Duh! Yani kwa ulichokiandika naona aibu mie.
Halafu mambo kama hayo ndiyo unataka watu tuyakubali tu,tukikataa basi tunaonekana hatuna elimu.
Kwa hiyo angeumba ulimwengu huo, huyo mungu muweza yote angeshindwa kykufanya uamini kwamba yupo?
Mungu wenu sio tu hayupo, kimantiki hawezekaniki kuwepo kwa sababu anajipinga yeye mwenyewe.
Anhaa kumbe MUNGU wetu basi una MUNGU wako kama hauna MUNGU,basi upo mbioni kujiita MUNGU...
Hujaelewa na sifikiri kwamba unaweza kuelewa kirahisi nilichoandika.
Which solififies my point that you are not qualified to chip in in this debate.
Unaweza kuniambia ulichoelewa ni nini ?
Kiranga, huyu jamaa anaweza kua ni ishmael yule mwehu uliyempiga ban either kwa ujuha tu au kwa kua level yake ya kuelewa ni ndogo au kama ulivyosema cognitive dissionance......
ninachoshukuru sasa ivi kwa hawa watu ni kwamba hamna tena apa anayekuja na ushahid wa uwepo wa mungu ni blah blah tu!!! mungu wao all powerful, all knowing all wise all loving hataki kujitokeza kujidhirisha ili tujue kweli yupo??? hataki au he doesnt care???
wanatukuza kitu wasichoweza hata kukielezea kwa mistari michache yenye kuleta maana!!!
Kwanini kusema "mungu wenu" kulazimishe niwe na mungu wangu au mimi kujiita mungu?
That is a logical non sequitur.
Yale yale ya illogical thinking niliyoyasema awali katika post # 678
Kiranga, huyu jamaa anaweza kua ni ishmael yule mwehu uliyempiga ban either kwa ujuha tu au kwa kua level yake ya kuelewa ni ndogo au kama ulivyosema cognitive dissionance......
ninachoshukuru sasa ivi kwa hawa watu ni kwamba hamna tena apa anayekuja na ushahid wa uwepo wa mungu ni blah blah tu!!! mungu wao all powerful, all knowing all wise all loving hataki kujitokeza kujidhirisha ili tujue kweli yupo??? hataki au he doesnt care???
wanatukuza kitu wasichoweza hata kukielezea kwa mistari michache yenye kuleta maana!!!
kwahiyo unataka kusema sisi hatukutumia logic ama hatutumii logic.by definition logic is the reasoning of an urgument which can be true or false.and has been seen that logic results into theories..and theories are proved and assumptions are used...
socrate mwenye alikiri kuna MUNGU mmoja aliyefanya phenomenas zote walizokua wanakumbana nazo...
hivo basi ww kiranga ndio hutumii logic thinking bali kukurupuka thinking..ww mfano:-unauliza watu nani anaweza kunithibitishia kuna rohoo.afu ukasema hyo ni logic thinking....kuhusiana na logic swala lako sio logic mkuu piga chini
kiranga nilimthibitishia nikamuonesha MUNGU lkn yote hakujibu..nkamwambia kama bado anahitaji uthibitisho mwingne aulize bado hakufanya hivo
Umethibitisha wapi na kivipi?
ushaidi ni YESU kristo,uthibitisho ni YESU kristo,maono ni YESU kristo..alifanya sifa zote za MUNGU,japo zingine hakuonyesha kwetu,lkn kati ya hayo machache aliyoonesha watu waliamini kuna MUNGU...YESU kristo alituonesha MUNGU na yupoje Tukamjua,huo ndo uthibitisho pekee tunaojivunia, na bado hajaja atakaye upinga uthibitisho huo, na atashindwa tu...
YESU alijua kuna kiranga katatokea ndomana aliwafundisha wanafunzi wake kwamba yy ndio njia iendayo kwa baba(MUNGU).na pia aliwaambia pale walipo muuliza tuoneshe MUNGU,aliwajibu mmeishinami siku zote hamjanijua..na alitufundisha tuombe kupitia jina lake atatufikishia kwa baba.
sasa kiranga upande mmoja wa mto na MUNGU yupo upande mmoja wa mto afu kuna daraja ambaye ni YESU.wanaopita darajani wanaanza kuona matumaini yakufika upande wa MUNGU ww umesimama tu unatuliza ebu nionesheni huyo mungu.
tuna kwambia pita hapa darajani tukamuone,we unakazania nionesheni nionesheni mnanithibitishia vipi hilo daraja nikipita ndo namuona MUNGU..tunakwambia we pita sisi tunaamini maana kaliambia daraja lituaminishie liko salama.we unaanza huko sio kufikiri likibomoka je,nyie mnaaminishwa tu,mpo mfumo wakizamani wakuamini tu..
haya sisi tunajiendea,...
ni mfano mmoja tu....ntaendelea ukijibu.....
Inaweza kuthibitisha Yesu alikuwepo?
Na kama alikuwepo, kwa nini aliulaani mti mtini usiozaa matunda wakati yeye kama mungu ndiye muamuzi wa kipi kizae matunda na kipi kisizae?
Hujajibu kwa nini mungu kaumba ilimwengu ambao unawezekana kiwa na matatizo yote haya tunayoyaona wakati alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote wa kuumba ukimwengu ambao hauwezekani kuwa na matatizo.
Inaweza kuthibitisha Yesu alikuwepo?
unaweza kuthibitisha babu yako kizaa babu alikuepo
Hata nisipoweza, hilo halithibitishi kwamba Yesu alikuwapo.Inaweza kuthibitisha Yesu alikuwepo?
unaweza kuthibitisha babu yako kizaa babu alikuepo
Kiranga historia unayoijua wewe au unayoiamini inasema Binadamu alitokeaje?
Nini chanzo cha kuwepo kwa binaadam hapa ulimwenguni?
Swali langu linataka kujua binaadamu wa mmoja wa kwanza historiayake fupi ya kutokea au kuibuka kwake.
Mpira nimeutupia Kwako Kiranga
Hata nisipoweza, hilo halithibitishi kwamba Yesu alikuwapo.
That is what I call a fallacious negation.
Kama sijui jibu la swali hili utapata uthibitisho gani?
Kwamba binadamu kaumbwa na mungu?
Mimi ninachojua ni kwamba logically speaking, binadamu hajaumbwa na mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote.
Mungu gani kashindwa hata kuumba an energy efficient system?
jibu unalo na ni contigent, ukisema true unaingia kwenye imani ukisema false utatoa sababu kwamba humuoni.huwezi kuconclude moja kwa moja ni fallacy...na ukinegate fallacy kua tautology zitakua ni mbwembwe zako tu....
Nimekwambia mpira nimeutupia kwako unijulishe kile unachokijua chanzo,kuwepo au kutokea kwa binaadamu wakwanza.
Bado sijakuuliza kwamba kaumbwa na nani.
Kwasababu unapokuwa hauamini kwamba mungu kaumba 1,2,3 maana yake hio ni IMANI kama imani zingine.
Hadithi ya Juma na Hamisi kwenye safari yao porini tena ilikuwa usiku.mwanga wa mbalamwezi uliopenya kwenye matawi na majani ukatengeneza umbo la chui,Hamisi akasema ni chui Juma akakataa yule sio chui sasa huoni kwamba Hamisi anahitaji maelezo ya kutosha kutoka kwa Juma ili abadili msimamo wake kwamba yule sio chui.
Hamisi anamwambia tazama kichwa tazama mkia n.k. Lakini Juma anaishia kusema yule sio chui basi.IMANI INATAKIWA UIONDOE KWA IMANI.
nini chanzo cha binaada?