COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Dhambi Ya asili ndio ilileta haya. Mungu aliamuru msile tunda la mti wa katikati ya bustani, nyoka akawadanganya na ndipo kifo kikaja. maana Mungu aliwaambia hivi Adamu na Hawa " msile matunda ya mti wa ujuzi wa mema na Mabaya, Mkila mtakufa hakika" Naye nyoka (shetani) alipomjia Hawa alimwambia "eti mungu kasema mkila matunda ya mti wa katikati mtakufa??? Nawaambia hamtakufa hakika" Na walipokula sote tunajua yaliyotokea kwa mujibu wa Bible.

Hujaelewa swali.

Kabla ya dhambi ya asili kufanyika, kabla ya mwanadamu kuumbwa, kabla ya ulimwengu au chochoye kilichomo ndani yake kuumbwa, mungu alikuwa na uchaguzi wa kuumba ulimwengu wowote alioutaka.

Alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekaniki, na hata hiyo dhambi ya asili haiwezekaniki.

Hakuuumba ulimwengu huo, akaumba ulimwengu ambao mabaya na hiyo unayoiita dhambi ya asili vinawezekana.

Kama mungu mwenye uwezo wote na mapenzi yote, kwa nini aliamua kuumba ulimwengu ambao mabaya na dhambi ya asili vinawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya na dhambi ya asili haviwezekani?
 
Sasa nitaonaje tofauti wakati bado haujaeleza hizo tofauti za ushahidi na uthibitisho.Kwa kifupi ulichoeeleza wewe ni kwamba kukutwa alama za vidole kwenye eneo la tukio la uhalifu ni ushahidi kuwa huyo mtu anahusika kwenye huo uhalifu,lakini ukasema huo sio uthibitisho.

Sasa hapo nitaelewa vp tofauti?we umesema sijui tofauti ya hayo maneno,hivyo kwa maana ya kwamba nilikuwa nina maana ambayo si sahihi juu ya hayo maneno. Kwahiyo ukinipa mifano tu ili nielewe nitatumia zile tafsiri zangu potofu za hayo maneno.

We eleza ushahidi ni nini na uthibitisho ni nini hapo nitaelewa tofauti zake.

Umesoma set theory? Unaelewa tofauti ya set na subset?

Maana isije kuwa unanipa kazi ya kukufundisha vitu basic kabisa.
 
Nani kasema binadamu kajipinga?

Umekubali kwamba mungu kajipinga?

Kama unakumbuka niliwahi kukupa mfano wa mtu anaye jisifu kuwa anahela nyingi, ila alipokuja mtu na kumuomba hela hakumpa.
Nakakuuliza kwa huyo mwenye kujisifu ana hela nyingi lakini hakumpa mtu ambaye aliyokuwa amemuomba je,hicho ni kigezo cha kusema huyo aliyejisifu kuwa ana hela awe amejipinga? kwa sababa hajampa yule mtu aliyemuomba hela na wakati yeye anajisifu ana hela nyingi?

Ukasema hapo huyo mtu atakuwa hajajipinga na ukatoa sababu zako.
Sasa leo nataka utoe mfano kwa binadamu na uoneshe akijipinga, nataka mfano wenye ufanane na huo wa mungu.
 
Binadamu kujipinga ni kama vile mwanasiasa kitoa ahadi kwamba akipata kura atajenga shule na kuleta maji, halafu akipata kura na nafasi ya kisiasa anafanya tofauti na alivyoahidi. Hapo atakuwa amefanya ya kujipinga na kauki yake ya awali.

Tofauti na mungu, mtu ana sababu nyingi tu za kuweza kujipinga. Hana iwezo wote, hana upendo wote. Kwa hiyo anaweza kuwa muongomuongo tu asiyejali watu wala kuwa mkweli. Hivyo mtu akijipinga siwezi kushangaa.

Huyo mungu mwenye uwezo wote, upendo wite na ukweli wote, inakuwaje mpaka akajipinga?
 
Umesoma set theory? Unaelewa togauti ya set na subset?

Maana isije kuwa unanipa kazi ya kukufundisha vitu basic kabisa.

Sina haja ya kusoma hizo theories zako. Wewe eleza unachoelewa.
 
Binadamu kujipinga ni kama vile mwanasiasa kitoa ahadi kwamba akipata kura atajenga shule na kuleta maji, halafu akipata kura na nafasi ya kisiasa anafanya tofauti na alivyoahidi. Hapo atakuwa amefanya ya kujipinga na kauki yake ya awali.

