Code zinaanza kufunguka

Ukiwaendekeza Mabeberu utakuja kugeuzwa na kupumuliwa kisogo 😆😆
 
Anaweza kuwa rais mwenye mafanikio kuliko watano waliomtangulia, ukimchambua kwa haki lakini bila ya kwanza kumletea dharau za yeye kuwa mwanamke.

Samia anayo misingi ya marais watano waliomtangulia, anapita humo humo kwa akili iliyotulia.
 
Lini nchi ilifungwa? Nyie ndiyo mna mpa reason ya kufanya madudu kama haya, sijawahi kuona hii nchi inefungwa, sijui huo msemo huwa unatoka wapi. North Korea kweli imefungwa na zamani China ilikuwa imefungwa siyo Tanzania
Muulize yeye maana kutwa anajimwambafy kuwa anafungua nchi.

Siyo maneno yangu
 
China ardhi yao kubwa wameweka viwanda vingi sana na kuna sehemu serikali ililazimika iwauwe wananchi na kuwavunjia nyumba zao ili wasonge mbele kwa kujitanua kiuchumi
Hakufika hapo kwa kucheka
Sasa mashamba hakuna ya kutosha kwa kukidhi mahijaji yao na hata chakula cha mifugo yao
Unajua wanalenga wapi ili wazalishe chakula chao?
 
Jipange kunufaika na mahitaji yao ya chakula,kuna jamaa ye anauza mchicha china tangu 2015,ekari kumi za mchicha
 
Jipange kunufaika na mahitaji yao ya chakula,kuna jamaa ye anauza mchicha china tangu 2015,ekari kumi za mchicha
Hawa Wachina wana akili kubwa boss
Wanamiliki mashamba makubwa sana USA, baadhi ya nchi za European na hata Sri Lanka mpaka Latin America
Ninachosema ni kuwa wanataka kumiliki ardhi kila sehemu ili walime wao
Sio kwa jembe la mkono
Hawa jamaa mpaka USA wamewamilikisha mashamba
 
Shida yake kuu aliposhika madaraka alianza kwenda kinyume na mtangulizi wake matokeo yake kila kukicha ukweli unajidhihirisha Hayati alikuwa sahihi kwenye maeneo mengi
.Amekuja kugundua haya muda tayari umeshamtupa mkono.
Sahii kabisa kuna watu aliwarudisha kwa hisia kwenye vyeo vyao, Amekuja kuwatoa wameshavuruga saana.
 
Huyu Bibi apumzishwe kabla hali haijawa tete,atatuingiza chaka ambalo kutoka itakuwa shida uko mbele!!
 
Tukifuata wachina tutakuwa na maendeleo sio hawa wengine .
 
Unazani yuko upande sahihi au unataka adumishe umoja na ulaya
 
Huyu Bibi apumzishwe kabla hali haijawa tete,atatuingiza chaka ambalo kutoka itakuwa shida uko mbele!!
Kwa akili yako mchina na marekani Nani anaijenga Africa ? China na tz uhusiano mzuri haujaanza leo
 
..walitofautiana baada ya kumteua PAUL MAKONDA.

..yule bwana Wamarekani wanamtambua kama mhalifu na muuaji halafu Mama akampa uteuzi mara mbili.

..Ndio maana balozi wa Marekani alivimba kwelikweli wakati akijibu hotuba ya Mama.
Mafala hao wasitupangie viongozi wetu ,.ndio maana tuna dili na wachina maana hawaingilii mambo ya ndani ya nchi
 
We una akili za wapi ?
Marekani kasaidia nini Tanzania ambacho unakiona?
Huoni kila alipo huyo fala nchi zinakua na machafuko ?
Maisha ya majority ya Tanzania yanaishi kwa bizaa na hudumu za China

China bado anastrugle hawezi saidia mama andanganywa na machawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…