Wewe kimeshakupiga kabisa manake hata chenga wewe umeandika shenga hapo tayari tena kuna nini mkuu😄😄..Hivi ni mlemle ama mulemule?
Kiswahili kinataka kunipiga shenga ya mwili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kimeshakupiga kabisa manake hata chenga wewe umeandika shenga hapo tayari tena kuna nini mkuu😄😄..Hivi ni mlemle ama mulemule?
Kiswahili kinataka kunipiga shenga ya mwili.
Unapenda sana kusambaza roho ya chuki, umeikuta Tanzania imejaa wastaarabu na kila unachoanzisha kinakosa kuungwa mkono.Upumbavu ulio nao ni kwamba unashikilia jmambo tofauti kabisa na unayo ambiwa.
Nani kakwambia hapendi ufanisi wa bandari? Ni wapi ulipo soma nikisema bandari ya Dar es Salaam haitakiwi kuwa na ufanisi?
Muingereza anazo bandari mbili zinaendeshwa na DPW, sisi tumetawaliwa na muingereza.Mstari huu upo sahihi kabisa, ndiyo maana nakataa ujinga anao fanya Samia. Hao anaowagawia mali zetu hawaji hapa kutufanyia fadhira; wanakuja hapa kuneemeka juu ya migongo ya waTanzania. Hawapo hapa kuwasaidia waTanzania kwa chochote. Ndiyo maana namwona Samia kuwa kiongozi wa hovyo, kwa sababu hajui anacho fanya.
Lengo kuu la uwekezaji toka nje liwe ni kutuwezesha sisi waTanzania kuendesha shughuli hizo katika muda mfupi iwezekanavyo, na siyo kutufanya sisi tuwe watwana tu wa kuwategemea hao wawekezaji. Bandari miaka 50 tunawapa wageni, bila ya kuweka mikakati ya kujua kuifanya kazi hiyo sisi wenyewe? Mfano wako wa Swissport... na kwingine, kila mahala unapoweza kutazama.
Huwezi kupata maendeleo kwa njia hiyo. Miaka yote utakuwa ni tegemezi tu wa watu wengine hata katika maswala rahisi kabisa.
Wewe ni mjinga sana wewe, ukiwa kama mtu unayejinasibu kuijua vizuri historia, unawezaje kusema kwamba kabla ya ujio wa watu wa Germany hii ardhi yote ilikuwa ni Zanzibar.?Huijuwi historia yako wewe.
Wewe babu zako waliletwa kutumwa Mashariki ya Afrika, hii ardhi yote kabla ya kuja Mjerumani ilikuwa ni Zanzibar.
Wewe kama ni mbantu, mashariki ya Afrika ni wakuja tu.Wewe ni mjinga sana wewe, ukiwa kama mtu unayejinasibu kuijua vizuri historia, unawezaje kusema kwamba kabla ya ujio wa watu wa Germany hii ardhi yote ilikuwa ni Zanzibar.?
Hebu kasome kitabu kinaitwa "THE HISTORY OF AFRICA BEFORE 1948" kisha urudi hapa tena kucomment porojo zako.
Inaonekana najaribu kujadiliana na mtu asiyekuwa na uwezo wa kufanya reasoning zaidi ya kufanya ubishi tu.Wewe kama ni mbantu, mashariki ya Afrika ni wakuja tu.
Kasome.
Unafata hisia, hufati ukweli. Si kila mwenye rangi nyeusi ni mbantu.Inaonekana najaribu kujadiliana na mtu asiyekuwa na uwezo wa kufanya reasoning zaidi ya kufanya ubishi tu.
Hebu linganisha idadi ya wabantu na ile ya wasio wabantu kwa hapa Afrika mashariki kisha useme akina nani ni wakuja.
Huyo Abed Amani Karume nwenyewe asili yake ni msumbuji hapo, uhuru wa Zanzibar wenyewe main strategists na waongoza harakati walikuwa Wabantu pure.
Utayajulia wapi ikiwa elimu pekee mmepewa ni ile ya kwenye mikeka?
948 si juzi tu kijana? Soma kijana usiwe mvivu kusoma. Usinhgojee kila kusomea na kujazwa ujinga tu.Wewe ni mjinga sana wewe, ukiwa kama mtu unayejinasibu kuijua vizuri historia, unawezaje kusema kwamba kabla ya ujio wa watu wa Germany hii ardhi yote ilikuwa ni Zanzibar.?
Hebu kasome kitabu kinaitwa "THE HISTORY OF AFRICA BEFORE 1948" kisha urudi hapa tena kucomment porojo zako.
Sasa hapa wewe unamsemea nani hasa! Unataka nisiwachukie mnao liangamiza taifa letu?Unapenda sana kusambaza roho ya chuki, umeikuta Tanzania imejaa wastaarabu na kila unachoanzisha kinakosa kuungwa mkono.
