COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Imani yangu ni kwamba imani ni kificho cha ujinga.

kwa kuwa imani ni kificho cha ijinga hata wewe unaamini na imani yako ni kificho cha ujinga pia kama imani yako invyokwambia
 
Kaazi kweli kweli ......

Ngoja waje wengine ambao wataweza kujadiliana na mtu ambae anajibiwa halafu anarudia kitu kile kile kuuliza ....

Kumbe Ishmael anakuweza sana wewe .......

Kila la kheri .....

Kwaheri ............!!!
Kiongozi, jamaa hana analo lifahamu zaidi ya kubisha bila ya ushahidi. Kama yupo tayari kuumbuliwa kisayansi na kiintelejensia. Mwambieni afanye mjadala na mimi.
 
Story yangu ya kweli,nilitoka asubuhi ili kuwahi kununua bidhaa kwa ajili ya Biashara njiani nikakutana Mtu mmoja hapo hapo nikasikia SAUTI ikiniambia mwambie YESU ANAKUPENDA Nikamwambia.

Kwa siku tatu mfululizo tulionana naye eneo lile lile kwa muda ule ule na ujumbe ni huo huo.

Kuna kusudi la kuonana na mtu liwe zuri ama baya inategemeana, kuna utofauti kutoka mtu mmoja hadi mwingine,HAKIKA MUNGU YUPO.
 
umefika makanisa mangapi ukakuta hayo masanamu ?

kwa nini mnageukia saudia au mungu wenu ndipo alipo ??

mwezi na nyota maana yake nini kwa nini ndio symbol yenu au ndio miungu yenu ??

Katafute Paran ni wapi kutoka kwenye biblia kisha uje kusema hapa.

Unashangaa nyota na mwezi hushangai msalaba kuwa ni symbol ya Ukristo ambao hata biblia imemezwa kila atundikwae ana laana! Unasikitisha sana.
 
Kiongozi, jamaa hana analo lifahamu zaidi ya kubisha bila ya ushahidi. Kama yupo tayari kuumbuliwa kisayansi na kiintelejensia. Mwambieni afanye mjadala na mimi.

Wewe wacha porojo, wewe mwenyewe unaabudu sanamu la mzungu.
 
Mungu yupo, na kipimo ni uumbaji wake, hizo details ulizotoa hapo juu ni probabilities. Kwamba utapata ajali au la, utakufa au la, utakuwa daktari au la, etc.
 
Wewe wacha porojo, wewe mwenyewe unaabudu sanamu la mzungu.
Muhammad, anajiita eti yeye ni Mzungu. Makubwa haya.

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU

Yeye alifanya Ngamia wake apige magoti katika Msikiti, halafu akamfunga Mguu wake kamba na kisha akauliza: "Ni nani kati yenu ni Mtume Muhammad" Wakati huo Mtume alikuwa amekaa miongoni mwetu (wenzake) huku akiwa ameegemea mkono wake. Sisi tukajibu, "Huyu MZUNGU aliye agemea mkono wake ndiye Muhammad." Kisha akasemanaye, "O Mwana wa 'Abdul Muttalib." -Sahih Bukhari1:3:63

KUMBE MUHAMMAD ALIKUWA MZUNGU NA SIO MWARABU
 
Katafute Paran ni wapi kutoka kwenye biblia kisha uje kusema hapa.

Unashangaa nyota na mwezi hushangai msalaba kuwa ni symbol ya Ukristo ambao hata biblia imemezwa kila atundikwae ana laana! Unasikitisha sana.

masikini wee hujajibu hata swali moja umekuja na mipasho yako
kwa hiyo mtu akinya nje na wewe utakunya kwa sababu mwenzio kanya nje ??

mungu wenu yupo kaaba ?
nyota na mwezi zina nini hasa mpaka iwe symbol yenu ?
nataka kusilimu ila haya yananichanganya
 
Umejuaje kwamba mungu yupo na ukomo wake ninyeye mungu mwenyewe nhe ya speculations zisizo na mantiki?

Unahitaji kuwa mungu ili kujua ukomo wa mungu ni nini. Wewe mwanadamu ambaye hujawahi kuwa mungu umejuaje ukomo wa mungu?

Na mungu mwenye ukomo ana tofauti gani na kiumbe mwenye akili ya kutuzidi tu lakini asiyejua na kuweza yote?

Ukishasema mungu ana ukomo ushakubali kwamba uwezo na ujuzi wake una mwisho.

jaman kiranga kwann humpend Mungu kiasi hiki na unampinga sana? kakukosea nn? ivi ikija tokea akawepo kweli ukamkuta utasema nn kaka angu?
 
kwa kuwa imani ni kificho cha ijinga hata wewe unaamini na imani yako ni kificho cha ujinga pia kama imani yako invyokwambia

Asiyejua hilo, ni mjinga kabisa.
 
jaman kiranga kwann humpend Mungu kiasi hiki na unampinga sana? kakukosea nn? ivi ikija tokea akawepo kweli ukamkuta utasema nn kaka angu?

