COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

COINCIDENCE: Moja ya ushahidi wa uwepo wa Mungu

Kwani we unaujua huo ushahidi ulivyo?

Sasa kama huna ushahidi na hujui ushahidi wa huyu mungu wako unakomalia nini humu?,yaan we unasikia watu wanasema mungu yupo nawe ulizaliwa ukakita wanasema hivyo na kwa kuwa unaona watu wanaabudu basi na wewe ushaamini kwamba yupo?.aisee pole sana and this is too low for you
 
Kwa hiyo mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hauna mateso lakini una huruma?

Isingewezekana kwasababu mateso ndio yanayosababisha huruma, kama kusingekua na mateso kabisa kusingekua na hicho cha kuonea huruma.
 
Isingewezekana kwasababu mateso ndio yanayosababisha huruma, kama kusingekua na mateso kabisa kusingekua na hicho cha kuonea huruma.

Basi mungu wako hawezi kila kitu. Si muweza yote. Hilo moja. Hakuweza kuumba ulimwengu ambao hauna mateso lakini una huruma.

The idea that one needs a dichotomy /duality to have something meaningful and real is a falsehood. Hatuna negative time (going back in time), that doesn't mean we don't have time. Kwa nini mungu asifanye huruma kama muda? Isihitaji kuwepo kwa negation ya mema (mateso) kuwepo? Kwa nini hili liwezekane kwa muda halafu lishindikane kwa huruma? Umeelewa swali langu?

Halafu , ukisema mateso ndiyo yanayosababisha huruma, unaacha kueleza huruma ina umuhimu gani kama hakuna mateso?

Unachosema hapo ni kwamba mungu karuhusu mabaya ili tuweze kuhurumia wanaopatwa na mabaya.

Mimi ningemuona wa maana zaidi kama angefanya mabaya yasiwepo kabisa hata kama hilo lingemaanisha hatuna haja ya kuhurumiana.

Huwezi kumshukuru mtu aliyekuacha na njaa wakati ana uwezo wa kukupa chakula, eti tu kwa sababu kakuacha na njaa ili uweze kuhurumiwa.

Tungehitaji kuhurumiana kwa nini wakati hamna mateso?

Umuhimu wa kuhurumiana ni nini katika ulimwengu ambao hauna cha kuburumiana kwa sababu kila kitu kinakwenda sawa?

Wewe unapenda kuhirumiana tu hata kama kubirumiana gharama yake ni mateso?

Ukiambiwa uchague ulimwengu ambao hauna mateso na hauna kuhurumiana, na ulimqengu wenye mateso na wenye kuhurumiana utachagua upi?
 
Kiranga mimi namwamini Mungu, na kwangu ni Muweza wa yote, hayo unayosema itabidi umuulize mtaalamu wa theology. Mimi nimechagua kumwamini. Kuna maswali mengi sana ambayo muda mwingi tunakosa majibu ila tunaendelea kuamini, wewe kama umechagua kutoamini na kutoona uwezo wake isiwe tabu.
 
Last edited by a moderator:

Bora umesema ukweli.

Kifupi ulichosema ni kwamba hujui kujibu haya maswali, huwezi kumuelezea mungu wako logically, umeamua tu kuamini bila kuelewa.

I can respect that honesty.

Sina shida na mtu anayetaka kuamini ana yotaka kuamini.

Shida yangu inaanza mtu anapoanza kuongelea kwamba imani yake ndiyo fact.

Imani unaruhusiwa kuamini chochote. Kwa maazimio ya Umoja wa Mataifa na misingi ya haki za bunadamu. Hata mimi nitakuwa wa kwanza kutetea haki zako hizi za msingi. Ilimradi usivunje sheria tu.

Ukianza kueleza imani yako kama ukweli wa mambo, hapo lazima nikuhoji.
 
Last edited by a moderator:
Kiranga mtu wangu, sijaimply in anyway that what am saying is a fact, I simply repeated what I have come across.

