COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Wewe stroke mleta mada, ningekuwa mwalimu wako ningekupa salama 0 then unakula bakora za kutosha. Hiyo mfano yako ni hovyo kabisa, eti unaamka asubuhi unawasha gari yako ukifika barabarani unamgonga MTU anakufaa... kwa % kubwa ajali ni uzembe. That's y unafanyika uchunguzi kujua nini kimesababisha ajali itokee, na nini kifanyike ajali zisiendelee kutokea. Hapa unataka kumshirikisha mungu na uzembe wa mpuuzi mmoja

Hiyo unayoita "fate" au majaaliwa eti unataka kusema Mungu ndio kakupangia. MTU umepewa akili na utashi wa kutambua. Mwanzo unaweza kuwa na ndoto/matarajio ya kuwa Fulani, ila mazingira yakasababisha ubadili upepo. Mfano ipo mingi. Wabunge wengi wameacha taaluma zao na kukimbilia siasa hii nsyo ni mungu ametaka iwe hivyo?

Nachotaka kusema hapa, Mungu yupo. Tatizo ni jinsi ya kuelezea uwepo wake.

Mwisho kabisa kwa ndugu yangu Kiranga mambo ya kumdhihaki Mungu uache Mara moja. Usipoacha nakwenda kufunga na kuomba kwa wiki mbili akutie katika msukosuko, tabu, na shida aongeze na maumivu makali bila kugusa roho yako mpaka utakapo mtaja. Hii sitanii

Wewe unaenda kufunga leo mungu anitie katika mauko auko wakati mimi nishampa ultimatum kama yupo anipoge dafrao la radi hapa, miaka kadhaa imepita hamna lolote lililotokea.

Kabla ya kunitishia nyau mtu mzima, thibitisha mungu yupo.
 
Last edited by a moderator:
Kama anajua yote, atawezaje kukulazimisha kukupa kile ambacho hujakitaka?

Mbona unataka kumpeleka huyu mungu kwenye level ya Santa Claus, Father hristmas au mjomba wako?

Mungu anajua kila kitu, ina maana anajua mpaka unachotaka.

Sasa agaigopa vipi kukupa kitu kwa kuhofia asije kukupa usi hokitaka wakati yeye anajua kila kitu?

Mbona unajichanga ya kqenye maelezo?

Mungu huyu kweli yupo na anajua kila kitu?

Au ni stories tu?

Acha spidi ....

Mungu alijua kwamba Adam alihitaji dunia ya amani isiyo ma maradhi na hakumpa hadi pale alipochagua alichokichagua

Mungu kujua kile ambacho unahitaji sio tiketi ya kukupa,hadi uombe na kwa kufanya hivyo utaonesha kuchagua kwako na sio vinginevyo....

Unaweza kuwa unaugua na uko hoi kitandani na Mungu anajua kabisa unataka kupona,lakini kujua kwake sio toketi ya kukuponya,mwambie ndio atakuponya na hiyo ndio namna nzuri ya uhuru wa kuchagua uliotokana na upendo mkuu wa Mungu!
 
Acha spidi ....

Mungu alijua kwamba Adam alihitaji dunia ya amani isiyo ma maradhi na hakumpa hadi pale alipochagua alichokichagua

Mungu kujua kile ambacho unahitaji sio tiketi ya kukupa,hadi uombe na kwa kufanya hivyo utaonesha kuchagua kwako na sio vinginevyo....

Unaweza kuwa unaugua na uko hoi kitandani na Mungu anajua kabisa unataka kupona,lakini kujua kwake sio toketi ya kukuponya,mwambie ndio atakuponya na hiyo ndio namna nzuri ya uhuru wa kuchagua uliotokana na upendo mkuu wa Mungu!

Kwa nini mungu hakuumba dunia isiyo na maradhi wakati alijua Adam angehitaji dunia ya amani isiyo na maradhi?

Unaweza kumpa mtoto wako mchanga maziwa na sumu achague mwenyewe kipi cha kunywa wakati una uwezo wa kumpa maziwa tu?

Huyu mungu yupo kweli au ni stories tu?
 
Acha spidi ....

Mungu alijua kwamba Adam alihitaji dunia ya amani isiyo ma maradhi na hakumpa hadi pale alipochagua alichokichagua

Mungu kujua kile ambacho unahitaji sio tiketi ya kukupa,hadi uombe na kwa kufanya hivyo utaonesha kuchagua kwako na sio vinginevyo....

