Nijibu swali gani ambalo sijalijibu?
Suala hapa siyo mimi kujibu maswali, najibu maswali, unanukuu jibu na kunitaka nijibu swali ambalo jibu lake umelinukuu.
Suala hapa ni, nikikujibu maswali una uwezo wa kulielewa jibu?
Huyo mzoee tu ndivyo alivyo huwa anauliza asichokijua halafu anasahau kauliza nini na kajibu nn
Nani mwenye kukitafuta hicho
chanzo na amefikia wapi hadi sasa?
Ikiwa unaamini hakuna mungu japo unakubali mapungufu ya kama kutokujua chanzo cha ulimwengu na binadamu lakini bado umeshikilia imani ,sasa mbona imani ya mungu ambayo kwenu mmeona inamapungufu mmeikataa jumlajumja japo kuna mambo ambayo hamuwezi
kuyakataa?
Unaulizaje nani mwenye kukitafuta wakati this is a basic human instinct?
Kila mtu anatafuta hicho chanzo, na kila mtu kafikia alipofikia, wengine wameamua kwenda na uvivu wa kukubali mungu kaumba kila kitu.
Wengine wanaikubali sayansi ambayo licha ya mapungufu yake yote, inavutia kwa njia yake ya uchunguzi na kuzidi kukaribia majibu ya ukweli huku ikitupilia mbali majibu ambayo yanaonekana kutokidhi kanuni za kimantiki za marejeo ya kiuanazuoni (peer review, which sadly, we do not have here, that is why I am discussing this with you, who are obviously not my peer).
The convergence towards accuracy, the openness to criticism and the rigorous adherence to logic provided by scientific thought is far more useful in discerning truth than anything religion can offer.
huyo ni ishmael kaja na ID nyingine mzee wa kujitoa ufaham!!! anabisha tu kama ubishan wa mpira hata timu ikiwa mbovu unaibishia tu ila dawa zinamuingia make no mistake!!!
Ikiwa unaamini hakuna mungu japo unakubali mapungufu ya kama kutokujua chanzo cha ulimwengu na binadamu lakini bado umeshikilia imani ,sasa mbona imani ya mungu ambayo kwenu mmeona inamapungufu mmeikataa jumlajumja japo kuna mambo ambayo hamuwezi
kuyakataa?
kumbuka anaeongoza ulimwengu kwa sasa ni lucifer MUNGU hausiki kabisa na mabaya yanayotekea apa. na msaada wake kwa wanaopatwa na matatizo ni kifo ,yani ufe afu yeye atakupokea kama yule tajiri alivyompokea mwana mpotevu na utapumnzika kwa amani kisha utarudi tena kuishi apa ulimwenguni ktk ufalme wake milele. kumbuka kila unachokiona kimeundwa ! basi na ww ujuwe umeumbwa ! Tajiri akifa nae ivyo ivyo anakuwa amechukuliwa ili kumpunguzia matatizo ya vitendo vya dhambi alivyokuwa anasababishiwa na utajiri wake ambao ni shetan . Na yule mtu ambaye ni tajiri ambaye alikuwa anajitaidi kutotenda dhambi akifa uwa amechukuliwa ili asije akachafuliwa kwa dhambi apa duniani . Iyo ndio misaada MUNGU ametupatia binaadam yani ni kifo tu. sababu uwe tajiri au maskini lucifer ndio atakuwa resposible kwakila baya ulifanyalo naye ndio ataukumiwa so wewe.
Hujaelewa mpaka leo ninapokueleza kwamba idea ya kuwepo mungu wenu inajipinga yenyewe kama vile idea ya kuwapo kwa "pembetatu duara" inavyojipinga yenyewe?
Hujaelewa kila mara ninapoongelea habari ya logical inconsistency?
Mungu waki hawezi kiwapo kwa sababu ile idea ya mungu huyo kuwapo inajipinga.
Upande mmoja ana ujuzi wote, uwezo wote na ipendo wote.
Alikuwa na kila uwezo, upendo, ujuzi na sababu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Lakini hakuumba ulimwengu huo, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana.
Kwa nini?
Hujajibu swali hili.
Na kama hujajibu, hujaondoa contradiction kwa mungu huyu.
Eleza ulichokielewa ambacho Kiranga anasema sijaelewa.
Soma swali langu vizuri maana linatokana na hoja yako hiyo uliyoeleza.
Hiyo tajiri unayemsema alikuwa na uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote?
Mfano wangu wa baba wa kibinadamu umeusoma vizuri au umekurupuka tu?
Bado hujajibu swali.
Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu wenye kuwezekana vimbunga na matetemeko, vita na njaa, magonjwa na shida nyingi sana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hauwezekani kuwa na mabaya?
I am afraid I am dealing with a very weak kind of reasoning.
Mtu ananiuliza nitadandiaje kesi za wengine wakati hata hanijui na hivyo hana jinsi ya kujua kama nishapatwa na mafuriko au matetemeko etc.
Hujaelewa mpaka leo ninapokueleza kwamba idea ya kuwepo mungu wenu inajipinga yenyewe kama vile idea ya kuwapo kwa "pembetatu duara" inavyojipinga yenyewe?
Hujaelewa kila mara ninapoongelea habari ya logical inconsistency?
Mungu waki hawezi kiwapo kwa sababu ile idea ya mungu huyo kuwapo inajipinga.
Upande mmoja ana ujuzi wote, uwezo wote na ipendo wote.
Alikuwa na kila uwezo, upendo, ujuzi na sababu ya kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani.
Lakini hakuumba ulimwengu huo, kaumba huu ambao mabaya yanawezekana.
Kwa nini?
Hujajibu swali hili.
Na kama hujajibu, hujaondoa contradiction kwa mungu huyu.
Hata baba wakibinadamu mwenye uwezo wote na upendo wote wa kibinadamu akiwaacha watoto wake na njaa tutamshangaa....
sindo ulikua mfano wako hapo juu kwa MUNGU wetu..sasa huyo baba aliowaacha watoto wake na njaa kashindwa kuaacha na njaa ama, afu eti ukabaki unamshangaa ndio mshangae tu..na MUNGU wetu mshangae hivohivo..sababu huyo baba ni maamuzi yake basi MUNGU wetu nayo nimaamuzi yake endelea kumshangaa tu lkn hiyo sio sababu yakuwaita watoto hao yatima awana baba...kiranga upo, nani aliye kurupuka kati ya mimi na ww....tafakari......leta mfano mwingine......
Ahsante...
unaishi nchi gani kiranga na maeneo gani..(husijibu) icho tu kitaniwezesha kujua yapi yamekupata yapi haya jakupata......
najua unaona,lkn wapo wasio ona hilo tu litanijulisha unadandia kesi za wengine.....
najua upo huru na umeshiba asahivi,lkn wengine wapo vitani,hawajala...hilo tu litanijulisha unadandia kesi za wengine...
sema yanayokuhusu mbona mm nasema yanayo nihusu,..naeleza vile vitu ambavyo hata mm naexperience....ww hujielezi unajiskiaje skiaje mpaka kuona MUNGU hayupo...
Kwa hiyo mungu wako unamfananisha na "dedbeat dad"?
Mungu wako ni sawa na baba aliyewazaa watoto na kuwatelekeza?
cc Nyani Ngabu
Maelezo kuhusu Mungu ni ya kibinafamu zaidi na kwamba si ya Mungu Mwenyewe. Kwa hiyo kuwepo au kutokuwepo kwa Mungu atathibitisha Mungu mwenyewe.