Tofauti na mungu, mtu ana sababu nyingi tu za kuweza kujipinga. Hana iwezo wote, hana upendo wote. Kwa hiyo anaweza kuwa muongomuongo tu asiyejali watu wala kuwa mkweli. Hivyo mtu akijipinga siwezi kushangaa.

Huyo mungu mwenye uwezo wote, upendo wite na ukweli wote, inakuwaje mpaka akajipinga?

Mfano wako umenifanya nishindwe kutofautisha kati ya uwongo na kujipinga. Hebu niweke sawa hapo,maana kwa ninavyoelewa mie huo mfano wako wa mwanasiasa kutoa ahadi halafu hazitekelezi mie navyojua huo ni uongo.
 
Sina haja ya kusoma hizo theories zako. Wewe eleza unachoelewa.

Tatizo unakumbatia ujinga na kuunadi kama werevu.

Ndiyo maana nikikueleza vitu vinavyofuata misingi ya mantiki huwezi kuelewa.

Hutaki kuelewa, unapiga vita kujifunza, mtu anakwambia kuhusu kitu basic kama set theory unasema huna haja ya kujua set theory wakati katika reasoning kila siju tunaitumia, utawezaje kuelewa ninachoandika hapa?
 
Mfano wako umenifanya nishindwe kutofautisha kati ya uwongo na kujipinga. Hebu niweke sawa hapo,maana kwa ninavyoelewa mie huo mfano wako wa mwanasiasa kutoa ahadi halafu hazitekelezi mie navyojua huo ni uongo.

Kujipinga ni contradiction. Ni uwongo.

Tunarudi kule kule kwenye set theory ulikokimbia.

Kujipinga kote ni uongo, maana kunaambatanisha vitu viwili ambavyo ni "mutually exclusive" (haviwezi kutokea pamoja) vitokee pamoja.

Lakini inawezekana kukawa na uongo ambao hautokani na kujipinga. Kwa mfano, mtu akikuuliza una miaka mingapi, ukasema 20 wakati una miaka 25, na hujawahi kusema una miaka 25, utakuwa umedanganya lakini hukujipinga.

Hapo ndipo utakuta umuhimu wa set theory uliyoikimbia ni nini, kwa maana usipojua hata "mutually exclusive events" ni nini, unaweza kuambiwa habari ina a contradiction halafu ukaikubali bila kuiona ile contradiction.

Mungu wenu kajipinga na kadanganya.

Kwa sababu, tunaambiwa ana uwezo wote na upendo wote (call this property A) na pia ameumba ulimwengu ambao ubaya unawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani (call this property B ).

Property A and B are mutually exclusive. Both cannot be true at the same time. A can be true if only B is not true, and B can be true if only A is not true. A and B cannot both be true at the same time.

Tatizo umekimbia kusoma elementary set theory.

Sishangai unavyoshindwa kunielewa.
 
Tatizo unakumbatia ujinga na kuunadi kama werevu.

Ndiyo maana nikikueleza vitu vinavyofuata misingi ya mantiki huwezi kuelewa.

Hutaki kuelewa, unapiga vita kujifunza, mtu anakwambia kuhusu kitu basic kama set theory unasema huna haja ya kujua set theory wakati katika reasoning kila siju tunaitumia, utawezaje kuelewa ninachoandika hapa?

Wewe hapo ulipo huna hata sababu moja yako (binafsi) ambayo unaweza kutumia kupinga uwepo wa mungu. Lakini sijawahi kuona ukimwambia mtu anayeamini uwepo wa mungu akasome huko ulipopasoma wewe na kupata hizo sababu za kupinga uwepo wa mungu.

Sijui kama umenielewa.
 
Sababu mpaka iwe yangu binafsi inabidi iweje?

Wewe sababu yako binafsi ya kuamini uwepo wa mungu ni ipi?

Na unajuaje kwamba ni yako binafsi?

Mbona hujajibu kwa vipi mungu mwenye uwezo wite, ujuzi wite na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Mbona mpaka sasa hujathibitisha kwa mantiki isiyojipinga kwamba mungu yupo?
 
Kujipinga ni contradiction. Ni uwongo.

Tunarudi kule kule kwenye set theory ulikokimbia.

Kujipinga kote ni uongo, maana kunaambatanisha vitu viwili ambavyo ni "mutually exclusive" (haviwezi kutokea pamoja) vitokee pamoja.

Lakini inawezekana kukawa na uongo ambao hautokani na kujipinga. Kwa mfano, mtu akikuuliza una miaka mingapi, ukasema 20 wakati una miaka 25, na hujawahi kusema una miaka 25, utakuwa umedanganya lakini hukujipinga.

