Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Majibu ya interview sijaelewa kabisa.
hapa nipo najiuliza mimi ni kichwa maji au majibu yaliyotolewa ndio tatizo au aliyetoa majibu ndio kichwa maji?

Nauliza wadau wote maana bado sijapata jibu hapa.

Eeeeeeeeeeeh
Wivu.com

Mjue humu kuna watu level zisio zenu.. ha ha haaaaaa
Na hauna haja ya kuelewa kwasababu havikuhusu wala haujavipitia
Ha ha ha haaaaaaaaa

Nilijua mtatafuta mapovu a kumwaga na hapo nimebana mengi.. ningemeagika mngelia kama wanyama
 
DJ nilikuwa bussy kufuatilia hii interview ila honestly kabsa mtu wako Leo alikuwa akiulizwa swali anajibu essay yenye content zero
Jitahidi siku nyingne usihoji mtu kama huyu maana amezingu kinoma.

Ha ha ha haaaaaaa
Wewe humu unafikiri sikujui kupinga kila naloandika JF kisa siasa

Maneno yenu hayanibadili ni nabaki nacheka jinsi ninavyowaburuza humu ndani na hamnifikiii
eeeh
My fan
 
Ahsante kwa majibu yako ya usahili, nina swali moja tu.

Tangu ujiunge na Jamboforums na sasa ndio JF umewahi kupewa BAN? Mara ngapi?
 
Wivu.com
Jipige vibao vya usoni ulie
Ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Maswali yangu hujayaona nirudie kukuuliza!!? Hebu nisaidie majibu basi bibie,maswali yapo comment number#193.
 
Huyu mtu ameaibisha sana usimlete tena. Anasema ameenda vyuo? Hata ku construct sentensi hawezi? Anaandika phrase badala ya sentensi halafu mipasho kama ya kopa?? Heri yangu ngumbaru naweza kujieleza.
 
Unaweza kukisoma ilichokiandika kwa usahihi?
 
Ha ha ha haaaaaaa
Wewe humu unafikiri sikujui kupinga kila naloandika JF kisa siasa

Maneno yenu hayanibadili ni nabaki nacheka jinsi ninavyowaburuza humu ndani na hamnifikiii
eeeh
My fan
Ikiwa unaandika pumba za ivi nikupinge kwa faida gan?
 
Watu bwana, sasa kama umesoma na huelewi si ufungue nyuzi zingine usiumize akili yako? Kweli unapoteza precious time kusoma na kufuatilia kitu usichoelewa, utakuwa na UA(upungufu wa akili)
 
Akikujibu maswali haya niite mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…