Unaweza kuwa unaugua na uko hoi kitandani na Mungu anajua kabisa unataka kupona,lakini kujua kwake sio toketi ya kukuponya,mwambie ndio atakuponya na hiyo ndio namna nzuri ya uhuru wa kuchagua uliotokana na upendo mkuu wa Mungu!

Nakuona mtumishi njisi unavyopambana kiustadi kabisa, kule wasabato, hapa wapingaji kwa hakuna Mungu ambao hawajui hata kujibu maswali. wao nikuuliza maswali tu.
Kwamba kwanini iwe hivi,? kwanini isiwe vile.?
 
Acha spidi ....

Mungu alijua kwamba Adam alihitaji dunia ya amani isiyo ma maradhi na hakumpa hadi pale alipochagua alichokichagua

Mungu kujua kile ambacho unahitaji sio tiketi ya kukupa,hadi uombe na kwa kufanya hivyo utaonesha kuchagua kwako na sio vinginevyo....

Unaweza kuwa unaugua na uko hoi kitandani na Mungu anajua kabisa unataka kupona,lakini kujua kwake sio toketi ya kukuponya,mwambie ndio atakuponya na hiyo ndio namna nzuri ya uhuru wa kuchagua uliotokana na upendo mkuu wa Mungu!
Kiongozi, hii theologia hawezi kuipata kamwe, maana yeye ameishisha kwenye UBISHI ambao ni sifa pekee ya God Haters.

1. Mungu hakuumba maradhi, bali maradhi yanakuja pale binadamu anaamua kuachana na kuto kuwa na maradhi. God did not create sicknesses.
2. Mungu hakuumba Shetani, bali Malaika Lucifer alipo acha kufanya mame, Lucifer akawa Shetani. Free wills.
3. Mungu hakuumba Giza, bali Mwanga unapo potea giza linaingia.

Huwa nashangaa sana kuona jamaa hawa God Haters kujiita wana akili na wanashindwa elewa simple laws of creation. I still call the mindless.
 
Alieniaminisha ni yeye mwenyewe Mwenyezi. Unaweza na wewe kuamini kwakuangalia jinsi Mungu aliumba kwa ustadi wa hali ya juu. Mbingu,dunia,bahari,n.k ukijiangalia wewe mwenyewe tu ni ushahidi tosha kwamba aliekufanya hivo ulivo si wa kawaida he own extra power.

Mungu humjui na wala walikufahamisha kuwa kuna Mungu na wao hawajawahi kumuona wewe unakuja na madai yako ya hearsay kuwa Mungu ndie aliyekuaminisha? hahahaaha Duniani kuna Viroja.... Mtu anasisitiza kuwa anaushahidi wa Kutosha kuwa Mbingu zimeumbwa na Mungu tena kwa Ustadi? sijui nilie au nicheke... Vitabu vinasema katika uumbaji Mungu alikuwa akisema tu kinatokea huo ustadi unakuwepo wapi? na biblia inasema Binadamu ndie aliyemuumba kwa Mikono yake...!


Mwenyewe ndio umeshusha mistari ukaipima na ukaona umeandika haswa hadi mijasho imekutoka... kumbe huo ushahidi ni wa maneno hearsay.... Nimeambiwa na hujaona.... hiyo ni Imani tu na sio Ushahidi
 
Ni kwasababu ana upendo kwa maana ya kutotaka kukulazimisha kukupa kile ambacho hujakitaka,hivyo ndivyo Mungu alivyo,kama unahitaji chochote kutoka kwa Mungu we mwambie tu na atakupa

Mungu hawezi kufanya jambo ambalo hajaombwa kwasababu halazimishi bali watu wanamwendea bila shuruti!

unaniacha hoi hapa ina maana adamu alimuomba mungu ampe machaguo?,
 
Aliekuwa na mamlaka ya kuzuia uwezo wa uwepo wa matatizo yote hapa duniani alikuwa ni Adam na alijua kabisa ana uwezo huo,japokuwa Mungu alijua kwamba matatizo yatamuumiza binadamu na atateseka hakumlazimisha binadamu kutokuteseka bali alimuachia aamue mwenyewe kwasababu anampenda sana

