Code zinaanza kufunguka

Code zinaanza kufunguka

CARIFONIA

JF-Expert Member
Joined
Aug 17, 2013
Posts
616
Reaction score
1,453
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.

Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.

Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.

Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?

Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?

Soma Pia: Rais Samia: Kuna haja ya kuwa na Mchepuo wa Masomo ya Lugha ya Kichina

Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.

Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.

Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
 
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina...
Wachina sio wajinga, pesa zako unagawa Rushwa na kudidimiza Uwazi na matumizi bora then ukimbilie kwake? ..Jpm dili la mchina alikimbia.
 
Rais ni mwanadiplomasia, ni spokesman/woman.
Ni kichwa chenye dira ya taifa lake na mwongoza njia kuelekea kwenye matarajio yake kwa maslahi ya Taifa lake.

Ikiwa Rais atakosa dira basi ni nafasi ya mataifa yenye nguvu kiuchumi kuanza kutafuta ushawishi kwenye hilo taifa na kuanza kulinyonya.

Mtazamo wangu upo hivi huenda hauna dira iliyowekwa na serikali yetu tukufu na sikivu, ndy maana hadi leo inakusanya maoni kwa watu juu ya dira ya taifa kuelekea 2050.

Ndy mana hatujui tunaweka nguvu kwenye kilimo, utalii, ufugaji, madini, uvuvi, elimu, viwanda na teknolojia, afya, usafiri maji nk.

Ukitizama unaona serikali inataka kwenda na vyote kwa pamoja kitu ambacho ni ngumu kutimia kutokana na kipato cha taifa letu.

Philosophy inasema, if you don’t know where you are going any way will take you. Ikiwa na maana kwamba ukiwa hujui unakoenda njia yeyote ile utaiona ni sahihi.

Kiufupi hapa ni kama gombania goal wakubwa wanafanya scramble for our nation. Na kila mmoja anataka maslah na wote hawana nia njema na sisi kikubwa ni kuwapokea ila kwa taadhari ya hali ya juu na kuwa na maarifa ya ziada katika negotiations na contracts.
 
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.

Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.

Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.

Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?

Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?

Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.

Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.

Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Shida yake kuu aliposhika madaraka alianza kwenda kinyume na mtangulizi wake matokeo yake kila kukicha ukweli unajidhihirisha Hayati alikuwa sahihi kwenye maeneo mengi
.Amekuja kugundua haya muda tayari umeshamtupa mkono.
 
Leo kauli ya mama yakuwapa mashavu wachina na kusema china kwa sasa ni super power na kupendekeza hata Watanganyika inabidi tuanze kujifunza kichina.

Ukiangalia kwa jicho la tatu utaona ni kama mama alikua anaendeleza battle na mabeberu na sasa hanawaambia kwamba hata kama wao wakizingua bado kuna mchina atampiga tagi.

Swali hapa ni la kujiuliza kumetokea kitu gani kati ya serikali ya mama na mabeberu, wote tunajua mabeberu hawana time na demokrasia yenu kama interest zao hamjazigusa, si unaona kwa Kagame wanajua michezo yote anayoicheza lakini wamekausha sababu wanajua Kagame sio tishio kwao wala kwa masilai yao bali Kagame ni tishio kwa waafrica wenzake.

Swali nalojiuliza mbona mwanzo mama aliendanao sawa tu na alikua royal tu sasa nini kimetokea?

Au kuna mzigo mkubwa anataka kummegea mchina? Au ni ile inshu ya kuwapa mbuga na bandari wale waarabu?

Najua kuna watu wanazijua code vizuri kuna battle ya chinichini Kati ya serikali ya mama na mabeberu, hata chadema wanajua hii kitu ndio mahana wamekubali kuicheza hii battle wakiwa upande wa pili sababu na wao wameona opportunity ya kumtingisha mother.

Ushaidi mwingine ni ukiona nyuzi nyingi kwenye mitandao au hapa JF za machawa wakiyasema vibaya mabeberu ujue kuna kitu hakipo sawa.

Swali ni kwamba mziki wa mabeberu mnauweza kuucheza ikiwa tu kuna kipindi bei ya sukari inawasumbua? au ndio tuwaache mpaka mtakapoanza kubeba malundo ya hela kwa ajili ya kununua mkate kama Zimbabwe.
Unajiuliza maswali halafu unajijibu mwenyewe!

Kama majibu unayo, kwanini unauliza?
 
China bado anastrugle hawezi saidia mama andanganywa na machawa
 
Mmeishiwa.

Uhusianonwa China na ardhi hii ya Zenjbar upo kabla ya uwepo wa USA, Tanganyika, Tanzania.

Unafikiri kwanini?
Kwa sababu uongozi wa kisultani huko Zanzibar kazi yao ilikua kuuza watumwa na kuiba meno ya tembo kufanya biashara na Chinese...

Ndio maana King Mirambo alipiga waarabu, akawakata vichwa na kutengeneza mkufu wenye meno 85 ya waarabu...

Na sasa mmerudia tena kuiuza Ngorongoro, mtakipata tu..
 
Huijuwi historia yako wewe.

Wewe babu zako waliletwa kutumwa Mashariki ya Afrika, hii ardhi yote kabla ya kuja Mjerumani ilikuwa ni Zanzibar.
 
Hujui lolote..
Hapo Tabora kulikuwa na waarabu koko kutoka Zanzibar kwa Sultani, Unaelewa King Mirambo wa Tabora aliitwa Mbula, kabla hajapewa jina Mirambo? Unajua Mirambo ilimaanisha nini?

Unaelewa chanzo cha waarabu kupigwa na rugaruga? Walikuwa wakichukua watumwa na kupita eneo anatawala Mirambo hawalipi kodi, Mirambo aliwapiga waarabu akawatoa vichwa na kung'oa meno, yale meno akatengeneza mkufu wenye meno 85...

Waarabu walisema watampiga Mirambo, Mirambo aliwatandika hadi wakakimbia, akawafuata na kwao piga akachukua na watoto wao wa kike, askari mmoja akamuambia Mirambo "Mkuu binti huyu haoa uoe" Mirambo akasema "Siwezi kuoa mbwa" , "Mchukue kaoe mwenyewe"

We ni mweupe, naielewa historia ya heroes wote wa Tanganyika...

Waarabu walikuwa wabakaji , wezi na vibaka tu...

Naweza kuelezea historia ya Tanganyika toka mwaka 200..
 
Back
Top Bottom