Code zinaanza kufunguka

Shilingi inaporomoka haraka kwa currency zote, Ijumaa iliopita dollar 1 = sh 2659.37 (midrate), ijumaa ya leo ni 2719.23 na mabeberu hawajatangaza vita rasmi. Muda wa kubadilisha hayo madafu unayojidai nayo ndio huu.
 
Mafala hao wasitupangie viongozi wetu ,.ndio maana tuna dili na wachina maana hawaingilii mambo ya ndani ya nchi


..kuna mambo fulani fulani wanatusaidia.

..kwa mfano wako wanaotusaidia ktk ujenzi wa hospitali ya jeshi. wengine wanatusaidia mafunzo ya wanajeshi, Polisi, na makachero.

..Na mambo wanayotuambia ni ya msaada kwa wananchi. Kwa mfano, kiongozi mwenye tuhuma za mauaji hapaswi kupata uteuzi. Pia matukio ya utekaji, na mauaji, yanapaswa kupatiwa majibu haraka.
 
Samia mweupe sana kwenye masuala ya geopolitics, aendelee kutembelea shows za taarab huko Z'bar... Na kuwapiga mipasho wapinzani...
Eti ndio wanaotaka kumtoa samia madarakani hao na hoja zao ndio hizo
πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ˜‡πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£ hahaahaah
Watapata tabu sanaa
 
Viongozi wanatokana na Raia....kama Raia ni fyongo....unatarajia nini?
Kuwa na viongozi wasio na experience na exposure ya ulimwengu ulivyo ni kazi sana..

Wako bize kushinda kwa waganga ili waendelee kuwepo kwenye nafasi zao.

Tanzania upumbavu ni mwingi sana tuache tu unafiki kama Elimu inazalisha watu wa namna hii bora tuwe wachawi na sio machawa
 
MTEGO HUU, changieni kwa makini, kaunda suti huyu aliyeanzisha uzi.
 
Lini nchi ilifungwa? Nyie ndiyo mna mpa reason ya kufanya madudu kama haya, sijawahi kuona hii nchi inefungwa, sijui huo msemo huwa unatoka wapi. North Korea kweli imefungwa na zamani China ilikuwa imefungwa siyo Tanzania
Yes North Korea upo sahihi na China wakati fulani hivi wa Mao ila baade yeye mwenyewe aliona ni ujinga akaanza kubadilika.
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…