Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Cocacola kubandika majina ya watu bila ruhusa/malipo, Jacline Wolper aomba wanasheria kuingilia kati

Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi

utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
E.png

F.png
G.png

Hao wasanii ni bubu?

Hawaulizi kwa nini majina yao yamewekwa kwenye makopo kabla ya kupata ridhaa yao?

Usitake kuwa mjinga kama mlalamikaji.
 
Ndiyo maana kuna majukwaa tofauti. siasa,sheria na mambo ya sex. sasa we unapost mambo ya sex kwenye jukwaa la sheria. nenda huko mjadili papuchi,oral sex na masaburi huku palipo na mijadala ya kuhitaji akili waachie wenye uwezo nayo. we nenda huko kajadili matiti na mbunye zako mama.

Kiruuuuu mahaba nitetemeshe niumwe dengueee
 
Huyu naye njaa itamuuwa..wolper ni jina lake kwanza.? Jina lake halisi ni hamisa katindasa kaja mjini anajifanya jackline wolper..!!!

Duh! Nasubiri na wale wanaotumia majina ya watu nao waje kulalama.
 
Coca wana akili sana wameanza na watu maarufu kwanza ili kionekane kitu special na walijua watakuwepo ambao watataka japo kitu kidogo kulingana na uwezo wao wa ushawishi kwa jamii,then walivyohakikisha tayari wameshawatangaza ndio wakafanya ni ya jina lolote sio wao tu ambao majina yao yameandikwa.Hii ni mbinu ya kibiashara ndio maana hawajibu chochote sababu hawakuwalazisha lakini mmewatangaza kwa minajiri yenu wenyewe.

Hii 2015 hakuna marketing nzuri na kubwa kama ya social medias wametumia fursa kwa watu maarufu wa tanzania kuwafanyia tangazo la kampeni yao ambayo itaendelea kwa kipindi kirefu sababu bado watu maarufu wataendelea kusimamia umaarufu wao wasishuke hivyo na coca nao watafaidika as long as tayari walishawatangaza tena mahsusi kwa Tanzania.

Pongezi kwa alietoa idea ya hiyo promo maana ni unajifunga goli mwenyewe gizani halafu asubuhi mwanga ukirudi unalikataa wakati hadi ulilishangilia
 
Baada ya kupelekewa kopo lililoandikwa jina lake kwa nini hakuwahoji kutumia jina lake bila idhini yake au malipo?Badala yake anakuja kutafuta sympathy kwenye social media.Aende zake huko kuna watu wengine wanahitaji kusaidiwa na wanaharakati lakini siyo hawa wasanii. Wajisaidie wenyewe au walipe ili wasaidiwe.
Ndo maana akasema baada ya kupelekewa kopo hakupiga picha badala yake alianza kutafakari mazingira aliyopelekewa zawadi na hii kutafakari ni pamoja na kutafuta ushauri na sio SYMPATHY juu ya haki yake aliyonayo kwa jina lake kutumika katika tangazo la kibiashara kama alivyoomba wanaharakati wampe msaada wa kujua haki zake katika hili suala...
 
Kuna watu wanajifanya much know utadhani ni wasemaji wa coca cola!kila kitu wanajua wao kumbe majuha tu.

Vipi wale wanaojifanya wasemaji wa wasanii je?

Nilishasema hawa wasanii wasubiri uchaguzi mkuu unakuja ili wakapige ramli zao kwenye kampeni za wanasiasa.

Wasanii kama hawa hawana hata aibu kuwataka wanaharakati wawasadia kupata haki zao?

Kazi za wanaharakati ni kuwasadia the most disadvantaged people in the society.

Hawa wasanii arent. Kwani hawana chama chao? Wadai haki zao kupitia huko.
 
Nyani Ngabu we unakomaa sana ,ina maana unafikiri walichofanya Cocola ni sawa? kutumia majina si tatizo ila tatizo ni pale unapoyatumia kutengeza fedha wakati wao hawapati kitu.