Hapo ndipo utakuta umuhimu wa set theory uliyoikimbia ni nini, kwa maana usipojua hata "mutually exclusive events" ni nini, unaweza kuambiwa habari ina a contradiction halafu ukaikubali bila kuiona ile contradiction.

Mungu wenu kajipinga na kadanganya.

Kwa sababu, tunaambiwa ana uwezo wote na upendo wote (call this property A) na pia ameumba ulimwengu ambao ubaya unawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao ubaya hauwezekani (call this property B ).

Property A and B are mutually exclusive. Both cannot be true at the same time. A can be true if only B is not true, and B can be true if only A is not true. A and B cannot both be true at the same time.

Tatizo umekimbia kusoma elementary set theory.

Sishangai unavyoshindwa kunielewa.

Sasa Msomi/mwalimu Umeeleza vitu vingi ila sijaona jibu la ufafanuzi niliyotaka. Umeingiza maswala ya kujipinga kwa mungu wakati mie bado nipo kwanza kwenye kujipinga kwa mtu.

We umetoa mfano wa mwanasiasa anayetoa ahadi lakini hazitekelezi,ukasema huko ni kujipinga,mie nikataka ufafanuzi hapo kwamba kutoa ahadi na kutotekeleza ni kujipinga au uongo?

Katika majibu yako ukasema kwamba kujipinga ni uongo,lakini pia kuna uongo ambao hautokani na kujipinga na ukatoa mfano mzuri tu.

Lakini kabla ya hapo ulieleza hivi kuhusu kujipinga:
"Kujipinga kote ni uongo, maana
kunaambatanisha vitu viwili ambavyo ni "mutually exclusive" (haviwezi kutokea pamoja) vitokee pamoja."

Ukisoma vizuri hapo hakuna jibu la kuhusu mwanasiasa kutoa ahadi halafu hatekelezi kwamba ni uongo au kujipinga?

Umetumia neno uongo kwenye kuelezea kujipinga,lakini hiyo haifanyi iwe neno uongo ni kujipinga na mfano mzuri tunaupata ktk mfano wako mwenyewe wa mtu kusema ana miaka 20 kumbe ana miaka 25.
 
Sababu mpaka iwe yangu binafsi inabidi iweje?

Wewe sababu yako binafsi ya kuamini uwepo wa mungu ni ipi?

Na unajuaje kwamba ni yako binafsi?

Mbona hujajibu kwa vipi mungu mwenye uwezo wite, ujuzi wite na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

Mbona mpaka sasa hujathibitisha kwa mantiki isiyojipinga kwamba mungu yupo?

Ndiyo maana mwisho wa maelezo yangu nikasema "sijui kama umenielewa". Jinsi ulivyokuja kujibu inaonesha haukunielewa kabisa.
 
Ndiyo maana mwisho wa maelezo yangu nikasema "sijui kama umenielewa". Jinsi ulivyokuja kujibu inaonesha haukunielewa kabisa.

Bora hata mimi kama unaona sijakuelewa hapa, ambapo hata wewe unaonekana huna nia ya kueleweka, kwa maana ungekuwa na nia ya kueleweka ungefafanua.

Wewe unaonekana sio tu hunielewi thread nzima, bali pia huna uwezo wa kunielewa hata ukijaribu.

Mpaka sasa hujathibitisha uwepo wa mungu.

Wala hujaeleza ni kwa nini mungu mwenye uwezo wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na ana uwezo wote wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
 
Wewe upo hapa kwa ubishi tena kwa kupinga tu, maana ndiyo kitu rahis kufanya na ndiyo maana mimi kwa kulitambua hilo nimekuwa nahoji hoja zenu.

Yani wewe ujibu swali tofauti na ulivyoulizwa halafu ukiambiwa haujaelewa swali unasema sikufafanua,sasa uliweza kujibu vp kitu ambacho haukukielewa?
Na majibu yako umejibu kwa kuuliza maswali na kurudia hoja yako ambayo ndiyo inajadiliwa lakini unasema haujajibiwa.

Inaonesha ni jinsi gani upo hapa kwa ajiri ya kupinga tu na si vingine,na ndiyo maana miaka yote maswali yako na hoja yako ni hiyohiyo.
 
Hata sasa hujafafanua bado, na hivyo huwezi kusema nimejibu swali tofauti.

Tofauti na nini?
 