So yes, I believe in God na kila mtu ana haki ya kuamini anachotaka that's why inaitwa kuamini cause we have not been there tukaona anything, we just chose a path and clearly path uliyochagua ni tofauti kidogo na yangu ndo maana tunashindwa kuelewana.

But I insist hakuna hata kimoja nilichosema kinachoashiria kuwa nina uhakika kile ninachoamini ni sahihi na wengine wanachoamini sio.
 
Last edited by a moderator:
Swali hapa si mfano wa jinsi ya ulimwengu ukawa umepatikana tofauti.

Human ignorance is infinite.

Swali hapa ni jinsi gani ulimwengu hauwezi ukawa umepatikana tofauti.

Mimi sijasema najua ulimwengu ulivyoanza, sasa huwezi kuniuliza hilo swali.

Wewe unayedai kwamba ulimwengu umeumbwa na mungu una wajibu wa kutueleza ni kwa nini ulimwengu huu umeumbwa na mungu na hauwezi kuwa umetokea kwa njia nyingine yoyote.

Mpaka sasa nishakupa swali unieleze imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, upendo wote na ujuzi wote kaumba ulimwengu huu, hujanijibu.

Hivi unaweza kuniambia kwanini uliniambia nafikiri sawa na line ya reli ikiwa wewe pia huwezi hata kutoa mfano tu wa fikra tofauti?

Je,vp wewe ikiwa ndiyo umekariri tu kwa kukataa kwa hiyo imani yako ya kwamba mungu hajaumba huu ulimwengu? Maana hakuna hoja uliyotoa yenye kuonesha imani ya kuamini mungu ndiyo aliyeumba ulimwengu si sahihi.
 
Christian is the court of human sacrifice! Its not the religion that repute the human sacrifice !No!

Its a kind of Religion that celebrates the single humani sacrifice as a whole factor,they say"God loves the World that he gave his only son""!john 3:16.This is PETTY.It doesn't make any sense that someone must suffer n die in oder to let others enter into gods kingdom!,

We come from people who used to bury children under the foundations of the buildings as offering to their imaginary god.,Hebu fikilia yaani watu wanazika watoto wakiume wakiwa wazima wakati wa kujenga misingi ya nyumba ili mungu asije liangusha jengo!.Huyu mungu ni yupi?.This is the source of the people who wrote the bible!.you just think about it af nambie huyu mungu mungu gani?.
 
Kiranga mtu wangu, sijaimply in anyway that what am saying is a fact, I simply repeated what I have come across.

So yes, I believe in God na kila mtu ana haki ya kuamini anachotaka that's why inaitwa kuamini cause we have not been there tukaona anything, we just chose a path and clearly path uliyochagua ni tofauti kidogo na yangu ndo maana tunashindwa kuelewana.

But I insist hakuna hata kimoja nilichosema kinachoashiria kuwa nina uhakika kile ninachoamini ni sahihi na wengine wanachoamini sio.

This is refreshing!
 
Hivi unaweza kuniambia kwanini uliniambia nafikiri sawa na line ya reli ikiwa wewe pia huwezi hata kutoa mfano tu wa fikra tofauti?

Je,vp wewe ikiwa ndiyo umekariri tu kwa kukataa kwa hiyo imani yako ya kwamba mungu hajaumba huu ulimwengu? Maana hakuna hoja uliyotoa yenye kuonesha imani ya kuamini mungu ndiyo aliyeumba ulimwengu si sahihi.

Kwa sababu unasema kinachoweza kuwepo ni mbele na nyuma tu wakati hujui habari zote.

Vipi kama ulimwengu haujaumbwa na mungu na ukweli kuhusu nature yake hatutapata teknolojia ya kuujua kwa miaka 1,000 ijayo?

How do you go about that?

I would look at the god theory and all it's holes and discard it, even as I am converging more and more towards the truth.