Adam alichakuwa kuwepo haya yote na kwasababu sisi ni uzao wake ni lazima kwa namna moja au nyingine tumehusika hivyo yote haya ni haki yetu kwasababu ndicho tulichotaka,hivyo kupata mateso yote haya sio malipo ya kumkosea Mungu bali ni matokeo ya kuchagua aina hii ya maisha lakini kuna kosa na kukaidi maagizo ya Mungu ambayo Mungu aliagiza kuwa atatuadhibu kwayo na hadi leo tupo ambao tunakaidi haya,hivyo hapa kuna mambo mawili

1; Adhabu ya kukaidi maagizo ya Mungu
2; Mateso ya kuchagua aina hii ya dunia mateso

Kimoja hapo juu tunakipata hapa hapa duniani lakini kingine tutakipata wakati wa hukumu ya mwisho

Tupo pamoja Jestina?

kwa nini alimpa adamu machaguo (option ya kuchagua) huku anajua kabsa chaguo lingine halitakuwa zuri kwa adam.kwa nini asinge mpa chaguo moja tu ili asubiri kama adamu angemuuliza kwa nini amempa chaguo moja.
Pili,huwa kuna mstari unasema mungu anajua tuwazavyo.hi ina maana mungu anajua fika ktk machaguo aliyo mpa ni dhahili adamu angechagua hvyo si angeacha kumpa
 
Nakuona mtumishi njisi unavyopambana kiustadi kabisa, kule wasabato, hapa wapingaji kwa hakuna Mungu ambao hawajui hata kujibu maswali. wao nikuuliza maswali tu.
Kwamba kwanini iwe hivi,? kwanini isiwe vile.?

Maswali ambayo hujayapatia majibu.
 
kwa nini alimpa adamu machaguo (option ya kuchagua) huku anajua kabsa chaguo lingine halitakuwa zuri kwa adam.kwa nini asinge mpa chaguo moja tu ili asubiri kama adamu angemuuliza kwa nini amempa chaguo moja.
Pili,huwa kuna mstari unasema mungu anajua tuwazavyo.hi ina maana mungu anajua fika ktk machaguo aliyo mpa ni dhahili adamu angechagua hvyo si angeacha kumpa

Nineuliza hapa.

Baba mqenye akili na upendo anaweza kumpa mtoto wake mdogo maziwa na aumu, eti kisa mtoto achague mwenyewe anachotaka?

Kama baba mwenye upendo wa kibinadamu tu hawezi kufanya hivyo, inakiwaje mungu mwenye upendo wote na ujuzi wote afanye sawa na hilo?
 
Unaweza kuwa unaugua na uko hoi kitandani na Mungu anajua kabisa unataka kupona,lakini kujua kwake sio toketi ya kukuponya,mwambie ndio atakuponya na hiyo ndio namna nzuri ya uhuru wa kuchagua uliotokana na upendo mkuu wa Mungu!

Yaani mtu uko hoi kitandani na yeye anajua kabisa kuwa u mgonjwa uliye hoi (na supposedly ana uwezo wa kukuponya) lakini anasubiri hadi umwambie kuwa unataka kupona ndo akuponye?

Kama ni hivyo basi moral compass yangu ni bora kuliko ya huyo mungu.

Aiseeeee :lol::lol::lol::lol::lol::lol:!!!!
 
Showing God Does Not Exist

An interview of Victor Stenger, Physicist, PhD by Robert Johnson, author of Rational Morality.

Victor J Stenger is a particle physicist, philosopher and religious skeptic with over 50 years academic experience. He is the author of 12 books, including the influential rationalist text
God: The Failed Hypothesis. How Science Shows That God Does Not Exist and his latest work God.

Your last book was called God and the Folly of Faith, can you give a brief summary of your findings?
Folly presents my basic thinking about why science and religion are irrevocably incompatible. When a scientific theory disagrees with the data, the theory is discarded. When a religious theory disagrees with the data, the data are discarded. It is foolish to take anything on faith, which is a belief based on no evidence, just wishful thinking.


