Ishmael
JF-Expert Member
- Oct 18, 2011
- 15,039
- 6,017
Kwa hiyo mu gu ni kama mwalimu anayetoa mtihani?
Mwalimu anatoa mtihani kwa kutaka kujua ulichoelewa.
Mungu anayejua yote anatoa mtihani wa nini?
Kama kuna vitu nimenyimwa freedom of choice, na sijachagua hivyo ni vipi, unaweza kusema nina ffreedom of choice?
Umeingia sehemu, kuna viti kibao. Umeambiwa unaweza kuchagua unapotaka kukaa kasoro pale juu kwenye high table na row mbiki za kwanza za waheshimiwa.
Unaweza kusema una uhuru wa kuchagua pa kukaa?
Wakati ushachaguliwa pa kuchagua?
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.
Haya tena. Kumbe jamaa yenu ana Mungu.