Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Halafu, hawaandiki majina ya hao so called wasanii tu.

Hata wewe ukitaka uwe na le kopoz au le chupaz yenye jina lako watakuandikia tena bure.

Sasa sijui na wewe jina lako ndo litaiuza hiyo soda...?

Hadi majina ya kina mwajuma basi nao wapige kelele kua wamenyonywaa ,,maana wameandikwa ngoja ninywe coca yenye jina langu mieeee
 
Kwani huyu Wolper yeye kapigwa na nani hiyo picha?

Kwamba Coca-Cola ipo zaidi ya miaka 128, hiyo ni kweli.

Kwamba Coca-Cola haimhitaji Wolper wa kibongo, hiyo nayo ni kweli kabisa
.

Una jingine?
mkuu katika marketing kuna kitu inaitwa PRODUCT LIFE CYCLE na stages zake ni INTRODUCTION STAGE, GROWTH STAGE, MATURITY STAGE, na DECLINE STAGE, na hizo stages zote zina marketing strategies tofauti, product kama Coca cola iko kwenye MATURITY STAGE na inawahitaji watu kama kina Wolper kulingana na eneo husika la soko ili waitangaze kuikumbusha jamii kwamba hii product bado ina exists kwenye market, hata kama Cocacola ingekua na miaka 500 baada inahitaji kutangazwa ili iendelee kuuzwa, kwahivyo basi Cocacola inamhitaji Wolper wa kibongo tena kwa sana tu ndo maana ikamuandika kwenye le kopoooz...
 
Kwa hiyo kaandikwa Wolper tu na hakuna majina mengine kama Rajabu au Agness, ambayo ni ya watu wa kawaida tu na ambayo yamendikwa kwenye hizo chupa na kopo?

Coca-Cola ina options nyingi sana kiasi cha kutomhitaji Wolper.
 
majina kama ya akina Wolper na wasanii wengine yana impact kubwa katika suala zima la marketing ya product ndo maana umeona wamepewa na zawadi za le kopoooz, jiulize kwanini hao kina Rajabu na Agness ambayo ni ya watu wa kawaida kwanini hawakupewa zawadi hizo!!??
Ni kweli Cocacola ina options nyingi sana na hii ya Wolper ikiwemo kwenye uhitaji wao ndo maana wameitumiaaaa...
 
Una uhakika hawakupewa? Au unasadiki tu?

Ni kweli Cocacola ina options nyingi sana na hii ya Wolper ikiwemo kwenye uhitaji wao ndo maana wameitumiaaaa...

Wametumia majina ya watu wengi hivyo la huyo Wolper wala halina upekee wowote ule hadi udai wanalihitaji.
 
Una uhakika hawakupewa? Au unasadiki tu?

Wametumia majina ya watu wengi hivyo la huyo Wolper wala halina upekee wowote ule hadi udai wanalihitaji.
Duh we jamaa ni mbishi kama waziri MUHONGO muongo wa Escrow...
 
Nilicheka lile swali la umejuaje Zari ana miaka 41 hakuna aliejibu teh

Hawa watu wanapenda sana kusadiki mambo huku hawajui tofauti ya kusadiki na kujua.

Mtu anakuja anadai Zari ana miaka 40. Ukimwuliza kajuaje Zari ana miaka hiyo, hana jibu.

Wanachekesha kweli hawa watu.
 
Hawa watu wanapenda sana kusadiki mambo huku hawajui tofauti ya kusadiki na kujua.

Mtu anakuja anadai Zari ana miaka 40. Ukimwuliza kajuaje Zari ana miaka hiyo, hana jibu.

Wanachekesha kweli hawa watu.

Uliwaweza utafikiri walimzaa wao,
 
Hawa ni mbulula tu hawajui kuwa wamewaingizia pesa coca cola elimu ndogo ni shida.

Hahahaha Kweli Hapa mwenye akili amewazidi kete wenzao ni huyo Marketing Manager jamani Shule muhimu wasanii someni shule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…