Kwahiyo kabla ya Muungano , Siku ya uhuru wa tanganyika mwaka 1961 Temeke , Gongolamboto, Tegeta, Kimara zilikuwa ni Eneo la Zanzibar!Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Mkuu wew unajua mipaka ya Zanzibar au hujui lolote?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajitekenya huku unacheka mwenyewe , toka lini ikawa hivyo
Watapewa misaada kutoka kwa ndugu zao wa Yemen, hahahaMkipewa Znz mtashindwa jiendesha
Kwa hiyo na ww unataka kukubali pindi tanaganyika inapata Uhuru mwaka 1961 temeke ,gongolamboto na kimara zilikua upande Wa Zanzibar ,Mkuu wew unajua mipaka za Zanzibar au hujui lolote?
Tanganyika tutachagua rais wetuUkivunjwa huo muungano raisi atakuwa nani?
Ukivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Mkuu basi wew hujui lolote kuhusu huu nuunganoKwa hiyo na ww unataka kukubali pindi tanaganyika inapata Uhuru mwaka 1961 temeke ,gongolamboto na kimara zilikua upande Wa Zanzibar ,
Acheni kuiidanganya mambo ya mkoloni na sultani , sehem ya Zanzibar ni visiwa viwili ,unguja na Pemba , hizi nyingine ni porojo tu
looser mtakuwa wenyewe kwa sababu waakati Tanganyika inapata uhuru hayo maeneo yote yalikuwa chini ya Tanganyika tukishindwa kuafikiana itabidi tupigane vita mwenye nguvu atachukuaUkivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Dr. Bashiru Ally KakurwaUkivunjwa huo muungano raisi atakuwa nani?
Ni wakati wao..wamesubiri sanaHebu weka neno baba angu
Au kupelekwa mikocheni kwenda kutunga nyimbo za kuimbaWaangalie tu asingolewe mtu kucha
Sawa baba moyo wangu umetuliaNi wakati wao..wamesubiri sana
Sawa ww unaejua ,endelea kujua hivyo hivyo , usitake kuniaminisha et Dar ipo upande Wa Zanzibar , endelea kujua hivyo hivyoMkuu basi wew hujui lolote kuhusu huu nuungano
Too much ya nini???This is too much sasa
Mpango anapanda anakuwa PresidentUkivunjwa huo muungano raisi atakuwa nani?
Kagawane ZanzibarUvunjwe tuu alaf tuanze kukabana koo pia huku , tugawane hii nchi full stop
JidanganyeUkivunjika loser ni Tanganyika,labda uwe tayari kuachia eneo la Zanzibar ambalo ni KM 20 kutoka Bandari ya Dar,hii maana yake Kimara,Gongo la Mboto,Tegeta,Mbagala,Temeke zitakuwa Zanzibar.
Anayebisha aje na hoja,na kabla hajabisha ajiulize kwa pamoja na makando kando yote bado tunaikumbatia Zanzibar.tafadhali usije na hadithi za mambo ya usalama zilizopandikizwa vichwani.
Country code si issue. Itakuwa big deal pale ukisikia Zanzibar imeanzisha jeshi lake, polisi wake ,wizara yake ya nchi za nje na imeanza kutumia sarafu yake.Taarifa hii imetolewa leo na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Mh Othman Masoud akiwa ziarani kujitambulisha kwa wanachama wa chama chake cha ACT WAZALENDO
Ambapo amedai mpaka leo hakuna nchi nyingine itakayopewa code hiyo kwa vile ni mali ya Zanzibar
nitajaribu kuweka video kama itakubali ili kila mmoja ajionee
Msen-ge niniKagawane Zanzibar
Stupid
ngaPu weweMsen-ge nini