Wewe umesema mungu yupo na kaumba ulimwengu, nimekupa maswali ya kimantiki kuonesha kwamba huyo mungu wako hawezi kuwa ndiye mungu aliyeumba ulimwengu huu (inherent contradiction of central character). Hujaweza kujibu maswali haya.

Hujaweza kuthibitisha mungu yupo.

Umesema ulimwengu huu ni ushahidi kwamba mungu yupo, nimekuonesha jinsi gani ushahidi huu ni ushahidi kwamba mungu wako hayupo.

Nimekuuliza imekuwaje mungu mwenye ujuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote aende kuumba ulimwengu huu? Hujajibu swali.

Habari yako ya mungu kuwapo haiyumkiniki.

Ni hadithi ya kitoto iliyoungwa ungwa kwa maarifa ya kizamani ambayo hayawezi kuhimili uchunguzi wa kimantiki.

Hujajibu maswali.

Unaposema hakuna hoja niliyotoa kuonesha imani ya kuamini mungu si sahihi unataka nifikiri kwamba ama unajiondoa alili tu ama huna akili.

Kwa sababu mmeleta habari ya "ulimwengu huu ni ishahidi kwamba mungu yupo", nikaipangua hoja viziri kuonesha kwamba "ulimwengu huu ni ushahidi kuwa mungu hayupo".

Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kama huu.

Nimekueleza kama kila intelligence ni lazima iwe created, then hiyo intelligence inayo create nato ni lazima iwe created. Hivyo mungu wako naye atahitaji kuwa na muumbaji na muumbaji wake naye atahitaji muumbaji, bila mwisho. Kwa hiyo habari nzima ya kufikiri kila intelligence ni lazima iwe imeumbwa, badala ya kuonesha kwamba mungu yupo, inaonesha kwamba mungu hayupo.

Sasa ukipotezea hoja za msingi kama hizo (hujaijibu) na kusema hakuna hoja niliyotoa inayoonesha imani ya kuamini mungu aliyeumba ulimwengu si sahihi, unajishusha hadhi mwenyewe.

Unajionesha kuwa wewe ama ni muongomuongo ambaye huna nia ya ku dahili hoja, ama ni mjingamjinga ambaye hata nikikuelezea hoja nzito huwezi kuzielewa.

Zaidi ya hapo, unaweza kuwa mjingamjinga na muongomuongo.

Tueleze sasa.

Kipi ni sahihi hapo?
 
This is refreshing!

I can deal with this.

Lakini hii thread focus yake ni ushahidi na uthibitisho.

Maana yake imani si focus, kwa sababu katika imani ushahidi na uthibitisho ama ni irrelevant ama ni secondary.
 
Nimeuliza kiranga anieleze ni wapi alipozitoa taarifa au chanzo cha habari panaposema mungu ana upendo na uwezo mkubwa.

Nimekuuliza mungu unayemuamini ni yupi ili nikupe reference zinazokuhusu wewe.

Siwezi kukupa reference za ma Buddhist kutoka kwenye Dhammapada wakati wewe unaamini mungu wa Wakatoliki.

Mungu unayemuamini ni yupi?

Hujajibu hili swali.

Unachoogopa ni kipi?
 
Kwa sababu unasema kinachoweza kuwepo ni mbele na nyuma tu wakati hujui habari zote.

Vipi kama ulimwengu haujaumbwa na mungu na ukweli kuhusu nature yake hatutapata teknolojia ya kuujua kwa miaka 1,000 ijayo?

How do you go about that?

I would look at the god theory and all it's holes and discard it, even as I am converging more and more towards the truth.

Wewe umesema mungu yupo na kaumba ulimwengu, nimekupa maswali ya kimantiki kuonesha kwamba huyo mungu wako hawezi kuwa ndiye mungu aliyeumba ulimwengu huu (inherent contradiction of central character). Hujaweza kujibu maswali haya.

Hujaweza kuthibitisha mungu yupo.

Umesema ulimwengu huu ni ushahidi kwamba mungu yupo, nimekuonesha jinsi gani ushahidi huu ni ushahidi kwamba mungu wako hayupo.

