Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Tatizo lenu mpo hapa kwa ajiri ya kubishana tu,sasa mie kwa kulitambua hilo najitahidi kuwatowa kwenye kubishana na kufanya tujadiliane kwa hoja za msingi ili tufike tamati ya hizi mada za kuwepo na kutokuwepo kwa Mungu. Na mie na Kiranga majadiliano yetu huwa yenye kuendelea,hayo maelezo yangu ya uliyoweka rangi nyekundu nimemkumbushia swala imani ambalo tulishawahi kujadili ila aliingia mitini. Hivyo sishashangai kwa wewe kutoelewa hapo na kuona sina hoja.
Mie naenda ngazi kwa ngazi sababu nia yangu ni kuelimishana na kufika tamati na si kuonesha nani bingwa wa ubishi.
Imani si ushahidi, much less uthibitisho.
You are in the wrong thread.