Cocochanel interview prep!

Daima am with zari kwanza simfikii kwa mafanikio yake nayataman ,sijali tabia zake maana naweza mjudge kumbe mie ndo mbaya zaidi kitabia ila kafika mbali sana na kumpa akili dai
Kabisaaa ukiacha mapungufu yake ambayo kila binadamu anayo ni mtafutaji sana.
Tatizo la mdogo wetu sepetu hapendi kujituma hatumii umaarufu wake kupata hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…