ushaidi ni YESU kristo,uthibitisho ni YESU kristo,maono ni YESU kristo..alifanya sifa zote za MUNGU,japo zingine hakuonyesha kwetu,lkn kati ya hayo machache aliyoonesha watu waliamini kuna MUNGU...YESU kristo alituonesha MUNGU na yupoje Tukamjua,huo ndo uthibitisho pekee tunaojivunia, na bado hajaja atakaye upinga uthibitisho huo, na atashindwa tu...
YESU alijua kuna kiranga katatokea ndomana aliwafundisha wanafunzi wake kwamba yy ndio njia iendayo kwa baba(MUNGU).na pia aliwaambia pale walipo muuliza tuoneshe MUNGU,aliwajibu mmeishinami siku zote hamjanijua..na alitufundisha tuombe kupitia jina lake atatufikishia kwa baba.
sasa kiranga upande mmoja wa mto na MUNGU yupo upande mmoja wa mto afu kuna daraja ambaye ni YESU.wanaopita darajani wanaanza kuona matumaini yakufika upande wa MUNGU ww umesimama tu unatuliza ebu nionesheni huyo mungu.
tuna kwambia pita hapa darajani tukamuone,we unakazania nionesheni nionesheni mnanithibitishia vipi hilo daraja nikipita ndo namuona MUNGU..tunakwambia we pita sisi tunaamini maana kaliambia daraja lituaminishie liko salama.we unaanza huko sio kufikiri likibomoka je,nyie mnaaminishwa tu,mpo mfumo wakizamani wakuamini tu..
haya sisi tunajiendea,...
ni mfano mmoja tu....ntaendelea ukijibu.....