carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Jina la mtu hilo shauri yakoMatusi haya!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina la mtu hilo shauri yakoMatusi haya!
3.Cocochanel ni kitu gan ama jambo lipi unaweza kulipigania au kulitetea kwa nguvu zote kiasi kwamba upo tayari kufa ukiamini?
Jambo gani ukilianza huwez kata tamaa kirahisi!
Uliza maswali hukoooMatusi haya!
Vizuri!Furaha na Amani kwa familia niliyozaliwa nikijumuisha na wanangu kwa juuuuuuuu.
Pia mengine machache kwenye maisha kama nimeapia au nimeingia kwa kuaminia niliyovutiwa nayo juu ya kilichopo itabidi.. kutokana na yalivyo
Ninachokiaminia na kuamini kipo.. hata uniletee nini nitalishikiria.. na pia mtu akiwa mbishi au anaongea nami basi tu juu ya jambo bila kuwa na facts huyo nitakula nae sahani moja..
Nasukumwa pia maishani na machale niliyobarikiwa na Mola na hayaniangushi.
I hope nimekujibu.
Mkuu inabidi nibadili jina nimepata malalamiko kwa member wengi wakidai jina lina ukakasiMatusi haya!
Hahahahahh Mungu anakuona ujueChoko chanel nakupendaa
mkuu ID yako si mchezo huku kijijini kwetu ni papu.chiMkuu inabidi nibadili jina nimepata malalamiko kwa member wengi wakidai jina lina ukakasi
Huu mwandiko sio ninaoufahamu mimi.Kwangu maisha ni kwanza kujitahidi kwenye maisha tangu ukiwa unaanza kukua.. yaani ile kujipanga kuanzia masomoni kujua nini unataka kufanya mbeleni
Pia kuishi kwa furaha na amani na kuishi maisha ya kuridhika na ulichonacho na kama unataka mengine zaidi basi ni muhimu kujisukuma kuyafikia hayo na kuwa na plan B au C ikibidi.. ili usiishie kuishia kujiona umekwama na hauna lingine.. kumbe mtu una uwezo wa mengi.
Kuenjoy maisha.. sio kuishi kivingine huku una uwezo wa kujirurahisha wewe na wapendwa wako.. tunaishi mara moja.
Vizuri!
4.vipi unakabiliana na hasira kama binadamu!?
Na kwa namna gani unageuza mawazo hasi uliyonayo kuwa chanya?
Muda baadae!Mimi zangu ni sijibu au sitendi kitu hapo hapo kutafuta chochote kama kumfurahisha mtu.. nitatafuta muda wangu wa kufikiria, kuchunguza inapobidi, yaani kupata nafasi inayobidi kujua iweje.
Pia kwangu ninakuja na kwamba ni msiri sana sana.. hata kitu kitokee siwezi kujiropokea kisa nimesukumwa kukasirika.. nitajiweka hata mtu usifahamu hilo limenijia.. naweza kukuchekea kama utaniona mjinga shauri yako.. so hapa inanipa muda tena kutotoa hata nilijualo hadi nipige pozi.. ukinipiga marungu pia utakuwa unajisumbua kama sitaki kuonyesha nimekasirishwa hadi nitafakari.
Naamini kujibu lolote hapo hapo mtu unaweza kujutia.. nitajibu huku niiangalie mbele pia na sio muda huo tu.
Samahani hasi na chanya maneno hayo naomba unifafanulie.
cheka unenepeAisee JF huwa inanichekesha sn[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Muda baadae!
5.sifa zako kuu3 zinazokutofautisha na wengine ni zipi?
Kwa vipi ratiba yako ya siku inakuletea matunda au mafanikio!
[emoji87] [emoji87] [emoji87] Duh..!!mkuu ID yako si mchezo huku kijijini kwetu ni papu.chi
Naombeni tufuatilie kimya kimya kama tulivyoridhiana.cheka unenepe
Nawe ni Ke? hahaha leo nimebeba jukumu la CURI.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] Duh..!!
Ni ME mkuu niombe radhicheka unenepe
Nawe ni Ke? hahaha leo nimebeba jukumu la CURI.
Acha kusumbua naandika wasumbufu mm.lakini sitakuandika wewe mpenz.Hahahahahh Mungu anakuona ujue
Powa mkuu.Naombeni tufuatilie kimya kimya kama tulivyoridhiana.
Shukrani!!
Muda baadae!
5.sifa zako kuu3 zinazokutofautisha na wengine ni zipi?
Kwa vipi ratiba yako ya siku inakuletea matunda au mafanikio!