soda imeandikwa ronaldo atakayeenda kudai ni ronaldo yupi atadai ??
 
Hii ni nchi ya viongoz wasiojal maslah ya wananchi wao,labda jambo lguse maslah ya viongoz ndio ltapewa kpaumbele,inashndkana vp kuweka mifumo|hakimilik il wasanii wetu wanufaike na kaz zao?Jna la msanii ni brand,utaltumiaje bila izini yake?!Hao Coca-cola washapima wameona wasanii serikali haiwackiliz ndio mana wameamua kuwafanyia hyo k2,poleni sana,pambaneni mpaka mpate haki yenu..
 
Hivi kuna mtu humu anayejua Coca-Cola wamesemaje kuhusu hizi tuhuma?
 
We nawe umedandia karandinga kwa mbele.

Mi sikuwa namzungumzia Wolper hapo!

Sasa habari za Wolper wewe umezitoa wapi?

Muwage mnasoma kwanza kabla hamjarukia vitu kwa mbele.
Cool down sio vita,'karandinga'!
 
We nawe umedandia karandinga kwa mbele.

Mi sikuwa namzungumzia Wolper hapo!

Sasa habari za Wolper wewe umezitoa wapi?

Muwage mnasoma kwanza kabla hamjarukia vitu kwa mbele.

hivi huko marekani hauna watu wa kuwafuatilia? we kila siku unahangaika tu na habari za bongo, si urudi tu mbona unateseka hivyo
 
Ha!ha!ha!
Vipi huyo jirani mnaelewana lakini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…