This leads us to your latest book, God and The Atom, can you sum up the position you explore in this?
I trace the history of the notion called "atomism," in which everything is just material particles and emptiness, from its originators in ancient Greece to the present. The ancients had it basically right, but the idea was suppressed for a thousand years in the Dark Ages when the Catholic Church ruled Europe. In the atomist view, there are no gods who pay any attention to humanity and what we now call the multiverse is infinite and eternal and includes many universes besides our own. Atomism was rediscovered in the Renaissance and helped trigger the scientific revolution. The so-called "standard model of elementary particles" based on atomism has agreed with all observations since the 1970s and has been solidly confirmed by the 2012 discovery of the Higgs boson.


'New Atheism' is a subject you've written on quite often; you are said to be one of the major advocates of this position. First thing's first, do you think we even need a term named 'new atheism'?
It's needed because the new atheists make it clear that we should not accommodate religion since even its most moderate manifestations are based on magical thinking and humanity is doomed if we continue down that road.


Would this position not be better captured by the term 'anti-theist'?

Perhaps, but atheism is an already existing, familiar word and really means the same thing.



The 'atheism+' movement is starting to gather momentum and divide opinion - what are your thoughts on this idea?
I think it's a bad idea for the atheist movement to take up other causes, worthy as they may be, which already have plenty of organized support. I have been very disappointed to see this development. It detracts from the mission of fighting against magical thinking and we are still severely limited in resources, especially compared with what religion can throw at us.


Many people claim that science cannot prove God doesn't exist. Given the immense volume of work you have done on this subject, there is perhaps no one better suited to answering it. How would you respond?
While we cannot prove that every conceivable god does not exist, we can prove beyond a reasonable doubt that a god that plays such an important role in the universe such as the Abrahamic God would have been detected by now. Absence of evidence is evidence of absence when the evidence that should be there is not. For example, if the people who write all these bestsellers about visiting heaven during a near-death experience really entered a supernatural realm, why do they never come back with any verifiable new knowledge? They should, and the fact that they don't is proof it was all in their heads. See my book God: The Failed Hypothesis for other examples.


My own view of religion is that faith is the primary problem, but that religion is the institution in society which primarily upholds the dogma of faith as being a worthwhile and/or necessary mind set. What are your thoughts on the relation of faith and religion itself?
Yes, religion is based on faith and that's why it is not worthwhile despite the false comfort it provides to people who want to live forever. The social life and other amenities such as music, art, and even ritual rites of passage found in churches can all be provided outside a supernatural context. In Scandinavia, where hardly anyone goes to church on Sunday anymore, they still get married and buried in church.
Faith is foolish because it leads people to irrational decisions that pose great dangers to the survival of humanity, such as opposing birth control and thinking that global warming is no problem because God would never let it harm us.



The scientific method is something you've been heavily involved in during your career. You will have also worked through the emergence in popularity of 'social science', and the pitfalls academics have encountered when trying to do science in the realm of the social or psychological. Do you have any thoughts or fears with regards to this emergence?
I think the social sciences can be very useful if they are performed with true scientific method and not corrupted by the notion that they should be directly involved in social change. They should gather and quantify the facts, report them dispassionately, and let other institutions carry out the activity of social change based on that knowledge. I am not saying that science cannot make a contribution to morality and ethics, which after all do involve observable behavior. But scientists have to be very careful about appearing to promote political causes without the evidence to back them up.
The scientific method is not just limited to scientists. It can be applied in many ordinary situations. Basically one makes objective observations and then tries to describe them with some kind of model. Then one uses the model to predict future observations. The key is not to let your personal prejudices keep you from discarding a model you happen to like when the data rules it out.
And that's the case with the God model. It's appealing but it is ruled out by the data.


Source: Showing God Does Not ExistÂ-|Â-Victor Stenger



Social Science Religion and Science Scientific Method New Atheism Atomism Physics Atheism Showing God Does Not ExistÂ-|Â-Victor Stenger
 
Coming back to the main question: Are scientists saying that the universe sprang out of nothing? Doesn't contemporary physics begin and end with the Big Bang theory? Then why close a question that almost wills itself to remain: No rational mind must accept the argument that anything beyond one's mental comprehension is non-existent.


Laws of physics

Can we deploy the laws of physics to discover answers to questions about how the universe came into being? The laws of physics continue to evolve, and often they are at complete variance with past findings. Physics has undergone several tectonic shifts since Newton gave us the laws of gravitation and Einstein, his theory of relativity. The laws underwent further changes when it emerged that the laws defining motion of gross bodies in the cosmos do not apply to the flight of energy particles at the sub-atomic level.

