Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Hahahaa naona unanigeuzia kibao lol...mie charty yule yule sijabadil kitu...

Huyu ni Mzuri Mie

Nilimchunguza muda mrefu nikaja kumgundua baadaye.

Akaja kunifuata PM akidai yeye sio mzuri mie sasa ubaya zaidi majibu aliyoyatoa yalidhihirisha kuwa yeye kweli ni Mzuri Mie.

Ingekuwa Mods hawakatazi kuweka mazungumzo ya PM jukwaani ningeweka kama ushahidi.

duh.
Ulichoulizwa na ulichojibu ni tofauti.


Eeeeeeeeh
Mti mmoja.
 
Aje anibishie hapa niweke ushahidi wa PM ni ushahidi mwengine ambao ninao wa kutosha.

Acha kujijibu na kukazania lisilo
Utaandika na kutishia mengi ila unajua hauna kitu.. unavyopenda kuniandama.. niliona msg kule asubuhi eti unapita nikajua utakuja kivingine na ukaja eeeeeh

Bora unyamaze kimya.
Soma interview pita acha kutafuta kiki kupitia Cocochanel. Na msikasirike mtu anapokataa kujibu ya PM kama salamu.. eeeh.
 
Cocochanel ni mwanamke niliyezaliwa Mkoa mmoja ingawa Wazazi wangu walikuwa wanaishi Mkoa mwingine.. wakaipenda tu hiyo hospitali.

Elimu ya juu vyuoni.

Nachofanya mimi ni kwenye upande wa teknolojia na management..
mh!!! kumbe mwanateknolojia!!!!!
 
Me naomba majibu mafupi sana. Maswali ni haya:

1-Umewahi kuugua ugonjwa wowote wa akili ktk maisha yako!??

2-Umewahi kufanya jambo gani la kutumia akili liwe la kijamii au kifamilia(litaje jambo lenyewe) na lilifanikiwa!? Km halikufanikiwa kwa nn!??

3-Ukiacha matumizi ya I'd fake,unaweza kuniambia jinsia yako kwa uhakika,wewe ni ME/KE!??

4-Elimu uliyotaja uliyonayo umesema ni ya chuo na umesema ni tecnolojia,ni tecnolojia gani hiyo,ukinijibu ntarudi kukuuliza swali la fani uliyosoma ili kuthibitisha elimu yako. Kwa unavyoonyesha hujakanyaga hata ordinary level. Samahani lkn. Ntarudi...


una akili sana wewe
 
Back
Top Bottom