UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Watajichanganya sana tu.
Utajichanganya wewe unayekariri mambo ili tu useme hakuna mungu.
Umeshindwa kutofautisha kujipinga na uongo halafu unakuja kusema mungu kajipinga.
Bado nahitaji kujua tofauti ya ushahidi na uthibitisho. Maana bado ile hoja yako ya kusema kisichokuwepo hakithibitishiki hatujamalizana.