Cocochanel interview prep!

Cocochanel interview prep!

Daima am with zari kwanza simfikii kwa mafanikio yake nayataman ,sijali tabia zake maana naweza mjudge kumbe mie ndo mbaya zaidi kitabia ila kafika mbali sana na kumpa akili dai
Kabisaaa ukiacha mapungufu yake ambayo kila binadamu anayo ni mtafutaji sana.
Tatizo la mdogo wetu sepetu hapendi kujituma hatumii umaarufu wake kupata hela.
 
Huyu mama anakosea hapa tu mwanaume sio wa kushindana nae kabisa jamaan unamuacha tu na mambo zake
f6710833f0ff6c085b0e4e4ff440f574.jpg
7ce9498a182d9b1a198fa3ea744e1b8d.jpg
54f4c32779c54518d2b7eda21c951c1d.jpg
 
Back
Top Bottom