Coca-Cola wametengeneza fedha ngapi kupitia hayo majina kwenye makopo?

kwa nini unakuwa mgumu kuelewa jambo hili.

Nakuwa mgumu kuelewa jambo gani?

Inawezekana kisheria wasanii wasishinde au wasipeleke kesi mahakamni lakini iyo haitoi mwanya kuwa coca walikuwa sahii.

Kwani kosa la Coca-Cola hasa ni lipi?

Vua miwani uliyo nayo ,jitambue,elewa msingi wa hoja.

Sijaona hoja yoyote ile iliyo ya msingi. Nyie mnahukumu tu bila hata kusikia upande wa Coca-Cola wanasemaje. Au wewe umeshaongea nao na kusikia walichonacho kusema?

Hoja kwamba jina lake si brand name si hoja kuntu hapa.

Kwa hiyo?

issue ni kwamba Coca cola wamewatapeli wasanii hawa basi.

Wamewatapeli kivipi? Hebu nieleze kwa utondoti jinsi na namna ambavyo wamewatapeli hao wasanii.
 
baba yake ndio akalalamike huko coke maana jina lake limewekwa kwenye kopo
 
Hahahaha Kweli Hapa mwenye akili amewazidi kete wenzao ni huyo Marketing Manager jamani Shule muhimu wasanii someni shule

Kwa kweli wanahitaji maarifa ili waache kuomba kusaidiwa kama watoto yatima.
 
majina kama ya akina Wolper na wasanii wengine yana impact kubwa katika suala zima la marketing ya product ndo maana umeona wamepewa na zawadi za le kopoooz, jiulize kwanini hao kina Rajabu na Agness ambayo ni ya watu wa kawaida kwanini hawakupewa zawadi hizo!!??
Ni kweli Cocacola ina options nyingi sana na hii ya Wolper ikiwemo kwenye uhitaji wao ndo maana wameitumiaaaa...

Kama yana impact kubwa hivyo kwa nini wanawaomba wanaharakati wawasaidie?

Kwa nini wasitumia impact ya majina yao kudai haki zao badala ya kulialia na kuwaomba wasio na wajina yenye impact kama yao wawasadie tena bure?
 
Kwa hiyo kaandikwa Wolper tu na hakuna majina mengine kama Rajabu au Agness, ambayo ni ya watu wa kawaida tu na ambayo yamendikwa kwenye hizo chupa na kopo?

Coca-Cola ina options nyingi sana kiasi cha kutomhitaji Wolper.

Kama Coke wana options nyingi zaidi ya kumuhitaji Wolper kwanini basi kwanza walimpigia simu aende kupokea zawadi yake ya kopo lenye jina lake? Kisha wampigishe mapicha watupie kwenye social media zao

Kama wangeandika Wolper kwenye kopo na wasimwambie kama ni yeye unadhani angelalamika anatumika bila makubaliano?

Mi nadhani Coke wenyewe pia hawakuwa wazi toka hii programu inaanza kwa kutoa ufafanuzi
Huwezi ukampigia tu simu celebrity mkubwa from nowhere kisha unamwambia kuna zawadi yako ya kopo la coke lenye jina lako njoo upokee tukupige picha bila makubaliano, kumbuka makubaliano sio laZima iwe malipo

Kuandika jina Juma hakumfanyi neture kulalamika, itategemea hilo juma unalitumiaje?

Wasiojua namna marketing inavyofanywa wataamini hii ni just ku share lakini ukweli ni kwamba coke wanajitangaza kuboost sales zao
Ni kutokujua kunaweza kusababisha mtu akasema coke hawamuhitaji fulani kujitangaza sababu kujitangaza kunaweza kufanywa na mtu yeyote yule kuanzia watu maarufu kabisa duniani hadi mtoto mchanga wa kuzaliwa leo
So coke wanahitaji watu kujitangaza na Wolper ni mtu pia
 
Kama yana impact kubwa hivyo kwa nini wanawaomba wanaharakati wawasaidie?

