Code zinaanza kufunguka

Mama anauza nchi kwa kivuli cha kufungua nchi
 
Israel Vs Hamas + Hezebuloah + Rushia + Iran + N. Korea. Ukiielewa hiyo formula,utaweza kujibu maswali mengi sana ya mirengo uchwara ya kiuchumi. Israel inabeba Western na Christianity block. Upande wa pili unabeba Asia [ Waarabu + Islam + hao wengine] na block hii inapenyeka kirahisi na unaikwepa kidogo World banking system,IMF,nk zinazohusudu matumizi ya Dola nk. Kuna biashara za Waarabu zinaendelea nchini na Africa zenye mkono wa Wachina. Niko bado nafanya study fulani kuona je, income ya kampuni hizo haiwezi kuwa na connection na wale jamaa zetu wanaopigana wakiwa mashimoni?
Kumbuka miaka kadhaa iliyopita kuhusu biashara ya ngozi za mifugo kununuliwa na kampuni za gaidi no 1 duniani na kilichotokea. Niko tayari kusahihishwa.
 
Mkuu, unasoma mengi hata yasiyo kuwepo kwenye karatasi unayo soma.

Samia hana uzito wa kuwekewa maanani na hao wakubwa (mabeberu), kiasi cha kujihangaisha naye. Na hata mChina mwenyewe anajuwa Samia ni mpita njia tu, haachi alama yoyote huyu baada ya utawala wake.
 
Lakini hata malaya huangalia nani anampa pesa nzuri, huwezi kwenda na mtu ambaye hakupi pesa ya kutosha. Umalaya wa viongozi wetu ni tu kujitimizia nyege za kubakia madarakani. Character ya president ndiyo inatutawala
 
Kwa nini usiandike kitabu mkuu, maana naona unayo mengi ya kueleza.

"Historia ya Tanganyika tokea 200"? Yote ya kusimuliana toka kizazi hadi kingine bila maandishi katika wakati
wote huo?
 
Kucheza na superpower inahitajika akili kubwa sio kama hawa jamaa waliozoea uchawa, watashindwa vita kabla hawajaanza, niamini mimi
 
Nchii hii ujinga ni mwingi
Nipo na mnaijeria anatushangaa sana jinsi kodi zilivyo juu.
Alfu raia wake huwambii kuhusu mpira.

Tumetafuta dollar kuzipata imekuwa ngumu sana.

Hili Taifa viongozi na raia wake ni nyo××ko kabisa..

Tunaishi kama tupo jehanamu
 
Viongozi wanatokana na Raia....kama Raia ni fyongo....unatarajia nini?
 
Watanzania tuwe tunaacha majungu,hivi mnafikiri wazungu ni mawe? Upepo unabadilika hatutaishi maisha yake Yale kila siku Zama za waingereza,Marekani, ufaransa na wao Zama zao zinapotea ,Merudi,mchina,waarabu na hata Afrika inakuja kivingine japo sikatai kuwa wote ni wanyonyaji ila mi nnavyoamini si muda wote tutafanya biashara au mahusiano yanayoleta tija Kwa pande zote mbili usipokuwa mkweli Basi NI ngumu kukubalika kimataifa,Zile Zama mlizoaninishwa shule kuwa Afrika ni bara la Giza uhalisia unaanza kuonekana Kwa vitendo! Tusiwe tunawakksea heshima watu wanafanya jitihada za makusudi kupiga hatua Fulani,yes hii nchi ni yetu sote hatupaswi kukaa kimya kama kuna Mambo hayaendi Sawa tunawajibika kuwakumbusha watawala wetu Kwa kauli Safi Tu, hatunaga rahisi mzuri akiwa madarakani
 
Marekani inachangia zaidi ya dola bilioni 2.8 kila mwaka katika bajeti ya Tanzania.
Tuna ujeuri wa kuwafukuza? Migodi mikubwa ya dhahabu na Almas wanaimiliki wao hapa Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…