Huyo wolper kwani yuko peke yake kama Mimi mhemeavisogo??! Asilete uchizi wake hapa, Anatafuta kick tu. Kuna wakina wolper wangapi bongo hii. Njaa mbaya jamani....!!🙂 🙂
Hahahaaa sasa yeye kalitoa wapi hilo jina?
Wana google majina humu kwenye internet hawa. Kuna mhehe anaitwa wolper jamani?
Wana google majina humu kwenye internet hawa. Kuna mhehe anaitwa wolper jamani?
Missing u too baby girl...Miss u
Wewe barafuyamoto hata popi wangu nilishaanza kumwita kitambo kabla wewe hujajiunga na JF.Na mimi pia jina nililipata kwa mpiga ramli mmoja wa Nachingwea.Kama ni jina lake halali, ana pointi endapo hawakulipwa au kuridhia majina yao kutumika.
Mi ningewachuna balaa.
Sasa Naamini tuna wanaharakati, wabunge,wanaSheria pamoja na serikali ambao huwa wanafwatilia wale wauza CD wa kariakoo basi Naomba Juhudi hizi mzihamishie huku katika kampuni hii kubwa ya Kimataifa coca cola ili kutetea haki za Wasanii na sio kudhalilishwa kwa kiasi hiki jamani
Nyani Ngabu we unakomaa sana ,ina maana unafikiri walichofanya Cocola ni sawa? kutumia majina si tatizo ila tatizo ni pale unapoyatumia kutengeza fedha wakati wao hawapati kitu .kwa nini unakuwa mgumu kuelewa jambo hili.Inawezekana kisheria wasanii wasishinde au wasipeleke kesi mahakamni lakini iyo haitoi mwanya kuwa coca walikuwa sahii.Vua miwani uliyo nayo ,jitambue,elewa msingi wa hoja. Hoja kwamba jina lake si brand name si hoja kuntu hapa.issue ni kwamba Coca cola wamewatapeli wasanii hawa basi. Pia comment zako Dinazarde peleka jukwaa la love conect maana husaidii mjadala bali upo kwenye ngono tu. ama jukwaaa mama
Kuna Lowasa na Lowassa.
Unamjuwa Fred Lowasa?
Kuna Lowasa na Lowassa.
Unamjuwa Fred Lowasa?
Kwa hiyo ww unanipangia cha kuandika,we unavyoandika humu unawasaidiajee hao sie uende huko mahakamani uwasaidie unadhan kujaza humu maneno yako ndio utawasaidia,,,,naandika nitakacho sijakushikia panga au gun usome post zangu, naandika jukwaa lolote nitakalo fata yako yangu niachie,ukiyafata sana ujue unavutiwa na post niandikazo
Mahaba niteketeze niungue nibaki majivu
Hutaki, hupendii kufwaaaaa for me
Tatizo hata la saba hakumaliza.. Fisi maji mkubwa
Tatzo unaongea tu wala hujiongezi kusoma.soma bandiko kisha rudi
utaratibu waliokuwa wakitumia walikuwa wanafuata msanii,wanamweleza kuwa wametumia jina lake,wanampatia soda ya jina lake na kumpiga picha na kuingiza mtandaoni sasa unakurupuka huko unaandika ujinga. tazama hapa chini. unadhalilika kwa kuandika ugoro hapa
lakini kama walimpelekea zawadi ya kopo iliyoandikwa jina lake la kisanii inamaanisha walikua wamemlenga yeye ili awe kama balozi wa promotion yao, mbona hawakuwapelekea zawadi ya kopo kina Wolper wengine!!!