2014
Senior Member
- Jan 2, 2014
- 158
- 41
Hujajibu swali.
Unahubiri tu.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote, upendo wote na uwepo pote alipokuwa anaumba ulimwengu hakuuumba ukiwa hauwezekani kuwa na mabaya na majanga yote hayo niliyoyataja hapo juu, na badala yake akauumba huu ambao mabaya hayo yanawezekana?
Hususan kama alikuwa na ana uwezo wote wa kuumba vyovyote alivyotaka?
Hujajibu swali hili.
Unasema tu mungu ni upendo.
Nakuuliza, kwa nini kaa hia mabaya wakati aliweza kuyazuia tangu mwanzo?
Upendo gani huo wa kutubqnia wakati uwezo wa kutupetesha anao?
Baba mwenye uwezo wa kumpa chakula mwanae kiasi asife na njaa alimuachia mwanae afe kwa njaa utasemaje ana upendo?
Haya maswali yako ya kiboya yanakusaidia nini?