Nyie va dada mnasarau hii bidada[emoji13] [emoji13]Mimi sina swali...ila nataka kutoa shukrani za dhati kwa Dj kwa kutuletea huyu mlimbwende hapa jukwaani.
Tumezidi kumuelewa zaidi..
Kweli kabisaHewa
Nichungulia na ...Kweli kabisa
[emoji23] [emoji23] huyu mwanamke yuko shallow sana kwenye uwezo wa kujieleza na kupambanua mamboNichungulia na kuamua kuokoa muda wangu kuliko kuunguza humu post to post...dj kafunua mzimu
Hahahaa naona unanigeuzia kibao lol...mie charty yule yule sijabadil kitu...
Huyu ni Mzuri Mie
Nilimchunguza muda mrefu nikaja kumgundua baadaye.
Akaja kunifuata PM akidai yeye sio mzuri mie sasa ubaya zaidi majibu aliyoyatoa yalidhihirisha kuwa yeye kweli ni Mzuri Mie.
Ingekuwa Mods hawakatazi kuweka mazungumzo ya PM jukwaani ningeweka kama ushahidi.
duh.
Ulichoulizwa na ulichojibu ni tofauti.
Aje anibishie hapa niweke ushahidi wa PM ni ushahidi mwengine ambao ninao wa kutosha.
mh!!! kumbe mwanateknolojia!!!!!Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.
Elimu ya juu vyuoni.
Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia na management..
Yani ni maajabu kabisaKama vyuo vyetu ndo vinatoa wasomi wa dizaini hii.....!!Basi Mungu aturehemu kwa kweli.Umemwaga upupu kila mtu anajikuna kwa style yake.
Hivi ni mimi tu ama?
Simuelewi anachoandika kwa kweli
|No hard feelings|
Hivi ni mimi tu ama?
Simuelewi anachoandika kwa kweli
|No hard feelings|
Sio kwamba hajui kiswahili,ishu ni kwamba hajui kupammbanua mamboMkuu huyu cocochanel alishawahi kusema hajui vizuri kiswahi. Mkuu Daby alimwuliza siku moja naye akajibu kuwa hayupo vizuri kwenye kiswahili.
Me naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:
1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??
2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??
3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??
4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...
Sio kwamba hajui kiswahili,ishu ni kwamba hajui kupammbanua mambo
Yani kwa jinsi mwenyewe alivyo na mbwembwe unaweza kumuogoa kumbe kichwani bashite kabisa.Hahahahahaha mkuu umeua. Habari inapandana kama matofali yani haeleweki
Hata haya anaweza asielewe ni nini kinazungumzwa juu ya hii interview.Yani kwa jinsi mwenyewe alivyo na mbwembwe unaweza kumuogoa kumbe kichwani bashite kabisa.