And now physics has added a new twist with its disagreement with Einstein's equivalence principle, which states that the laws of physics are the same everywhere. John Webb of the University of New South Wales in Australia presents evidence to suggest that the laws of physics are not the same everywhere. Seen in practical terms, so far the laws of physics stand out as partial theories - these are still in search of a closure that Hawking seems to be thrusting upon his readers.

The laws of physics may be able to partly explain the cosmos. But, so far, physics has not been able to establish a correlation between the primal source and man. Science fails to establish a continuum between the source and the manifest in practical terms; findings of physicists become abstract academic exercises.

Source: Whether God exists or not - The Times of India
 
Yaani mtu uko hoi kitandani na yeye anajua kabisa kuwa u mgonjwa uliye hoi (na supposedly ana uwezo wa kukuponya) lakini anasubiri hadi umwambie kuwa unataka kupona ndo akuponye?

Kama ni hivyo basi moral compass yangu ni bora kuliko ya huyo mungu.

Aiseeeee :lol::lol::lol::lol::lol::lol:!!!!

Mentally sick I tell you.

Madness. Hapo mtu na akili zake kabisa.
 
biolojia nilipata F, siwezi kujibu maswali yako......but am sure yanajibika kisayansi lol..:lol::lol:...mie napenda kusikiliza gospel huwa zinanicalm down nerves,napendaga kuhisi matatizo yangu siku moja kuna ambae anaweza kuyatatua ambae ni God...ila nikisoma bible,uwepo wake na jinsi kristo alivyokufa msalabani....napataga na mushkeli wa kuiamini hii kitu....:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:

sayansi haina majibu yote, kwakua hutegemea uwezo wa binadamu katika kufuatilia uumbaji wa Mungu, mfano tunasoma katika vitabu vya dini kuwa Yesu alitembea juu ya maji, can science explain to us how can that happen, and can science help us walk on water?? sayansi inaukumo kwa kutegemea fikra za binadamu, lakini Mungu hana ukomo. Mimi pia nilikua na tatizo kama lako la kutokua na imani kwakua nimekua nikitaka kuthibitisha kila jambo kabla ya kufanya maamuzi lakini ilifika siku ambayo nilisahau hilo na kuamini uwepo wa Mungu, siku ambayo kila binadamu amepangiwa kuwa nayo. It truns out i was goven a certain task to accomplish, and kwa mtazamo wa walionipatia hiyo task walijua haiwezekani, so ilikua ni jambo la kutafuta mtu wa kufa na lawama za hilo jambo, basi nikapewa, kila mtu akijua sasa jamaa anaenda kufa na mzigo, just imagine my career was on the line and most of all my reputation, kama unavyojua binadamu wasivyopenda kuonekana hawawezi jambo... nikijua fika kabisa hiki kitu ni kigumu, i simply prayed, and the rest was history, lazima ifike mahali utambue uwepo wa huyu Mungu wetu, utakubali tu , kwakua yeye ndiye Muumba wa vyote na vyote hufanyika katika yeye.
 
Unahakikishaje kwamba ni mungu kaumba na si kitu kingine?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kashindwa hata kumuumba mwanamke asiyeenda chooni?

Kwangu mimi, kwenda chooni ni systemic inefficiency. Designer wa system - kama iko designed- kafanya system inayotoa waste sana tu, kashindwa kufanya mfumo unaotumia energy kikamilifu.

Mungu gani huyo hata hana energy efficiency?

Lahaula, wazungu na matheory yao yanawapeleka watu kubaya..
Hivi kwa nini kiranga unapenda kutumia akili za ki binaadamu kudhibitisha uwepo wa mungu?
Mind you kua even binaadamu sisi hatufikii10% ya ufikiri tulioumbiwa nao, ni vipi wewe ujihakikishie kua mungu hayupo kwa tutheory twa hao wanuka mikojo na mavi (wazungu, refer wakienda toilet utajua hutumia makaratasi baada ya kujisaidia) maana hapa hofu yangu nikugeuza wazungu kua bora kuliko mungu..
Kumbuka pia hao hao walishawah kusema dunia si duara, binadamu asili yake nyani, hakuna element ndogo zaidi ya atom, pluto ni sayari, jua limesimama n. K lakin baadae wakabadilisha haya yote kupitia kile walicho kiita the new proof!

