Code number ya simu ya Zanzibar ni +259 , hii +255 tunayotumia ni ya Tanganyika

Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.

Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
 
Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake mpaka Kimara utakuwa Zanzibar.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajitekenya huku unacheka mwenyewe , toka lini ikawa hivyo
 
Ila hawajamaa ukienda kule kwao kuna kauli yao utawasikia ' jitu la bara hilo laja maliza Ajira zetu' ila cha ajabu huku kwetu bara tunaishi nao peace mpaka vituo vya daladala kwa mpemba shusha.
 
Hizo ndizo changamoto ndogo ndogo zilizopo ndani ya muungano ambazo kwa mtazamo wa kiCCM bado zinazumgumzika na kufanyiwa kazi. Ukitaka kuisambaratisha kirahisi CCM wewe jaribu kuruhusu hoja ya Zanzibar kujitenga ama muungano wenye kutambua serikali tatu ndani ya muungano.
 
Hizo ni ndoto za Alinacha! Eneo la Zanzibar ni visiwa viwili tu vikubwa! Unguja na Pemba! Hizo ni Hekaya za Abunuwasi za mikataba ya Wazungu na yule Sultan wa Oman, hazituhusu Watanganyika.
 
Ndugu yangu mbona unadanganya watu? Hivi wakati Tanganyika inapata uhuru 1961 hayo maeneo unayotaja yalikuwa z'bar? Hicho unachokisema ni mikataba ya wakoloni pamoja na sultan wa z'bar enzi hizo!!.
 
Shukrani sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…