Ni mara ngapi umerudia rudia haya maneno humu, nami kukueleza kwamba Mwingereza hategemei bandari moja kama tulivyo sisi; na kwamba Mwingereza hakushindwa kuendesha bandari hizo kwa kuwa hana ujuzi kama tulivyo sisi; lakini kwa vile akili imelala huwezi kutambua hilo.Muingereza anazo bandari mbili zinaendeshwa na DPW, sisi tumetawaliwa na muingereza
Ni 'mentality' hii ndiyo inayonifanya nikudharau sana wewe na huyo mama yako.Akili za kimasikini na hizi za kudhania mgeni anafaidika na mali yetu bila ya kutazama huyo mgeni analeta ufanisi mkubwa kiasi gani katika shughuli anayoifanya.
Hakuna kuneemeka bila ya nidhamu na kutoka jasho, ukiona wageni wananeemeka kuliko sisi ujue kwamba sisi ni wa hovyo tu katika suala zima la kuendesha taasisi na mashirika yetu.
We ajuza yaani akishatajwa Bi. Ushungi mwenziyo lazima uibuke hata kama huna hoja.Unajiuliza maswali halafu unajijibu mwenyewe!
Kama majibu unayo, kwanini unauliza?
Hizi nadharia ni za humu humu JF uhalisia wa ufanisi wa mtanzania ni mbovu siku zote.Ni mara ngapi umerudia rudia haya maneno humu, nami kukueleza kwamba Mwingereza hategemei bandari moja kama tulivyo sisi; na kwamba Mwingereza hakushindwa kuendesha bandari hizo kwa kuwa hana ujuzi kama tulivyo sisi; lakini kwa vile akili imelala huwezi kutambua hilo.
Kwani Mwingereza akifanya na sisi ni lazima tufanye, tena bila ya kuelewa kwa nini Mwingereza anafanya hivyo?
Ni 'mentality' hii ndiyo inayonifanya nikudharau sana wewe na huyo mama yako.
Hukuanza leo kuwadharau waTanzania kwa kuwaita wavivu, wezi na mambo mengine ya kipuuzi kabisa, kwa vile tu nyinyi mnajichukulia kuwa mnayo asili ya huko kwingine.
Ni akili hii inayo wafanya nyinyi muwe maadui wakubwa wa waTanzania, kwa sababu kila mnalo fanya ni kuwadidimiza badala ya kuwafanya wawe watu wanao amini kuwa wana uwezo mkubwawa kufanya kila wanalofanya watu wengine kote duniani.
Badala ya kufanya kazi ya kuwaongoza hawa waTanzania wajenge uwezo wao huo, nyinyi mnageuka na kufanya kila njia ya kuwafanya wajione hawana uwezo ili muendelee kuwafanya watwana wenu na hao mnaowagawia maliasili zetu wakati huu.
, huu ni uongozi wa namna gani huu! Unaipeleka nchi wapi?
Ninaamini mtakomeshwa tu.
Unapo elezwa kwamba tatizo si huko kuwekeza toka nje; akili yako imedumaa haiwezi kamwe kubadilika. Umepewa mifano chungu nzima hapa kukuonyesha ujinga wa mnayo fanya. TICTS wamekaa Bandarini miaka zaidi ya 25; mlipoona hamuwezi kupata hongo za kutosha kutoka kwao, mka waondoa, mkaleta mjomba katika njia za kiovu kabisa; naye atakaa hapo zaidi ya miaka 30, wakati huo Tanzania bado ipo na misukule yake isiyoweza kujifunza chochote katika muda wote huo; kwa sababu akina Samia dira yao iliwaonyesha waTanzania hawana uwezo wa kufanya chochote!
Swissport hivyo hivyo. Mapori yetu, hata kupanda misitu tu, mnaona waTanzania hawawezi

TPA kuna waendeshaji wawili, DPW na Adani wameingiza mabilioni ya pesa na wanaongeza ufanisi kila kukicha.Sasa hapa wewe unamsemea nani hasa! Unataka nisiwachukie mnao liangamiza taifa letu?
Ni nani mwenye roho ya chuki kama siyo nyinyi mnaotafuta kuwafanya waTanzania wawe watwana zenu. Hivi unazo akili za kufikiri sawasawa wewe?
Ndiyo, Tanzania imejaa wastaarabu na sifa hiyo ndiyo mnayo itumia nyinyi kuwadhalilisha. Kila siku mnaimba kwa hadaa na ulaghai mkubwa; "amani amani" wakati matendo yenu yakifanya kinyume kabisa na kujenga hiyo amani ambayo waTanzania wamekuwa nayo miaka yote.
Nyinyi ndio mnaoleta uhasama ndani ya jamii ya waTanzania, hapo patakosekana chuki vipi!
Wewe unifate-fate, hunijuwi sikujuwi. jibu hoja zangu, ukiona hakuna , sepa.We ajuza yaani akushatajwa Bi. Ushungi mwenziyo lazima uibuke hata kama huna hoja.
