Umelielewa jibu la swali lako hili nililokupa?
Inaonekana hujalielewa.
Unaweza kuthibitisha chochote ambacho hakipo kwamba hakipo?
Sijauliza kuhusu raha, nimeuliza kwa nini mungu kaumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na matatizo na tabu? Wakati aliweza kuumba ukimwengu ambao hauna wala hauwezekani kuwa na tabu?
Hujajibu swali hili, unajaribu kulizunguka tu.[/QUOTE
Duhhh...nimekupata, kwanza hizo raha unazozihitaji ungejuaje kama raha ingelikuwa tabu hazipo? Sikiliza, kuna usiku na mchana, wema na wovu, baridi na joto. Kwahiyo ktk ulimwengu vyovyote Mungu aliviweka...