Nimekuuliza imekuwaje mungu mwenye ujuzi wa yote, upendo wote na uwezo wote aende kuumba ulimwengu huu? Hujajibu swali.

Habari yako ya mungu kuwapo haiyumkiniki.

Ni hadithi ya kitoto iliyoungwa ungwa kwa maarifa ya kizamani ambayo hayawezi kuhimili uchunguzi wa kimantiki.

Hujajibu maswali.

Unaposema hakuna hoja niliyotoa kuonesha imani ya kuamini mungu si sahihi unataka nifikiri kwamba ama unajiondoa alili tu ama huna akili.

Kwa sababu mmeleta habari ya "ulimwengu huu ni ishahidi kwamba mungu yupo", nikaipangua hoja viziri kuonesha kwamba "ulimwengu huu ni ushahidi kuwa mungu hayupo".

Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu unaoruhusu mabaya kama huu.

Nimekueleza kama kila intelligence ni lazima iwe created, then hiyo intelligence inayo create nato ni lazima iwe created. Hivyo mungu wako naye atahitaji kuwa na muumbaji na muumbaji wake naye atahitaji muumbaji, bila mwisho. Kwa hiyo habari nzima ya kufikiri kila intelligence ni lazima iwe imeumbwa, badala ya kuonesha kwamba mungu yupo, inaonesha kwamba mungu hayupo.

Sasa ukipotezea hoja za msingi kama hizo (hujaijibu) na kusema hakuna hoja niliyotoa inayoonesha imani ya kuamini mungu aliyeumba ulimwengu si sahihi, unajishusha hadhi mwenyewe.

Unajionesha kuwa wewe ama ni muongomuongo ambaye huna nia ya ku dahili hoja, ama ni mjingamjinga ambaye hata nikikuelezea hoja nzito huwezi kuzielewa.

Zaidi ya hapo, unaweza kuwa mjingamjinga na muongomuongo.

Tueleze sasa.

Kipi ni sahihi hapo?

"Kwa sababu mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hawezi kuumba ulimwengu
unaoruhusu mabaya kama huu."

Ulimwengu haufanyi mabaya bali mabaya hufanywa na wanadamu.
Ulimwengu ni kitu chengine na binadamu ni kitu chengine usichanganye hivyo vitu. Maovu yanayofanywa na wanadamu inahusiana vp na kuja kusema kwamba Mungu hajaumba ulimwengu kwa sababu hiyo?

Eleza ni vp madai ya kwamba Mungu ndiyo kaumba ulimwengu hayana ukweli kwa sababu za msingi, lakini sio kuja na hoja ya kwamba et kisa binadamu anafanya maovu et ndiyo ulimwengu haujaumbwa na Mungu. Ni vichekesho vitupu

Na kichekesho cha mwisho ni kusema mungu naye atakuwa na muumba wake,hapa ndiyo unathibitisha maneno niliyokwambia kwamba unapinga usichokijua.

Nilishawahi kukwambia kwamba mungu humjui lakini unampinga, ila ukanibishia ukasema unamjua.
Ungekuwa unamjua usingekuja kusema kuwa mungu naye anahitaji muumbaji, kwa sababu ungekuwa unajua kabisa kuwa yeye pekee ndiyo mwenye sifa ya kuumba na yeye hana mwanzo wala mwisho hajaumbwa.

Lakini kwa kuwa humjui basi wewe umekariri sifa zake za upendo na uwezo wote tu hujui hata kama ana sifa ya kuumba pia.
 
First thing first, kwa mujibu wa imani yako, unakubali au hukubali kwamba chochote kinachotokea kwenye ulimwengu kinatokea kwa kibali cha mungu?

Kwamba mungu asingekiachia kitokee kisingetokea?

Kwamba mungu wako alivyokuwa anaumba ulimwengu huu alikuwa na uwezo wa kuupa tabia zozote alizotaka yeye?