Haya sasa; nyinyi msio waTanzania ndio mtakao waletea waTanzania ufanisi au kwenu kuwaweka kuwa watwana zenu ndilo suluhisho?Hizi nadharia ni za humu humu JF uhalisia wa ufanisi wa mtanzania ni mbovu siku zote.
Na ulivyo mpuuzi kabisa; hata hujui kwamba nyinyi haya mnayo fanya hapa ndio wizi mkubwa.Mtanzania mwizi anapopewa ofisi, mvivu anapopewa kuendesha taasisi, anapenda mno majungu na fitina.
Tatizo lako huelewi unacho zungumzia. Msukumo wa kuwaibia waTanzania ndio ulio kujaa kichwani kiasi kwamba huwezi kuelewa jambo jingine lolote.Hizi nadharia ni za humu humu JF uhalisia wa ufanisi wa mtanzania ni mbovu siku zote.
Mtanzania mwizi anapopewa ofisi, mvivu anapopewa kuendesha taasisi, anapenda mno majungu na fitina.
Mtanzania anataka afanye kazi yenye thamani ya shilingi milioni moja lakini anataka mshahara wa milioni tano, hana uhalisia wa mipango yake na hicho anachoweza kukipata kutokana na kazi yake.
TPA ulijaa wizi na kila aina ya ufisadi na kila anayetaka kuwekeza anapigwa vita na hao hao mafisadi wenye kula bila kuvuja jasho.
Swissport yupo hapo Airport kwa miaka 30 kuna ubaya gani DPW akiendesha bandari yetu kwa mkataba wa miaka 10 mpaka 15?.
TUmechezea elimu matokeo yake tunaishia kulialia kwa kuchanganyikiwa kwetu, dunia hii sio lelemama ukilemaa umeachwa hapo hapo na wanaokuzunguka wanazidi kupiga hatua za kimaendeleo.
Hakuna lolote la maana unalo andika sasa hivi bali kurudia yale yale uliyo kwisha andika mara nyingi tu humu bila ya kujibu hoja husika.TPA kuna waendeshaji wawili, DPW na Adani wameingiza mabilioni ya pesa na wanaongeza ufanisi kila kukicha.
Tanzania imekuwa ikiangamazwa miaka na miaka kabla hata Samia hajaingia kwenye siasa za vyama, wanaoiangamiza baadhi yao ni hao hao wanaoupinga uwekezaji wa DPW na Adani, wamo humo serikalini.
Kujifanya mzalendo sana sio kigezo cha kuwa mkweli kwa taifa lako.
Ufisadi upo na ushahidi ni reports zinazotolewa na wakaguzi wakuu wa serikali kuanzia zile za Ludovick Utoh mpaka hizi za Kichere, kila siku zinajaa uchafu wa taasisi zetu.
Wanaoziongoza hizo taasisi zenye kutoa taarifa chafu ndio hawa wanaopinga uwekezaji wa DPW na Adani, ni unafiki mtupu.
Ni bora mara milioni nyingi "kujifanya mzalendo" kuliko kuwa kiongozi fisadi anako kuonyesha Samia na genge lake wakati huu anapo liangamiza taifa hili.Kujifanya mzalendo sana sio kigezo cha kuwa mkweli kwa taifa lako.
Namna tunavyoendesha bandari ni ushahidi wa uendeshaji wetu mbovu wa mashirika yote yaliyobinafsishwa wakati wa hayati Mkapa.Haya sasa; nyinyi msio waTanzania ndio mtakao waletea waTanzania ufanisi au kwenu kuwaweka kuwa watwana zenu ndilo suluhisho?
Unaendelea kuonyesha ni kiasi gani ulivyo na akili mbovu kabisa. Na ni hivyo hivyo alivyo na Samia mwenyewe.
Enzi hii unaweza wewe kujiona kuwa ni bora zaidi ya binaadam mwingine, kweli? Na ulivyo mpuuzi kabisa; hata hujui kwamba nyinyi haya mnayo fanya hapa ndio wizi mkubwa.
Nitajie nchi yoyote hapa duniani ambayo watu wake siyo wezi? Huko kwa wajomba zenu hakuna wizi. Siyo wavivu wa kupindukia wale; tena watu duni kabisa?
Sasa mtu kama wewe huelewi kwamba kila nchi ina sheria na taratibu za kubana yote hayo ya wizi. Badala ya kuongoza nchi iondokane na tabia hizo, Samia sasa ndiyo anatuletea majizi ya kila aina. Kawapata vikaragosi, akina Hamza Johari na akina Kafulila wa kutekeleza maovu hayo. Sasa wanaimba waTanzania ni wezi , wavivu!
Nenda China ukaibe kama utasalimika; lakini wachina wanapo kuja hapa wanaiba!