Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
Alisema lini na wapi na nani shahidi hapo ndipo pagumu,maana kama unatumia reference za Biblia ama koran basi unaingia katika kundi lile lile!,Biblia na koran vimejaa mkangamano ambao hauna majibu mpaka leo.yah it must be too low first inorder to be too high..hapangi jambo na kuhairisha mkuu,wala hajapoteza sifa ya umungu..JE unataka kuniaminisha kwamba hujui kama alisema,anaweza fanya lolote alipendalo...
Kwa nn kuwe na miungu?,je una uhakika gani kama ukiabuducho ni sahihi ama dininyako ndiyo sahihi na sio zingine?,na je tuseme waislam wote na wahindu hawaabudu katika mungu wa kweli basi watachomwa moto kwa kuwa tu hawaabudu mungu aliye wa kweli?,this is kind of nosense!,.Uwepo wa dini nyingi duniani ni uthibitisho toaha kwamba mungu ama idwa ya mungu tunaiumba sisikuhusu kujua yajayo halishadhihilisha hilo,na akasema ebu iambieni hiyo miungu yenu kama inajua yajayo,..
Kwa nini mungu mwenye uweO wote na maarifa yote apange na kupangua??mungu akishakuwa na sifa ya kupanga basi huyo sio mungu,hiyo ni sifa ya mwanadamu.Ukisema mungu alipanga basi unamwondolea sifa ya kujua yajayo.Mwenyezi Mungu alipanga na kupangua bila kupoteza lengo lake nikudhihirisha uwezo wake kwetu..
unajua anauwezo wakuwaua wote wenyedhambi dakika hii,je akifanya hivo wale wema wataenda mbinguni namawazo gani...
Duu aisee
Upepo tunaupima kwa vifaa na kujua speed yake na uelekeo sasa nambie mungu tunampima kwa kipimo gani?,na kwa vipi wewe unamjua na kuweza kumuelezea hapa nami nisimjue?,unajua anaweza fanya chochote duniani,fikiria icho unachotaka afanye kama kitaleta sifa ya umungu(haki)...
unaweza ukabisha ata upepo haupo kwasababu hauuoni, lkn utautambua kwa kazi yake...
MWENYEZI MUNGU NI MWANZO NA MWISHO....unacho amini wewe ni kwamba hakuna mwanzo wala mwisho..tunacho amini sisi kuna mwanzo na mwisho lkn hatuujui mwanzo wala mwisho..
Ahsante.
Kama huujui unaamini kwa nini?.Nikisema ni uoga ntakuwa wrong?.Yaan kwa kuwa ulizaliwa ukakuta watu wanasema kuna munhu basi na wewe ukaamua kufuata hivyo bila kuwa na uhakika.
Kwa nini hamuhoji na kutaka kukijua kile mnachotakiwa kukiamini?karibu katika ukimwengu wa fikra huru!.