Unakubali au hukubali?
 
Blah blah miiiingi lakini hakuna chochote kinaonesha Mungu yupo

Mkuu mbona naona kama kipo!Uwepo wako namna jinsi ulivyoumbwa tu, not only u mtazame mbwa, mbuzi nk walivoumbwa na viungo kama wewe. Can u tell me wametokea wapi na wewe umetokea wap??There must be someone amevifanya ama kuvianzisha hivyo vyote, and that is God.
 
Nimekuuliza mungu unayemuamini ni yupi ili nikupe reference zinazokuhusu wewe.

Siwezi kukupa reference za ma Buddhist kutoka kwenye Dhammapada wakati wewe unaamini mungu wa Wakatoliki.

Mungu unayemuamini ni yupi?

Hujajibu hili swali.

Unachoogopa ni kipi?

unaposema nikutajie imani yangu ili unijibu unamanisha kwamba vyazo vyako vya habari ni zaidi ya kimoja! naomba unitajie kimoja tu unachokiamini bila kujali mimi na mwamini mungu yupo kupitia imani au dini ipi?
 
First thing first, kwa mujibu wa imani yako, unakubali au hukubali kwamba chochote kinachotokea kwenye ulimwengu kinatokea kwa kibali cha mungu?

Kwamba mungu asingekiachia kitokee kisingetokea?

Kwamba mungu wako alivyokuwa anaumba ulimwengu huu alikuwa na uwezo wa kuupa tabia zozote alizotaka yeye?

Unakubali au hukubali?

Nakubari kabisa.

Pia soma Qur'an 2:30.
 
biolojia nilipata F, siwezi kujibu maswali yako......but am sure yanajibika kisayansi lol..:lol::lol:...mie napenda kusikiliza gospel huwa zinanicalm down nerves,napendaga kuhisi matatizo yangu siku moja kuna ambae anaweza kuyatatua ambae ni God...ila nikisoma bible,uwepo wake na jinsi kristo alivyokufa msalabani....napataga na mushkeli wa kuiamini hii kitu....:noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea::noidea:

Vitabu vya dini vyaweza kukuchanganya, ila hata ukiondoa hizi dini still Mungu yupo. Biologia itashindwa kukujibu wewe umetokea wap, mbwa, paka wametokea wapi kwanini wamefanana nawewe viungo na namna waishivyo nk. Aisee yupo aliyeviweka hivi viumbe vyote akaviumba vyenye ufanano wa aina yake.
 
Mimi ni mtu ambaye nampenda mungu sana.

Kuliko unavyofikiria.

Ningependa mungu awepo. Akiwepo, ultimately reaponsibility ya kila kitu ipo kwake. Maana yeye ndiye mwe ye mikoba yote na kaumba vyote.

Kwa hiyo ma hlobal warming, ma Ebola, ma Tsunami yote yanakuwa si mzigo wa mwanadamu. Ni mzigo wa mungu. Mwanadamu anakuwa kipande kidogo tu cha mchezo.

Lakini hata nikimpenda vipi mungu. Hili haliondoi ukweli kwamba kama hayupo, hatuwezi kisema hayupo.

Siwezi kujifariji kwamba mu gu yupo, ni mwema na ana nguvu zote na mimi nionbe na kyimba tu wakati manyiki yote inao esha kwamba hayupo.

Mkuu hivi unachokiandika unakielewa ama ni macho yangu tu??Kwenye red humo, Je Unaanzaje kukipenda kitu ambacho unaamini HAKI EXIST. Tatizo liko hapo tu, binafsi Nadhani ukiweza kutatua ilo tatizo utapata majibu mengi ya maswali yako, ila watu wa humu hawataweza kukupa majibu yatakayokushawishi maana labda hata wao hawana majibu ya maswali yako ila anayo uyo uliyesema UNAMPENDA wakati huamini kua yupo

Asante, Mkuu.
 
Back
Top Bottom