COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Binadamu angewezaje kuchagua dunia iwe kama ilivyo leo kama uwezekano wa dunia kuwa kama ilivyo leo usingekuwapo kabla ya binadamu kuwepo?
Asingeweza ..
Kumtii baba wa mtu si kwa faida ya mwana. Kuna mababa mabazazi wanabaka watoto wao, hao nao unataka kusema watoto wawatii?

Unamfananisha mungu na baba wa kidunia?

Your thinking is authority based, and therefore outdated.
Hili nalo linafanana na lile lingine ambalo nimekushauri tuachane nalo kwasababu huna uwezo wa kulielewa,pole sana kwa hili....!!
 
Kila nikisoma maelezo ya kiranga kwenye kumkataa mungu nakua naona kama mambo ya mipasho hivi..
Yaani namna anavyo argue utakungundua hata pale ulipokosea kutype neno yeye anakurupuka nalo hivyo hivyo kujengea hoja hata kama mantiki ya sentensi inaeleweka...
Mwisho mi nlidhani hapa tunataka kueleweshana lakini naona wengine wanataka kubishana na hawako tayari kusikia ufafanuzi.. (conservatives)

Lastly..
Mimi nna imani yangu na nyinyi mna imani zenu, therefore kama hatuwezi kuelekezana ktk tuviaminivyo basi nashauri tubaki hivyo hivyo.. #kiranga na wenzio
 
Kama binadamu asingeweza kuchagua dunia iwe kama ilivyo leo bila ya uchaguzi huo kuwapo kabla ya yeye binadamu kuwapo, then huwezi kusema chanzo cha kifo no uchaguzi wa binadamu. Kwa sababu uwezekano wa kifo ulikuwapo kabla hata binadamu unayemsema kachagua kifo hajachagua.

Hapa unachotaka kutuaminisha ni jwamba, ikiwa baba wa mtoto mchanga atamuwekea mtoto mchanga huyu vikomne viwili, kimoja cha maziwa na kingine cha sumu, mtoto afanye uchaguzi, mtoto akichagua kunywa sumu, basi chanzo cha kifo hapa ni mtoto kuchagua kikombe cha sumu badala ya cha maziwa.

Absurd.

Sasa naona nikikubana, ukishindwa kujibu unatoa jibu la "hili tuachane nalo".

Kwa jinsi ninavyokubana naona karibu utasema mjadala mzima tuachane nao.
 
Kiranga unakuwa kama mtoto .....

Sijui ni kwanini hupendi kusoma unapowekewa majibu ya maswali yako,nasema hupendi kusoma kwasababu kama unasoma halafu unakuwa huelewi kwa kiwango hiki ni hatari sana tena sana

Hiki ulichokisema hapa nimeshakijibu mara tatu na nimeshakiweka hapa kwa kurudia rudia mara mbili,lakini bado huoni au sijui huelewi?

Unachosha sana wewe na mjadala unageuka na kuwa wa kitoto sasa ...

Una haki ya kusema chochote lakini hutaweza kuthibitisha ...

Nimesema kwamba hili tuachane nalo na sababu nimeshatoa na hata mtu yoyote yule akija kusoma miaka hata elfu moja ijayo atanielewa tu,kama wewe hunielewi siwezi kukulazimisha unielewe,ninachoweza kukifanya ni kukuacha na kufanya mambo mengine kwa afya ya akili yangu!
 
Kila nikisoma maelezo ya kiranga kwenye kumkataa mungu nakua naona kama mambo ya mipasho hivi..
Yaani namna anavyo argue utakungundua hata pale ulipokosea kutype neno yeye anakurupuka nalo hivyo hivyo kujengea hoja hata kama mantiki ya sentensi inaeleweka...
Mwisho mi nlidhani hapa tunataka kueleweshana lakini naona wengine wanataka kubishana na hawako tayari kusikia ufafanuzi.. (conservatives)

Lastly..
Mimi nna imani yangu na nyinyi mna imani zenu, therefore kama hatuwezi kuelekezana ktk tuviaminivyo basi nashauri tubaki hivyo hivyo.. #kiranga na wenzio

Hapo kwenye bold nimeshaliona hilo mkuu...

Lakini nashukuru watu wanaoliona hili wanazidi kuongezeka ili kuepuka hizi hila za hawa watu!
 
Kiranga unakuwa kama mtoto .....

Sijui ni kwanini hupendi kusoma unapowekewa majibu ya maswali yako,nasema hupendi kusoma kwasababu kama unasoma halafu unakuwa huelewi kwa kiwango hiki ni hatari sana tena sana

Hiki ulichokisema hapa nimeshakijibu mara tatu na nimeshakiweka hapa kwa kurudia rudia mara mbili,lakini bado huoni au sijui huelewi?

Unachosha sana wewe na mjadala unageuka na kuwa wa kitoto sasa ...