Mimi ni mtu ambaye nampenda mungu sana.

Kuliko unavyofikiria.

Ningependa mungu awepo. Akiwepo, ultimately reaponsibility ya kila kitu ipo kwake. Maana yeye ndiye mwe ye mikoba yote na kaumba vyote.

Kwa hiyo ma hlobal warming, ma Ebola, ma Tsunami yote yanakuwa si mzigo wa mwanadamu. Ni mzigo wa mungu. Mwanadamu anakuwa kipande kidogo tu cha mchezo.

Lakini hata nikimpenda vipi mungu. Hili haliondoi ukweli kwamba kama hayupo, hatuwezi kisema hayupo.

Siwezi kujifariji kwamba mu gu yupo, ni mwema na ana nguvu zote na mimi nionbe na kyimba tu wakati manyiki yote inao esha kwamba hayupo.
 
Mimi ni mtu ambaye nampenda mu gu sana.

haya bwana.... nimekuelewa
 
Umeulizwa na ukaambiwa usije kukataa, na siku ya hesabu hutolalamika hata chembe kwani utakumbuka ulichoulizwa.

Hivi wewe ukiwa unafanya mtihani halafu ukasahau ulichofundishwa unataka Mwalimu akupe jibu kabla ya kumaliza mtihani? Unanshangaza!

Freedom of choice ya kujiamulia upendavyo kujitengenezea utakacho lakini viwili vitatu kakunyima. Kujuwa kesho, kuumba na kufa ni baadhi ya usivyokuwa na uwezo navyo, hata ufanye nini, sasa jiulize kwanini huna uwezo huo.

Kwa hiyo mu gu ni kama mwalimu anayetoa mtihani?

Mwalimu anatoa mtihani kwa kutaka kujua ulichoelewa.

Mungu anayejua yote anatoa mtihani wa nini?

Kama kuna vitu nimenyimwa freedom of choice, na sijachagua hivyo ni vipi, unaweza kusema nina ffreedom of choice?

Umeingia sehemu, kuna viti kibao. Umeambiwa unaweza kuchagua unapotaka kukaa kasoro pale juu kwenye high table na row mbiki za kwanza za waheshimiwa.

Unaweza kusema una uhuru wa kuchagua pa kukaa?

Wakati ushachaguliwa pa kuchagua?
 
Siamini katika kuamini.
Nontheism Lies, Misconception, Misrepresenting BUSTED AND DEBUNKED

NON THEISTS COMMON ARGUMENT
By Kiranga
Kabla ya kuniambia mungu ananipenda, tafadhali thibitisha kwamba yupo.

HERE IS THE ANSWER FROM THE SAME PERSON
By Kiranga
Hujaelewa/ unakwepa swali, siulizi mungu wangu, nauliza mungu wako.

ANOTHER REPLY FROM A NON THEIST
By Free ideas
God is a complicated entity which requires a much more certificated explanation ..........
It can't be better than this.

ARGUMENT THAT NON THEISTS DON'T APPLY FAITH IN THEIR LIFE
By Kiranga

Sitaki kuamini, nataka kujua.

Sijashindwa kuthibitisha uwepo wangu, wewe ndiye umeshindwa kutaja framework na margin of error.

Uthibitisho wowote ambao hauna defined domain/ framework and margin of error ni ubatili.

HAPA SASA ANAONYESHA KUKUBALI IMANI KWA KUPINGA MADAI YAKE YA AWALI
By Kiranga
I can barely tolerate it for practical reasons linked to it's current inescapable nature as pointed above. That is, in order to eradicate it, one has to barely accommodate it, and converge towards it's gradual eradication methodically.

Experimentation, peer review and observation in a corrective and critically reflective culture (the opposite of faith) would eventually converge towards less belief and more knowledge.

That is how science advances.

HAPA ANASEMA KUWA YUPO ALLERGIC NA BELIEF
By Kiranga
I am allergic to belief.

I would rather know, thank you very much.
HUYOOOOO kesha anza kuonyesha tatizo katika UONGO WAKE WA ALLERGY

HAPA CHINI ANAFANYA FLIP FLOP NA KUKUBALI FAITH
By Kiranga
Inherently I do not have a problem with faith.

....

Here is where some choose to have total faith in an invisible god while others choose to have only a minimal amountn of faith based on.rationality and gradually converge towards knowledge.

NDUGU ZANGUNI,

Mimi sina la zaidi au la kuongeza, leo mmesha muelewa kuwa jamaa ni FLIP FLOP na SI MALI KITU, Ndio maana anatumia IGNORE LIST katika Debate.

Majibu mmesha yapata kuwa huyo Non Theist si Mali kitu
 
Back
Top Bottom