Catholic Priest Who Died for 48 Minutes Claims That God Is A Woman

Feb 4, 2015 BOSTON, USA
[h=4]Boston| A Catholic priest from Massachussetts was officially dead for more than 48 minutes before medics were able to miraculously re-start his heart. During that time, Father John Micheal O'neal claims he went to heaven and met God, which he describes as a warm and comforting motherly figure.[/h]The 71-year old cleric was rushed to the hospital on January 29 after a major heart attack, but was declared clinically dead soon after his arrival. With the aid of a high-tech machine called LUCAS 2, that kept the blood flowing to his brain, doctors at Massachusetts General Hospital managed to unblock vital arteries and return his heart to a normal rhythm.The doctors were afraid he would have suffered some brain damage from the incident, but he woke up less than 48 hours later and seems to have perfectly recovered.

The elderly man claims that he has clear and vivid memories of what happened to him while he was dead. He describes a strange out-of-body experience, experiencing an intense feeling of unconditional love and acceptance, as well as being surrounded by an overwhelming light.He claims that at that point in his experience, he went to heaven and encountered God, which he describes as a feminine, mother-like "Being of Light".
"Her presence was both overwhelming and comforting" states the Catholic priest. "She had a soft and soothing voice and her presence was as reassuring as a mother's embrace. The fact that God is a Holy Mother instead of a Holy Father doesn't disturb me, she is everything I hoped she would be and even more!"
The declarations of the cleric caused quite a stir in the catholic clergy of the archdiocese over the last few days, causing the Archbishop to summon a press conference to try and calm the rumors.

Despite the disapproval of his superiors, Father O'neal says that he will continue dedicating his life to God and spread the word of the "Holy Mother".
"I wish to continue preaching" says the elderly cleric. "I would like to share my new knowledge of the Mother, the Son and the Holy Ghost with all catholics and even all Christians. God is great and almighty despite being a woman…"
The Roman Catholic Archdiocese of Boston has not confirmed however, if they will allow Father O'neal to resume his preaching in his former parish in South Boston.

Source: Catholic Priest Who Died for 48 Minutes Claims That God Is A Woman World News Daily Report

SOMA :Maoni ya ''watu wa imani'' na Watu wa ''Logic'' huko Uganda: God is a woman- Priest who died for 48 minutes claims - World - monitor.co.ug
 
Catholic Priest Who Died for 48 Minutes Claims That God Is A Woman

Feb 4, 2015 BOSTON, USA
[h=4]Boston| A Catholic priest from Massachussetts was officially dead for more than 48 minutes before medics were able to miraculously re-start his heart. During that time, Father John Micheal O’neal claims he went to heaven and met God, which he describes as a warm and comforting motherly figure.[/h]The 71-year old cleric was rushed to the hospital on January 29 after a major heart attack, but was declared clinically dead soon after his arrival. With the aid of a high-tech machine called LUCAS 2, that kept the blood flowing to his brain, doctors at Massachusetts General Hospital managed to unblock vital arteries and return his heart to a normal rhythm.The doctors were afraid he would have suffered some brain damage from the incident, but he woke up less than 48 hours later and seems to have perfectly recovered.

The elderly man claims that he has clear and vivid memories of what happened to him while he was dead. He describes a strange out-of-body experience, experiencing an intense feeling of unconditional love and acceptance, as well as being surrounded by an overwhelming light.He claims that at that point in his experience, he went to heaven and encountered God, which he describes as a feminine, mother-like “Being of Light”.
“Her presence was both overwhelming and comforting” states the Catholic priest. “She had a soft and soothing voice and her presence was as reassuring as a mother’s embrace. The fact that God is a Holy Mother instead of a Holy Father doesn’t disturb me, she is everything I hoped she would be and even more!”
The declarations of the cleric caused quite a stir in the catholic clergy of the archdiocese over the last few days, causing the Archbishop to summon a press conference to try and calm the rumors.

Despite the disapproval of his superiors, Father O’neal says that he will continue dedicating his life to God and spread the word of the “Holy Mother”.
“I wish to continue preaching” says the elderly cleric. “I would like to share my new knowledge of the Mother, the Son and the Holy Ghost with all catholics and even all Christians. God is great and almighty despite being a woman…”
The Roman Catholic Archdiocese of Boston has not confirmed however, if they will allow Father O’neal to resume his preaching in his former parish in South Boston.

Source: Catholic Priest Who Died for 48 Minutes Claims That God Is A Woman World News Daily Report

SOMA :Maoni ya ''watu wa imani'' na Watu wa ''Logic'' huko Uganda: God is a woman- Priest who died for 48 minutes claims - World - monitor.co.ug

Watajichanganya sana tu.
 
Hata sasa hujafafanua bado, na hivyo huwezi kusema nimejibu swali tofauti.

Tofauti na nini?

Tatizo ushasahau ulichoniambia ambacho kikapelekea hadi mie kuuliza hilo swali.

Halafu mnasema mie napindisha mada.
 
Back
Top Bottom