Una haki ya kusema chochote lakini hutaweza kuthibitisha ...

Nimesema kwamba hili tuachane nalo na sababu nimeshatoa na hata mtu yoyote yule akija kusoma miaka hata elfu moja ijayo atanielewa tu,kama wewe hunielewi siwezi kukulazimisha unielewe,ninachoweza kukifanya ni kukuacha na kufanya mambo mengine kwa afya ya akili yangu!

Baba anapompa mtoto mchanga uchaguzi wa kunywa maziwa au sumu, mtoto mchanga akachagua sumu na kufa, aliyesababisha kifo hapa ni nani?

Hujalijibu hili swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo kinawezekana at all wakati angeweza kirahisi tu kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani?

Kwa nini baba wa mtoto m hanga ampe mtoto wake uchaguzi wa kuchagua maziwa na sumu wakati ana uwezo wa kumpa maziwa tu?
 
Kila nikisoma maelezo ya kiranga kwenye kumkataa mungu nakua naona kama mambo ya mipasho hivi..
Yaani namna anavyo argue utakungundua hata pale ulipokosea kutype neno yeye anakurupuka nalo hivyo hivyo kujengea hoja hata kama mantiki ya sentensi inaeleweka...
Mwisho mi nlidhani hapa tunataka kueleweshana lakini naona wengine wanataka kubishana na hawako tayari kusikia ufafanuzi.. (conservatives)

Lastly..
Mimi nna imani yangu na nyinyi mna imani zenu, therefore kama hatuwezi kuelekezana ktk tuviaminivyo basi nashauri tubaki hivyo hivyo.. #kiranga na wenzio

Wewe hata maana ya neno conservative unaelewa?

Kati yako unayeshikilia imani za maelfu na maelfu ya miaka, na mimi ninayezi challenge, nani conservative?

Imani ni kama matako, kila mtu anayo yake. Hilo halina mjadala.

Mjadala hapa si imani. Naona umeingia kusiko.

Mjadala hapa ni kama mungu yupo au hayupo.
 
Baba anapompa mtoto mchanga uchaguzi wa kunywa maziwa au sumu, mtoto mchanga akachagua sumu na kufa, aliyesababisha kifo hapa ni nani?

Hujalijibu hili swali.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao kifo kinawezekana at all wakati angeweza kirahisi tu kuumba ulimwengu ambao kifo hakiwezekani?

Kwa nini baba wa mtoto m hanga ampe mtoto wake uchaguzi wa kuchagua maziwa na sumu wakati ana uwezo wa kumpa maziwa tu?

Kaazi kweli kweli ......

Ngoja waje wengine ambao wataweza kujadiliana na mtu ambae anajibiwa halafu anarudia kitu kile kile kuuliza ....

Kumbe Ishmael anakuweza sana wewe .......

Kila la kheri .....

Kwaheri ............!!!
 
Last edited by a moderator:
Unachanganya mambo.

Sikusema mimi mungu ninayejua yote na kuweza yote.

Nimesema mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote asingeweza kuumba kitu ambacho hakima hata energy efficiency.

Mambo mawili tofauti.

Usichanganye.

Umekubali kwamba binadamu hana optimal energy efficiency na hivyo hana markings za kuwa kaumbwa na mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote?

Wewe umeongea mambo kumi na tano mfululizo. Halafu unaniambi amimi nimechanganya.

Kwa ku admit kwako kuwa wewe si Mungu na huwezi kuumba, hapo umeshakubali kuwa Mwenyeezi Mungu yupo na ndiye muumbaji pekee. Case closed.
 
Nyinyi Wakristo ni worst kuliko Kiranga, nyinyi mnaabudu sanamu la mzungu. Ukifikiri vizuri ni bora ya Kiranga asiyeamini kama kuna Mungu kuliko nyinyi.
 
Freedom of choice ipi hiyo?

Mie hata sikuulizwa kama nataka au sitaki kuzaliwa, nimejikuta tu nimezaliwa. Sasa hapo nimepewa freedom gani kuanzia mwanzo kabisa?

Pia nataka uwezo wa kurudi nyuma katika muda, sijapata ywezo huo na kwa fizikia yabuumbwaji wa ulimwengu huu siwezi. Freedom iko wapi hapo?

Kama uumbaji wa binadamu ndiyo kilele cha ubira wa uumbaji wa mungu, basi kapata big fail.

Binadamu hana optimal energy efficiency, imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba binadamu bila ya kuweka optimal energy efficiency?

Umeulizwa na ukaambiwa usije kukataa, na siku ya hesabu hutolalamika hata chembe kwani utakumbuka ulichoulizwa.

Hivi wewe ukiwa unafanya mtihani halafu ukasahau ulichofundishwa unataka Mwalimu akupe jibu kabla ya kumaliza mtihani? Unanshangaza!