Kwahyo sishangai siku moja hapa, tukiwa hai maana uhai nayo ni fate tutakuja kuona hapa mnageuza kiswahili kua mungu yupo!

Kama bado hujakamilika kielimu ya mungu bora uishie kusema mimi siamini kama yupo kuliko kwendelea kukufuru kwa vijiswali vyako vya kwanini hajaumba dunia isio na ajali, isiyo na njaa n. K mwisho unafika hatua unakufuru kwa kusema eti kwenda chooni ni one of the evidence kua mungu hayupo!

May be nikushauri kwakua hakuna mungu ambae anatake contral ya maisha yako, nenda kwa fundi wa mwili aku edit usiendelee kwenda chooni kama ambavyo tunaweza kugeuza matumizi ya baadhi ya vifaa tuvitumiavyo!mf kugeuza chupa ya maji ya kunywa kwa kuiyeyusha na kuifanya mfuko wa kubebea vitu sokoni.
Lakini kama utakosa mtu wa kushindwa kukurekebisha mfumo wako wa aja kubwa na ukaacha kwenda chooni milele, na ukaja ukadhibitisha hapa mimi ntakua wa kwanza kukuunga mkono kua kweli hakuna mungu, bali binadamu wenyewe ndio tunatake contral ya maisha..

Otherwise punguza bla bla zako, na mwisho usijekupata hasara ya kukufuru kama waliotangulia.
 
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?

Wakati alikuwa na uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao ajali haiwezekani.

Katika viumbe alivyoviumba Mwenyeezi Mungu alichokipa ubora zaidi (Khalifa) wa vingine vyote ni Mwanaadam na Mwanaadam alijichagulia (kwa ujinga wake tu) mwenyewe kuwa na freedom of choice :

Qur'an 33:72
Indeed, we offered the Trust to the heavens and the earth and the mountains, and they declined to bear it and feared it; but man [undertook to] bear it. Indeed, he was unjust and ignorant.


Sasa binaadam eti unajidai kulliza kwanini "aumbe ulimwengu unaoruhusu ajali kutokea na viumbe wake kuumia vikali na hata kufa?"

Umesahau ulivyotaka wewe mwenyewe freedom of choice?
 
Kwa nini mungu hakuumba dunia isiyo na maradhi wakati alijua Adam angehitaji dunia ya amani isiyo na maradhi?

Unaweza kumpa mtoto wako mchanga maziwa na sumu achague mwenyewe kipi cha kunywa wakati una uwezo wa kumpa maziwa tu?

Huyu mungu yupo kweli au ni stories tu?

Kiranga,hili swali nililijibu huko nyuma na hukusema kama hukuridhika na sasa unalirudia,hii maana yake nini?

Sababu ya Mungu kuumba dunia hii kama ilivyo nimeshakujibu na nikakuambia ni kwasababu ya upendo na nikakufafanulia ni kwa namna gani ni upendo kisha ukaja na swali la kutajka upewe muda unaorudi nyuma na nikakuambia inawezekana tu unachotakiwa ni kumuomba,sasa unarudi tena na swali lile lile,kwanini?
 
Unahakikishaje kwamba ni mungu kaumba na si kitu kingine?

Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kashindwa hata kumuumba mwanamke asiyeenda chooni?

Kwangu mimi, kwenda chooni ni systemic inefficiency. Designer wa system - kama iko designed- kafanya system inayotoa waste sana tu, kashindwa kufanya mfumo unaotumia energy kikamilifu.

Mungu gani huyo hata hana energy efficiency?

Sasa wewe unaeona "kashindwa" hebu tupe creation yako yoyote ile uliyo i create so far.
 
unaniacha hoi hapa ina maana adamu alimuomba mungu ampe machaguo?,

Hii inaisikitisha ....

Jijengee utaratibu wa kupitia post za nyuma kabla hujauliza swali ili mada isiwe inarudi nyuma bali kwenda mbele

Swali hili nishalijibu na nilisema kwamba,kitendo cha kuwepo kwa uchaguzi ni matokeo ya Upendo wa Mungu na sio kitu kingine,tuelewane hapo mkuu!
 
Back
Top Bottom