Kwa nini wasitumia impact ya majina yao kudai haki zao badala ya kulialia na kuwaomba wasio na wajina yenye impact kama yao wawasadie tena bure?

Kwani kuwa na impact kwenye kitu fulani maana yake ni u can do anything?
 
Nampongeza wolper kwa ilo ila ilibidi iyo fursa mahakamani kuwashtaki....kama Ana mkataba nao... Kisheria ye ndo aliyetengeza brand ya jina lake.. kwa iyo ni haki yake kudai pesa ata kama kuna wolper kijijini kwenu akuna anayemjua.. akitaka afaidi vizuri na akasajiri wolper ka business name ili ale faida zaidi
 
Kama Coke wana options nyingi zaidi ya kumuhitaji Wolper kwanini basi kwanza walimpigia simu aende kupokea zawadi yake ya kopo lenye jina lake?

Wewe umejuaje walimpigia simu? Ulikuwepo wakati wanampigia hiyo simu?

Kisha wampigishe mapicha watupie kwenye social media zao

Alishikiwa bunduki wakati wanampigisha hiyo picha?

Kama wangeandika Wolper kwenye kopo na wasimwambie kama ni yeye unadhani angelalamika anatumika bila makubaliano?

Sasa walipomwambia hivyo kwa nini hakuwakataza wasiliandike hilo jina analodai ni lake?

Mi nadhani Coke wenyewe pia hawakuwa wazi toka hii programu inaanza kwa kutoa ufafanuzi

Kama unadhani sawa maana kudhani tu hakuna shida. Na kwa vile umesema unadhani maana yake ni kwamba hujui Coca-Cola waliongea nini na hao watu.

Huwezi ukampigia tu simu celebrity mkubwa from nowhere kisha unamwambia kuna zawadi yako ya kopo la coke lenye jina lako njoo upokee tukupige picha bila makubaliano, kumbuka makubaliano sio laZima iwe malipo

Umefikia hili hitimisho baada ya kusikia toka pande zote zinazohusika au umelifikia kutokana na unachokisoma tu kwenye mitandao ya kijamii?

Kuandika jina Juma hakumfanyi neture kulalamika, itategemea hilo juma unalitumiaje?

Sawa.

Wasiojua namna marketing inavyofanywa wataamini hii ni just ku share lakini ukweli ni kwamba coke wanajitangaza kuboost sales zao

Huku ni kusadiki tu sasa maana hujui kama hayo majina yameongeza mauzo ya Coca-Cola. Kama unajua niwekee takwimu hapa.
Ni kutokujua kunaweza kusababisha mtu akasema coke hawamuhitaji fulani kujitangaza sababu kujitangaza kunaweza kufanywa na mtu yeyote yule kuanzia watu maarufu kabisa duniani hadi mtoto mchanga wa kuzaliwa leo
So coke wanahitaji watu kujitangaza na Wolper ni mtu pia

Na watu wako wengi vilevile.
 
Kama yana impact kubwa hivyo kwa nini wanawaomba wanaharakati wawasaidie?

Kwa nini wasitumia impact ya majina yao kudai haki zao badala ya kulialia na kuwaomba wasio na wajina yenye impact kama yao wawasadie tena bure?

mkuu sasa hapa unachanganya mambo, wao hapa wanahitaji msaada wa kujua haki yao ni ipi kuhusu majina yao kutumika katika matangazo ya kibiashara probably kisheria ambayo sio proffesional yao, sasa unaposema watumie impact yao naona kama unachanganya mambo hapa...haimaanishi kwamba kwakua Wolper ni msanii superstar kibongo bongo ofcourse, basi atakua anajua haki zake zote na hana haja ya kuomba msaada kwa masuala asiyokua na ufahamu nayo!!, hapa utakua unakosea boss...
 
mkuu sasa hapa unachanganya mambo, wao hapa wanahitaji msaada wa kujua haki yao ni ipi kuhusu majina yao kutumika katika matangazo ya kibiashara

Kuna matangazo gani ya biashara (ya Coca-Cola) yenye majina ya hao wasanii?
 
Back
Top Bottom