Freedom of choice ya kujiamulia upendavyo kujitengenezea utakacho lakini viwili vitatu kakunyima. Kujuwa kesho, kuumba na kufa ni baadhi ya usivyokuwa na uwezo navyo, hata ufanye nini, sasa jiulize kwanini huna uwezo huo.
 
Wewe hata maana ya neno conservative unaelewa?

Kati yako unayeshikilia imani za maelfu na maelfu ya miaka, na mimi ninayezi challenge, nani conservative?

Imani ni kama matako, kila mtu anayo yake. Hilo halina mjadala.

Mjadala hapa si imani. Naona umeingia kusiko.

Mjadala hapa ni kama mungu yupo au hayupo.

na wewe imani yako ni ipi au ndio hii imani ya hakuna mungu ?
 
Nyinyi Wakristo ni worst kuliko Kiranga, nyinyi mnaabudu sanamu la mzungu. Ukifikiri vizuri ni bora ya Kiranga asiyeamini kama kuna Mungu kuliko nyinyi.
umefika makanisa mangapi ukakuta hayo masanamu ?

kwa nini mnageukia saudia au mungu wenu ndipo alipo ??

mwezi na nyota maana yake nini kwa nini ndio symbol yenu au ndio miungu yenu ??
 
Nyinyi Wakristo ni worst kuliko Kiranga, nyinyi mnaabudu sanamu la mzungu. Ukifikiri vizuri ni bora ya Kiranga asiyeamini kama kuna Mungu kuliko nyinyi.

Angalia kichaa kingine hiki ....

Kutokujua tu kwamba miongoni mwa Wakristo kuna ambao hawakubaliani na suala la sanamu ni ujinga tosha kabisa,lakini wewe huonekani kuwalaumu hata kwa nukta moja wanaoabudu jua,na ng'ombe,hii nayo ishara ya ugonjwa mwingine wa akili

Unataka sasa kubadili mada ya watu kuwa ya kidini,huna hata haya mama mzima unakosa busara ....

Kila la kheri na upuuuzi wako huu!
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

Nilichogundua si kwamba Kiranga haamini kuwa hakuna Mungu, anaamini kuwa mungu yupo lakini ni dhalimu, asiye na huruma.
 
Last edited by a moderator:
Imani ni kama matako, kila mtu anayo yake by kiranga..

Lakini na matako nayo yana shape tofauti, kuna manene, kuna madogo, membamba, vigoroli, flat na mengine yana makovu, ukurutu, meusi..

Sasa bwana kiranga kama iman ni kama matako, twambie wewe matako yako ni ya aina gani?
Ukijibu hili tutaelewana.
 
huyo jamaa anaelewa sana, yupo kwaajili ya kubisha.
 
Tatizo unadhani kila unachoona kizuri au kinachoonekana kizuri ni kizuri kwa kila mtu au kwa idadi kubwa ya watu,ngoja nikupe tukio lililotokea wala sio siku nyingi ....

Mahali ambapo nimepanga kwa maana ya kuishi kuna jamaa aliwahi kukaa siku mbili bila kula wala kutoka nje,kabla ya kutimiza siku mbili akiwa ndani,kuna jamaa yetu ambae tunaishi nae hapa nyumbani alikwenda kumuuliza kulikoni baada ya kumuona siku moja nzima hajatoka nje na kufanya mambo yake kama alivyozoeleka

Jamaa huyu alikwenda na kumuuliza kulikoni lakini jamaa alimuambia "ana mambo yake tu" hivyo hakuna tatizo lolote,alimuuliza kama hajala jamaa akamuambia kwamba hajala,jamaa alitoka na kwenda kumletea chakula,lakini jamaa aliekjuwa ndani akamuuliza kama amemuambia kama anahitaji chakula,alieleta chakula akamuambia kwamba amemuambia kwamba hajala tangu jana hivyo atajidhuru kwa kukaa muda mrefu bila chakula

Kisha akampa chakula,jamaa alikipokea na kumwagia chakula yule aliemletea na kumuambia asimsumbue tena

Mfano wa tukio hilo unaweza tu kuona kwamba sio kila chekundu ni red na ukifikiri kwa makabala huo ni hatari sana na ndio maana Mungu akaweka free will,kama unahitaji kuponywa mwambie,kwa Munmgu kujua tu kwamba wewe unaumwa na unahitaji kuponywa sio tiketi ya kukuponya kwasababu unaweza kusema na ukaponywa

Lakini pia unapaswa kujua kwamba hata maradhi ambayo mtu anaweza kuugua au anaugua ni matokeo ya uchaguzi wake mwenyewe na anajua kabisa ni mabaya,sasa mtu ulichagua mwenyewe,unatakaje tena uponywe tu bila kusema hitaji lako?

Sidhani hata unaelewa ulichoandika!
 
Back
Top Bottom