Jambazi
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 16,648
- 18,742
Huyo wolper kwani yuko peke yake kama Mimi mhemeavisogo??! Asilete uchizi wake hapa, Anatafuta kick tu. Kuna wakina wolper wangapi bongo hii. Njaa mbaya jamani....!!🙂 🙂
Naskia anataka kununua Iphone 6 na hela hana! ndyo maana mnamuona anakomalia hapo ili alipwe fidia