Cocochanel live interview on DJ sepetu show!!

Akikujibu maswali haya niite mkuu
 
Interview ya Leo ngumu,,,mjibu maswali ana Sifa zaidi kuliko uhalisia,,,maelezo mengi yamejaa kujikweza ,,,mi navojua watu walioishi maisha km aliyoeleza ,,hawanaga mbwembwe,,they are always simple and smart,,

Anyways hongera kwa kujitahidi
 
Hao uliowataja pekee ndio wanapaswa kushiriki katika Interview hiyo?
 
Hapa ndyo umejibu swali?
[emoji15] [emoji15]
Alfu Eti huyu ni mwanamikakati wa CCM poleni sana Lumumba

Ha ha ha haaaa
Najifurahia kwa kuwajua.. maneno mengi mwanzoni ulifikiri sifahamu zako eeeeeeh

Sasa umejionyesha na yako ya siasa
Na nilijua ni hayo... Lumumba nenda wewe kuomba kazi naona unatamani sana
 



Majibu mazuri siku nyingine sumarize
 
Mkuu DJ Sepetu umezingua Sana kumleta huyu Mwili nyumba-shati linafunika vits.. Mimi Hua Ni msomaji zaidi kwenye hii mikabala yako ILA hii imenichefua mno!
Amekosea wapi jamani,hicho ndio kiwango chake cha ufahamu,nadhani ni bora kujenga tabia za kuvumiliana Na kutofautiana pasipo kugombana.
DJ sepetu.
Regards
 
Maswali yangu hujayaona nirudie kukuuliza!!? Hebu nisaidie majibu basi bibie,maswali yapo comment number#193.

Si umeniuliza kama nimewahi kuugua ugonjwa wa akili au?
Sasa subiri kwanza nione hii akili yangu itanipa jibu gani.. kuwa na subira kwa sababu hii akili yangu sasa imezima haitumiki...
 

Duh haya bhana
 
Unaweza kukisoma ilichokiandika kwa usahihi?

Ikiwa unaandika pumba za ivi nikupinge kwa faida gan?

Ha ha haaa
Kama unataka msaada wa kujua kumwaga nondo na kupambana si useme tu.. naona mambo ya jukwaa la siasa yanakutafuna juu yangu.. unakuja kunifata huku.. oooh eeeee burudika nami..

Sasa soma majibu ya maswali aliyoniuliza DJ ndio utatamani kujipiga vibao vya usoni kimya kimya

Eeeeeeeh my mushabiki
Karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…